Kati ya Viongozi hawa Tumuamini nani , mbona wanatufanya Watanzania ni wajinga kiasi hiki?

Huu ndio unaitwa uvivu wa kufikiri aliousema Hayati Mkapa.

Jamaa kachukua picha kama ilivyo na kuianzishia uzi bila hata kujiongeza.
 
ubarikiwe kwa jina la jamuhuri ya muungano wa tanzania
 
Inawezekana ni kweli kwamba Watanzania ni wajinga na hawatunzi kumbukumbu kutokana na ujinga wao , lakini siamini kama watu hawa ni mbumbumbu kiasi cha kudanganywa kibwege namna hii.

Tatizo letu tunadhani kuwa ajira ni serikali pekee, nadhani hapo walikuwa wanazumgumzia in private sectors na serikalini na hii ni baada ya kukua kwa uchumi...
 
Tatizo letu tunadhani kuwa ajira ni serikali pekee, nadhani hapo walikuwa wanazumgumzia in private sectors na serikalini na hii ni baada ya kukua kwa uchumi...
Private sector ipi unayoisema ?
 
Bado alidanganya milion 50 kwa kila kijiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…