Kati ya wafanyabishara na wafanyakazi nani mlipakodi mkubwa tena ambaye siyo msumbufu?

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
2,275
Reaction score
2,383
Nimemsikiliza sana Mh Rais Samia akisema kuwa TRA watanue wigo wa walipa kodi na wasitumie nguvu Kudai kodi. Hili ni jema sana.
Lakini Huwa najiuliza kuwa kati ya wafanyabiashara na mfanyakazi aliyejiriwa nani mlipa kodi mkubwa tena ambaye siyo msumbufu au mlalamikaji na mpiga makelele sana?

Kuna kinachoitwa PAYE(pay as you earn) kwa mwajiriwa. Hii inakatwa automatically na mwajiri na kutakuwa kuiwasilisha TRA. Hii PAYE ni kodi au ni kitu gani? Maana kama ni kodi basi wajiriwa wanalipa zaidi ya kodi.

Kuna kinachoitwa VAT( value added Tax) ambayo ni 18 % kwa kila unachonunua sokoni. Hii ndiyo kodi ambayo wafanyabiasha kama vile waajiri wanavyokusanya PAYE na kutakiwa kuiwasiliasha TRA ,wanatakiwa kuikusanya kwa walaji na kuiwasilisha kwa TRA.sasa ugomvi wa wafanyabiashara uko hapa. Hawataki kukusanya Hii VAT na kuiwasilisha TRA kama waajiri wanavyofanya.Hapa ndipo TRA inaikosesha serikali mapato.

Nirudi Kwenye point ya kuonyesha kuwa wajiriwa wanalipa Kodi zaidi ya mara 100 kwa mwezi ikiwa ile PAYE nayo ni aina ya kodi.mfanyakazi huyu anakatwa PAYE,then akienda sokoni kununua NGUO.

,chumvi,kiberiti,chupi,sahani,kikombe,karamu,kimodoli,shuka,blanketi, nyama, Samaki, dagaa, petrol yani kila anachonunua analipa VAT 18%. qNdiyo maana nasema mfanyakazi analipia zaidi ya kodi kama wafanyabiashara watakuwa waaminifu kukusanya VAT na kuipeleka TRA .

Kwa nini wafanyabiashara wanalalamika wanapokadiriwa kodi ya mapato( PAYE) ? Je formula inayotumika kukadiria hiyo kodi haiko sawa? Au ni makelele tu ? Mbona sisi wafanyakazi hatupigi makelele?For example ,mfanyakazi ambaye analipwa 4.7 million ,PAYE ni zaidi ya milioni moja kila mwezi.

Sehemu Nyengine ambapo serikalikali inakosa mapato na kuendelea kuwaumiza walaji ni Kwenye makampuni binafsi ambayo mishahara yao ni midogo. Yani mfanyakazi anakatwa kidogo( PAYE) lakini sokoni anaendelea kulipa VAT.Hii kampuni yenye kulipa mishahara midogo inajikusanyia mapato mengi kwa sababu kaajiri watu kiduchu na mshahara kiduchu. Hapa ndipo TRA na serikali inatakiwa kutumia akili na maarifa. Serikali inatakiwa ihakikishe makampuni yote yako audited .serikali isaidie upatikanaji wa mifumo ya kuthibiti mapato kwa gharama nafuu.mfano wewe unataka VAT wakati machine za EFD unauza gharama kubwa.kwa nini TRA isigawe bure hizo EFD machine kama nyenzo ya ukusanyaji mapato na kuwabana wafanyabiashara?

TRA itumia akili na maarifa kukusanya kodi

Nawatakia Pasaka njema
 
Mimi naona na Serikali yenyewe nayoioneshe uaminifu katika matumizi ya kodi zetu. Haiwezekani watu wanalipa kodi, halafu wanawashuhudia wenye dhamana (Serikali) wakizitumia kodi hizo kulipana wenyewe kwa wenyewe mishahara na posho nono, mfano Wabunge!

Kununulia wapinzani na baadae kurudia uchaguzi kwa kigezo cha kuunga mkono juhudi, kuendesha uchaguzi mkuu kwa hela zetu huku wakiwa na matokeo yao mfukoni, kununua magari lukuki ya kifahari ya kutembelea kama Ma V8, nk.
 
Kuna kinachoitwa PAYE(pay as you earn) kwa mwajiriwa. Hii inakatwa automatically na mwajiri na kutakuwa kuiwasilisha TRA. Hii PAYE ni kodi au ni kitu gani?
Maana kama ni kodi basi wajiriwa wanalipa zaidi ya kodi.

Kuna kinachoitwa VAT( value added Tax) ambayo ni 18 % kwa kila unachonunua sokoni. Hii ndiyo kodi ambayo wafanyabiasha kama vile waajiri wanavyokusanya PAYE na kutakiwa kuiwasiliasha TRA ,wanatakiwa kuikusanya kwa walaji na kuiwasilisha kwa TRA.sasa ugomvi wa wafanyabiashara uko hapa.Hawataki kukusanya Hii VAT na kuiwasilisha TRA kama waajiri wanavyofanya.Hapa ndipo TRA inaikosesha serikali mapato.

Nirudi Kwenye point ya kuonyesha kuwa wajiriwa wanalipa Kodi zaidi ya mara 100 kwa mwezi ikiwa ile PAYE nayo ni aina ya kodi.mfanyakazi huyu anakatwa PAYE,then akienda sokoni kununua NGUO ,chumvi,kiberiti,chupi,sahani,kikombe,karamu,kimodoli,shuka,blanketi, nyama, Samaki, dagaa, petrol yani kila anachonunua analipa VAT 18%. Ndiyo maana nasema mfanyakazi analipia zaidi ya kodi kama wafanyabiashara watakuwa waaminifu kukusanya VAT na kuipeleka TRA .

Kuna vitu vinafikirisha:
1: Mfanyakazi
A: Unalipwa mshahara, unakatwa mpaka 30% ya mshahara.
B: Unaenda kununua chochote, unakutana na 18% VAT
C: Ukitaka kufanya biashara yoyote, unalipa sawa na mfanyabiasha mwingine yeyote???
D: Makusanyo mengine mbalimbali kutokana na rasilimali za nchi
E: Mfanyabiashara halisi/kodi, makato kwaajili ya huduma ya maendeleo
F: Mikopo halisi vs nafuu.
G: Misaada/ si chanzo cha mapato cha msingi
H: Makato kwenye huduma REA, EWURA etc.

2: Mfanyabiashara pure
Sina uhakika wa kodi zote zinazoweza kumwandama mmojamoja.

Ila, ili kuthibitisha hiyo ni mpaka wahusika wafanye analysis. Hili ni swali la kutafiti. Ingawa nadhani wao ndo wana mwanya wa kukwepa kidogo kuliko wafanyakazi.

Unaipa serikali hiyo 48% +C+D+E+H ili ifanye pamoja na mambo mengine ni shughuli za maendeleo. Inaenda kuishi kifahari? na inasusua kutekeleza mambo??

1: Unaenda hospitali, dawa hakuna za kutosheleza au uwepo wa zile za kununua.

2: Unaenda shule, madawati hakuna, walimu hakuna wa kutosha, vitendeakazi hakuna/ havitoshelezi.

3: Miundimbinu??

Hakuna kisingizio cha serikali ina mambo mengi, hiki ni kichaka tu.

Tutumie pesa kulingana na uwezo wetu, tuwekeze kwenye miradi kulingana na uwezo wetu/hatuwezi kubadili mambo overnight.

Tusiwakamue wananchi zaidi ya uwezo wao na tuwe waaminifu kwa kile kile kidogo tukipatacho, tutasonga mbele.

Hatuwezi kusimamisha maisha ya mtu/watu, kwa sababu tunajenga mradi huu, tubalansi issues/priority matters.

Nafikiri kuna haja ya kutafakari mipango yetu ya matumizi binafsi vs maendeleo.
Ili, maendeleo yetu yaendane na kiasi cha pesa tunachokusanya na yule mchangiaji aone anachokichangia kinaleta impact na hapo UZALENDO hautahitaji mapambio.

Pia, nichukue fursa hii kuishauri serikali. Kuna taasisi au kitengo nadhani ni think tank/ kitu kama hicho. Ni vyema kuanzisha utaratibu wa kupokea maoni mbalimbali toka kwa watu wengine nje ya serikali na ndani ya serikali.

Kwa sababu, si kwa walioajiriwa tu ndo huwa na mawazo bora BALI kuwe na fursa ya watu kuchangia mawazo kwa utaratibu kwa kufuata nyanja mbalimbali walizobibea kama: afya, uchumi, siasa nk. Hii inaweza kufanyika kwa kuwa na online system au njia nyingine na umma uwe na taarifa juu ya hilo.

Wakishapokea, wafanyie kazi ya kuchanganua na kuboresha na kuyafanyia kazi kwa maendeleo ya taifa na watu kwa ujumla bila ku-victimize mtu yeyote.

"HAPO TUTAKUWA NA SERIKALI YA WATU NA HASA WANYONGE"
 
Nimemsikiliza sana Mh Rais Samia akisema kuwa TRA watanue wigo wa walipa kodi na wasitumie nguvu Kudai kodi. Hili ni jema sana.
Lakini Huwa najiuliza kuwa kati ya wafanyabiashara na mfanyakazi aliyejiriwa nani mlipa kodi mkubwa tena ambaye siyo msumbufu au mlalamikaji na mpiga makelele sana?

Kuna kinachoitwa PAYE(pay as you earn) kwa mwajiriwa. Hii inakatwa automatically na mwajiri na kutakuwa kuiwasilisha TRA. Hii PAYE ni kodi au ni kitu gani?
Maana kama ni kodi basi wajiriwa wanalipa zaidi ya kodi.

Kuna kinachoitwa VAT( value added Tax) ambayo ni 18 % kwa kila unachonunua sokoni. Hii ndiyo kodi ambayo wafanyabiasha kama vile waajiri wanavyokusanya PAYE na kutakiwa kuiwasiliasha TRA ,wanatakiwa kuikusanya kwa walaji na kuiwasilisha kwa TRA.sasa ugomvi wa wafanyabiashara uko hapa.Hawataki kukusanya Hii VAT na kuiwasilisha TRA kama waajiri wanavyofanya.Hapa ndipo TRA inaikosesha serikali mapato.

Nirudi Kwenye point ya kuonyesha kuwa wajiriwa wanalipa Kodi zaidi ya mara 100 kwa mwezi ikiwa ile PAYE nayo ni aina ya kodi.mfanyakazi huyu anakatwa PAYE,then akienda sokoni kununua NGUO ,chumvi,kiberiti,chupi,sahani,kikombe,karamu,kimodoli,shuka,blanketi, nyama, Samaki, dagaa, petrol yani kila anachonunua analipa VAT 18%. Ndiyo maana nasema mfanyakazi analipia zaidi ya kodi kama wafanyabiashara watakuwa waaminifu kukusanya VAT na kuipeleka TRA .

Kwa nini wafanyabiashara wanalalamika wanapokadiriwa kodi ya mapato( PAYE) ? Je formula inayotumika kukadiria hiyo kodi haiko sawa? Au ni makelele tu ? Mbona sisi wafanyakazi hatupigi makelele?For example ,mfanyakazi ambaye analipwa 4.7 million ,PAYE ni zaidi ya milioni moja kila mwezi.

Sehemu Nyengine ambapo serikalikali inakosa mapato na kuendelea kuwaumiza walaji ni Kwenye makampuni binafsi ambayo mishahara yao ni midogo. Yani mfanyakazi anakatwa kidogo( PAYE) lakini sokoni anaendelea kulipa VAT.Hii kampuni yenye kulipa mishahara midogo inajikusanyia mapato mengi kwa sababu kaajiri watu kiduchu na mshahara kiduchu. Hapa ndipo TRA na serikali inatakiwa kutumia akili na maarifa. Serikali inatakiwa ihakikishe makampuni yote yako audited .serikali isaidie upatikanaji wa mifumo ya kuthibiti mapato kwa gharama nafuu.mfano wewe unataka VAT wakati machine za EFD unauza gharama kubwa.kwa nini TRA isigawe bure hizo EFD machine kama nyenzo ya ukusanyaji mapato na kuwabana wafanyabiashara?

TRA itumia akili na maarifa kukusanya kodi

Nawatakia Pasaka njema
Kutokana na mada hii, nilitaka kusema "bila shaka mtoa mada ni mtumishi/muajiriwa" na kwa bahati nzuri kuna mstari ndani ya chapisho unathibitisha hivyo.

Nilitaka kusema hivyo kutokana na ufahamu mdogo niliouona wa mtoa mada juu ya kodi. Anachokijua yeye kuhusu kodi ni VAT na PAYE tu na kwa maana hiyo anahisi wenaobeba mzigo mkubwa kuhusu kodi ni wafanyakazi na hawalalamiki kama wafanyabiashara.

Lakini kwa faida ya mtoa mada ni kwamba "biashara" ndo msingi wa kodi zote, bali kuna aina nyingi za kodi na tozo zinazotokana na biashara zinazolipwa na wafanyabiashara.

Kuwatazama wafanyabiashara kama "mawakala" wa serikali wa kukusanya kodi ya VAT inayolipwa na mlaji wa mwisho si sahihi. Nasema mtazamo huu si sahihi kwasababu kodi hii haimhusu mlaji wa mwisho tu bali pia mchuuzi (mfanyabiashara) kwakuwa na wao hununua bidhaaa au huduma wanazojihusisha nazo kwani maana ya biashara ni kuuza na kununua.

Baadhi ya kodi na tozo zinazowahusu wafanyabjashara ni kama ifuatavyo.
1. VAT
2. Corporate tax
3. Withholding tax
4. Railway development tax (RDL)
5. Import/export duty
6. Leseni za biashara
7. Tozo za kimamlaka kama vile PVOC, import permit, product registration kutoka TBS, TMDA, GCLA, FIre, OSHA, NEMC n.k kutegemea aina ya biashara husika
8. Tozo za leseni za biashara za halmashauri n.k
9. Tozo za usajili wa mtoa huduma/msambazaji kutoka GPSA n.k

Kwahiyo ili kujua ni nani mlipa kodi mkubwa kati ya wafanyabiashara na wafanyakazi inatakiwa kwanza viwango na aina ya kodi zinazowahusu na kabla kuhitimisha.
 
Kwahiyo ili kujua ni nani mlipa kodi mkubwa kati ya wafanyabiashara na wafanyakazi inatakiwa kwanza viwango na aina ya kodi zinazowahusu na kabla kuhitimisha
.
 
Nimemsikiliza sana Mh Rais Samia akisema kuwa TRA watanue wigo wa walipa kodi na wasitumie nguvu Kudai kodi. Hili ni jema sana.
Lakini Huwa najiuliza kuwa kati ya wafanyabiashara na mfanyakazi aliyejiriwa nani mlipa kodi mkubwa tena ambaye siyo msumbufu au mlalamikaji na mpiga makelele sana?

Kuna kinachoitwa PAYE(pay as you earn) kwa mwajiriwa. Hii inakatwa automatically na mwajiri na kutakuwa kuiwasilisha TRA. Hii PAYE ni kodi au ni kitu gani? Maana kama ni kodi basi wajiriwa wanalipa zaidi ya kodi.

Kuna kinachoitwa VAT( value added Tax) ambayo ni 18 % kwa kila unachonunua sokoni. Hii ndiyo kodi ambayo wafanyabiasha kama vile waajiri wanavyokusanya PAYE na kutakiwa kuiwasiliasha TRA ,wanatakiwa kuikusanya kwa walaji na kuiwasilisha kwa TRA.sasa ugomvi wa wafanyabiashara uko hapa. Hawataki kukusanya Hii VAT na kuiwasilisha TRA kama waajiri wanavyofanya.Hapa ndipo TRA inaikosesha serikali mapato.

Nirudi Kwenye point ya kuonyesha kuwa wajiriwa wanalipa Kodi zaidi ya mara 100 kwa mwezi ikiwa ile PAYE nayo ni aina ya kodi.mfanyakazi huyu anakatwa PAYE,then akienda sokoni kununua NGUO.

,chumvi,kiberiti,chupi,sahani,kikombe,karamu,kimodoli,shuka,blanketi, nyama, Samaki, dagaa, petrol yani kila anachonunua analipa VAT 18%. qNdiyo maana nasema mfanyakazi analipia zaidi ya kodi kama wafanyabiashara watakuwa waaminifu kukusanya VAT na kuipeleka TRA .

Kwa nini wafanyabiashara wanalalamika wanapokadiriwa kodi ya mapato( PAYE) ? Je formula inayotumika kukadiria hiyo kodi haiko sawa? Au ni makelele tu ? Mbona sisi wafanyakazi hatupigi makelele?For example ,mfanyakazi ambaye analipwa 4.7 million ,PAYE ni zaidi ya milioni moja kila mwezi.

Sehemu Nyengine ambapo serikalikali inakosa mapato na kuendelea kuwaumiza walaji ni Kwenye makampuni binafsi ambayo mishahara yao ni midogo. Yani mfanyakazi anakatwa kidogo( PAYE) lakini sokoni anaendelea kulipa VAT.Hii kampuni yenye kulipa mishahara midogo inajikusanyia mapato mengi kwa sababu kaajiri watu kiduchu na mshahara kiduchu. Hapa ndipo TRA na serikali inatakiwa kutumia akili na maarifa. Serikali inatakiwa ihakikishe makampuni yote yako audited .serikali isaidie upatikanaji wa mifumo ya kuthibiti mapato kwa gharama nafuu.mfano wewe unataka VAT wakati machine za EFD unauza gharama kubwa.kwa nini TRA isigawe bure hizo EFD machine kama nyenzo ya ukusanyaji mapato na kuwabana wafanyabiashara?

TRA itumia akili na maarifa kukusanya kodi

Nawatakia Pasaka njema
Wafanyakazi, hususani wa serikali (watumishi wa umma) hawawezi kukwepa kodi

Wengine wanakwepa sana
 
Mimi naona na Serikali yenyewe nayoioneshe uaminifu katika matumizi ya kodi zetu. Haiwezekani watu wanalipa kodi, halafu wanawashuhudia wenye dhamana (Serikali) wakizitumia kodi hizo kulipana wenyewe kwa wenyewe mishahara na posho nono, mfano Wabunge!

Kununulia wapinzani na baadae kurudia uchaguzi kwa kigezo cha kuunga mkono juhudi, kuendesha uchaguzi mkuu kwa hela zetu huku wakiwa na matokeo yao mfukoni, kununua magari lukuki ya kifahari ya kutembelea kama Ma V8, nk.

Anayetakiwa kulalamika ni mfanyakazi na siyo wafanyabiasha maana asilimia kubwa yawakwepa kodi ni wafanyabiashara.lakini wewe lipia kodi kwanza hayo mengine sidhani kama ni ya kweli.
 
Kutokana na mada hii, nilitaka kusema "bila shaka mtoa mada ni mtumishi/muajiriwa" na kwa bahati nzuri kuna mstari ndani ya chapisho unathibitisha hivyo.

Nilitaka kusema hivyo kutokana na ufahamu mdogo niliouona wa mtoa mada juu ya kodi. Anachokijua yeye kuhusu kodi ni VAT na PAYE tu na kwa maana hiyo anahisi wenaobeba mzigo mkubwa kuhusu kodi ni wafanyakazi na hawalalamiki kama wafanyabiashara.

Lakini kwa faida ya mtoa mada ni kwamba "biashara" ndo msingi wa kodi zote, bali kuna aina nyingi za kodi na tozo zinazotokana na biashara zinazolipwa na wafanyabiashara.

Kuwatazama wafanyabiashara kama "mawakala" wa serikali wa kukusanya kodi ya VAT inayolipwa na mlaji wa mwisho si sahihi. Nasema mtazamo huu si sahihi kwasababu kodi hii haimhusu mlaji wa mwisho tu bali pia mchuuzi (mfanyabiashara) kwakuwa na wao hununua bidhaaa au huduma wanazojihusisha nazo kwani maana ya biashara ni kuuza na kununua.

Baadhi ya kodi na tozo zinazowahusu wafanyabjashara ni kama ifuatavyo.
1. VAT
2. Corporate tax
3. Withholding tax
4. Railway development tax (RDL)
5. Import/export duty
6. Leseni za biashara
7. Tozo za kimamlaka kama vile PVOC, import permit, product registration kutoka TBS, TMDA, GCLA, FIre, OSHA, NEMC n.k kutegemea aina ya biashara husika
8. Tozo za leseni za biashara za halmashauri n.k
9. Tozo za usajili wa mtoa huduma/msambazaji kutoka GPSA n.k

Kwahiyo ili kujua ni nani mlipa kodi mkubwa kati ya wafanyabiashara na wafanyakazi inatakiwa kwanza viwango na aina ya kodi zinazowahusu na kabla kuhitimisha
.
VAT haimhusu mfanyabiasha.ni ya mlaaji tu.sasa kama wafanyabiasha hawataweza kuwa mawakala wa serikali kuhusu kukusanya kodi( VAT) hatutatoboa hata kidogo.na Hii ni kuwaumiza wafanyakazi na kuiumiza serikali na mwisho wake ni kuilaumu serikali kwamba haileti maendeleo.Maendeo yanaletwa na mwananchi mwenyewe kwa kulipa kodi
 
Unaonaje ukiacha kazi (uwe mfanyakazi) ili usilipe kodi ?

By the way mfanyabiashara sio mwajiri (Yaani hana wafanyakazi )?
 
Nimemsikiliza sana Mh Rais Samia akisema kuwa TRA watanue wigo wa walipa kodi na wasitumie nguvu Kudai kodi. Hili ni jema sana.
Lakini Huwa najiuliza kuwa kati ya wafanyabiashara na mfanyakazi aliyejiriwa nani mlipa kodi mkubwa tena ambaye siyo msumbufu au mlalamikaji na mpiga makelele sana?

Kuna kinachoitwa PAYE(pay as you earn) kwa mwajiriwa. Hii inakatwa automatically na mwajiri na kutakuwa kuiwasilisha TRA. Hii PAYE ni kodi au ni kitu gani? Maana kama ni kodi basi wajiriwa wanalipa zaidi ya kodi.

Kuna kinachoitwa VAT( value added Tax) ambayo ni 18 % kwa kila unachonunua sokoni. Hii ndiyo kodi ambayo wafanyabiasha kama vile waajiri wanavyokusanya PAYE na kutakiwa kuiwasiliasha TRA ,wanatakiwa kuikusanya kwa walaji na kuiwasilisha kwa TRA.sasa ugomvi wa wafanyabiashara uko hapa. Hawataki kukusanya Hii VAT na kuiwasilisha TRA kama waajiri wanavyofanya.Hapa ndipo TRA inaikosesha serikali mapato.

Nirudi Kwenye point ya kuonyesha kuwa wajiriwa wanalipa Kodi zaidi ya mara 100 kwa mwezi ikiwa ile PAYE nayo ni aina ya kodi.mfanyakazi huyu anakatwa PAYE,then akienda sokoni kununua NGUO.

,chumvi,kiberiti,chupi,sahani,kikombe,karamu,kimodoli,shuka,blanketi, nyama, Samaki, dagaa, petrol yani kila anachonunua analipa VAT 18%. qNdiyo maana nasema mfanyakazi analipia zaidi ya kodi kama wafanyabiashara watakuwa waaminifu kukusanya VAT na kuipeleka TRA .

Kwa nini wafanyabiashara wanalalamika wanapokadiriwa kodi ya mapato( PAYE) ? Je formula inayotumika kukadiria hiyo kodi haiko sawa? Au ni makelele tu ? Mbona sisi wafanyakazi hatupigi makelele?For example ,mfanyakazi ambaye analipwa 4.7 million ,PAYE ni zaidi ya milioni moja kila mwezi.

Sehemu Nyengine ambapo serikalikali inakosa mapato na kuendelea kuwaumiza walaji ni Kwenye makampuni binafsi ambayo mishahara yao ni midogo. Yani mfanyakazi anakatwa kidogo( PAYE) lakini sokoni anaendelea kulipa VAT.Hii kampuni yenye kulipa mishahara midogo inajikusanyia mapato mengi kwa sababu kaajiri watu kiduchu na mshahara kiduchu. Hapa ndipo TRA na serikali inatakiwa kutumia akili na maarifa. Serikali inatakiwa ihakikishe makampuni yote yako audited .serikali isaidie upatikanaji wa mifumo ya kuthibiti mapato kwa gharama nafuu.mfano wewe unataka VAT wakati machine za EFD unauza gharama kubwa.kwa nini TRA isigawe bure hizo EFD machine kama nyenzo ya ukusanyaji mapato na kuwabana wafanyabiashara?

TRA itumia akili na maarifa kukusanya kodi

Nawatakia Pasaka njema
Imagine umeamka asubuhi ukawahi kijiweni kwako ukatandaza biashara yako ukishirikiana na kijana wako alafu kufika jioni mda wa kufunga ajatokea mteja, unafunga kwa matumaini kesho utauza. Kesho yake mambo yanakuwa ni hayo hayo. Unakula unamlipa kijana unalipa ushuru, taka mwenge na kadhalika na hili linatokea for days. Hii ndo inaitwa biashara, you hope for what your not sure off. Na kinachopatikana kutokana na mauzo bado kipo subjected na mtaji, kumlipa kijana, kodi, na bili nyingine.

Mfanyakazi ana uhakika wa kupata alichoahidiwa na mwajiri wake hata kikichelewa bado kinakuja na kikija yuko huru kutumia atakavyo.

Inshort kutoza kodi kwenye biashara kwa kigezo cha PAYE ni kosa na ndo kitu kinachosumbua wafanyabiashara wengi. Kodi haina uhalisia na faida inayopatikana
 
Wanyafabiashara nao wanaumia sn (TRA, kodi pango, umeme, mshahara wafanyakazi, maji, usafiri, ulinzi, bado hajakopwa n.k)
 
Mfanyakazi-Indirect

Biashara-Direct ndio maana wanahisi wanapigwa kodi kubwa
 
Nimemsikiliza sana Mh Rais Samia akisema kuwa TRA watanue wigo wa walipa kodi na wasitumie nguvu Kudai kodi. Hili ni jema sana.
Lakini Huwa najiuliza kuwa kati ya wafanyabiashara na mfanyakazi aliyejiriwa nani mlipa kodi mkubwa tena ambaye siyo msumbufu au mlalamikaji na mpiga makelele sana?

Kuna kinachoitwa PAYE(pay as you earn) kwa mwajiriwa. Hii inakatwa automatically na mwajiri na kutakuwa kuiwasilisha TRA. Hii PAYE ni kodi au ni kitu gani? Maana kama ni kodi basi wajiriwa wanalipa zaidi ya kodi.

Kuna kinachoitwa VAT( value added Tax) ambayo ni 18 % kwa kila unachonunua sokoni. Hii ndiyo kodi ambayo wafanyabiasha kama vile waajiri wanavyokusanya PAYE na kutakiwa kuiwasiliasha TRA ,wanatakiwa kuikusanya kwa walaji na kuiwasilisha kwa TRA.sasa ugomvi wa wafanyabiashara uko hapa. Hawataki kukusanya Hii VAT na kuiwasilisha TRA kama waajiri wanavyofanya.Hapa ndipo TRA inaikosesha serikali mapato.

Nirudi Kwenye point ya kuonyesha kuwa wajiriwa wanalipa Kodi zaidi ya mara 100 kwa mwezi ikiwa ile PAYE nayo ni aina ya kodi.mfanyakazi huyu anakatwa PAYE,then akienda sokoni kununua NGUO.

,chumvi,kiberiti,chupi,sahani,kikombe,karamu,kimodoli,shuka,blanketi, nyama, Samaki, dagaa, petrol yani kila anachonunua analipa VAT 18%. qNdiyo maana nasema mfanyakazi analipia zaidi ya kodi kama wafanyabiashara watakuwa waaminifu kukusanya VAT na kuipeleka TRA .

Kwa nini wafanyabiashara wanalalamika wanapokadiriwa kodi ya mapato( PAYE) ? Je formula inayotumika kukadiria hiyo kodi haiko sawa? Au ni makelele tu ? Mbona sisi wafanyakazi hatupigi makelele?For example ,mfanyakazi ambaye analipwa 4.7 million ,PAYE ni zaidi ya milioni moja kila mwezi.

Sehemu Nyengine ambapo serikalikali inakosa mapato na kuendelea kuwaumiza walaji ni Kwenye makampuni binafsi ambayo mishahara yao ni midogo. Yani mfanyakazi anakatwa kidogo( PAYE) lakini sokoni anaendelea kulipa VAT.Hii kampuni yenye kulipa mishahara midogo inajikusanyia mapato mengi kwa sababu kaajiri watu kiduchu na mshahara kiduchu. Hapa ndipo TRA na serikali inatakiwa kutumia akili na maarifa. Serikali inatakiwa ihakikishe makampuni yote yako audited .serikali isaidie upatikanaji wa mifumo ya kuthibiti mapato kwa gharama nafuu.mfano wewe unataka VAT wakati machine za EFD unauza gharama kubwa.kwa nini TRA isigawe bure hizo EFD machine kama nyenzo ya ukusanyaji mapato na kuwabana wafanyabiashara?

TRA itumia akili na maarifa kukusanya kodi

Nawatakia Pasaka njema
Uelewa wako wa kodi ni mdogo sana...go back to school utanue maarifa...

Kwa kuanzia, ingia kwenye website ya TRA utakutana na kodi zaidi hizo unazozijua yaani PAYE na VAT...
 
Kuna vitu vinafikirisha:
1: Mfanyakazi
A: Unalipwa mshahara, unakatwa mpaka 30% ya mshahara.
B: Unaenda kununua chochote, unakutana na 18% VAT
C: Ukitaka kufanya biashara yoyote, unalipa sawa na mfanyabiasha mwingine yeyote???
D: Makusanyo mengine mbalimbali
E: Mfanyabiashara halisi/kodi
F: Mikopo halisi vs nafuu.
G: Misaada/ si chanzo cha mapato cha msingi

2: Mfanyabiashara pure
Sina uhakika wa kodi zote zinazoweza kumwandama mmojamoja.

Ila, ili kuthibitisha hiyo ni mpaka wahusika wafanye analysis. Hili ni swali la kutafiti. Ingawa nadhani wao ndo wana mwanya wa kukwepa kidogo kuliko wafanyakazi.

Unaipa serikali hiyo 48% +C+D+E ili ifanye pamoja na mambo mengine ni shughuli za maendeleo. Inaenda kuishi kifahari? na inasusua kutekeleza mambo??

1: Unaenda hospitali, dawa hakuna za kutosheleza au uwepo wa zile za kununua.

2: Unaenda shule, madawati hakuna, walimu hakuna wa kutosha, vitendeakazi hakuna/ havitoshelezi.

3: Miundimbinu??

Hakuna kisingizio cha serikali ina mambo mengi, hiki ni kichaka tu.

Tutumie pesa kulingana na uwezo wetu, tuwekeze kwenye miradi kulingana na uwezo wetu/hatuwezi kubadili mambo overnight.

Tusiwakamue wananchi zaidi ya uwezo wao na tuwe waaminifu kwa kile kile kidogo tukipatacho, tutasonga mbele.

Hatuwezi kusimamisha maisha ya mtu/watu, kwa sababu tunajenga mradi huu, tubalansi issues/priority matters.

Nafikiri kuna haja ya kutafakari mipango yetu ya matumizi binafsi vs maendeleo.
Ili, maendeleo yetu yaendane na kiasi cha pesa tunachokusanya na yule mchangiaji aone anachokichangia kinaleta impact na hapo UZALENDO hautahitaji mapambio.

Pia, nichukue fursa hii kuishauri serikali. Kuna taasisi au kitengo nadhani ni think tank/ kitu kama hicho. Ni vyema kuanzisha utaratibu wa kupokea maoni mbalimbali toka kwa watu wengine nje ya serikali na ndani ya serikali.

Kwa sababu, si kwa walioajiriwa tu ndo huwa na mawazo bora BALI kuwe na fursa ya watu kuchangia mawazo kwa utaratibu kwa kufuata nyanja mbalimbali walizobibea kama: afya, uchumi, siasa nk. Hii inaweza kufanyika kwa kuwa na online system au njia nyingine na umma uwe na taarifa juu ya hilo.

Wakishapokea, wafanyie kazi ya kuchanganua na kuboresha na kuyafanyia kazi kwa maendeleo ya taifa na watu kwa ujumla bila ku-victimize mtu yeyote.

"HAPO TUTAKUWA NA SERIKALI YA WATU NA HASA WANYONGE"
Waajiriwa ni walipa kodi wakubwa na vigumu kwao kukwepa Kodi. Kuna mwaka sijui 2011 huko waajiriwa wa migodi waliililia sana serikali kutumia TIN zao wakati PAYE inalipwa. Na ni mwishoni mwaka jana imetekelezwa. Hii tuombe ilete misamaha ya kodi
 
Nimemsikiliza sana Mh Rais Samia akisema kuwa TRA watanue wigo wa walipa kodi na wasitumie nguvu Kudai kodi. Hili ni jema sana.
Lakini Huwa najiuliza kuwa kati ya wafanyabiashara na mfanyakazi aliyejiriwa nani mlipa kodi mkubwa tena ambaye siyo msumbufu au mlalamikaji na mpiga makelele sana?

Kuna kinachoitwa PAYE(pay as you earn) kwa mwajiriwa. Hii inakatwa automatically na mwajiri na kutakuwa kuiwasilisha TRA. Hii PAYE ni kodi au ni kitu gani? Maana kama ni kodi basi wajiriwa wanalipa zaidi ya kodi.

Kuna kinachoitwa VAT( value added Tax) ambayo ni 18 % kwa kila unachonunua sokoni. Hii ndiyo kodi ambayo wafanyabiasha kama vile waajiri wanavyokusanya PAYE na kutakiwa kuiwasiliasha TRA ,wanatakiwa kuikusanya kwa walaji na kuiwasilisha kwa TRA.sasa ugomvi wa wafanyabiashara uko hapa. Hawataki kukusanya Hii VAT na kuiwasilisha TRA kama waajiri wanavyofanya.Hapa ndipo TRA inaikosesha serikali mapato.

Nirudi Kwenye point ya kuonyesha kuwa wajiriwa wanalipa Kodi zaidi ya mara 100 kwa mwezi ikiwa ile PAYE nayo ni aina ya kodi.mfanyakazi huyu anakatwa PAYE,then akienda sokoni kununua NGUO.

,chumvi,kiberiti,chupi,sahani,kikombe,karamu,kimodoli,shuka,blanketi, nyama, Samaki, dagaa, petrol yani kila anachonunua analipa VAT 18%. qNdiyo maana nasema mfanyakazi analipia zaidi ya kodi kama wafanyabiashara watakuwa waaminifu kukusanya VAT na kuipeleka TRA .

Kwa nini wafanyabiashara wanalalamika wanapokadiriwa kodi ya mapato( PAYE) ? Je formula inayotumika kukadiria hiyo kodi haiko sawa? Au ni makelele tu ? Mbona sisi wafanyakazi hatupigi makelele?For example ,mfanyakazi ambaye analipwa 4.7 million ,PAYE ni zaidi ya milioni moja kila mwezi.

Sehemu Nyengine ambapo serikalikali inakosa mapato na kuendelea kuwaumiza walaji ni Kwenye makampuni binafsi ambayo mishahara yao ni midogo. Yani mfanyakazi anakatwa kidogo( PAYE) lakini sokoni anaendelea kulipa VAT.Hii kampuni yenye kulipa mishahara midogo inajikusanyia mapato mengi kwa sababu kaajiri watu kiduchu na mshahara kiduchu. Hapa ndipo TRA na serikali inatakiwa kutumia akili na maarifa. Serikali inatakiwa ihakikishe makampuni yote yako audited .serikali isaidie upatikanaji wa mifumo ya kuthibiti mapato kwa gharama nafuu.mfano wewe unataka VAT wakati machine za EFD unauza gharama kubwa.kwa nini TRA isigawe bure hizo EFD machine kama nyenzo ya ukusanyaji mapato na kuwabana wafanyabiashara?

TRA itumia akili na maarifa kukusanya kodi

Nawatakia Pasaka njema
Mkuu hakuna mfanyakazi aliyeajiriwa analipa kodi bali WANAKATWA KODI
 
Unalipa au unakatwa ni lugha tu, athari ya faida au hasara ni ileile kama hatutendei haki malipo au makato husika.
 
Back
Top Bottom