Waislam wote duniani wanafundishana kwamba vitabu vya Mungu; Tourati, Zaburi na Injili vimechakachuliwa. Hili fundisho mmepata wapi! Mbona mnamuona Mungu ni dhaifu sana kiasi kwamba hawezi kulinda vitabu vyake?
Yaani Bukhari ana kitabu chake cha Hadith kipo hadi leo tangu kiandikwe ila Mungu wenu Allah hakuweza kabisa kulinda vitabu vyake. Kitabu cha kibinadamu cha Hadith kimelindwa na wanadamu ila Allah hana kabisa uwezo wa kulinda vitabu vyake....Mungu wenu mnamuonaje?
Ila huyo huyo Allah anasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu anaweza kubadilisha maneno yake (quran6:34) lakini bado mnampinga na kusema wapo walioweza kubadilisha.
Yaani Mungu alete vitabu vinne(kwa mujibu wa uislam) Kisha aweze kutunza kimoja tu? Mungu dhaifu sana huyu. Ni sawa na una mbuzi 100 Kisha mbabe mmoja anajitokeza anakuvamia na kuchukua 75 unabaki na 25, we ni dhaifu sana umeshindwa kulinda mali yako.
Sasa nipo njiapanda, waislam mnisaidie. Tuwaamini nyie kwamba vitabu vyake vitatu vimeharibiwa kwamba yeye hana uwezo wa kuvilinda au tumuani yeye aliposema hakuna wa kubadilisha maneno yake na kwamba sasa nyie ni waongo kusema vimebadilishwa?
Huyo Allah mwenyewe ni punguani, wafuasi wake si ndio wamedata zaidi?Waislam wote duniani wanafundishana kwamba vitabu vya Mungu; Tourati, Zaburi na Injili vimechakachuliwa. Hili fundisho mmepata wapi! Mbona mnamuona Mungu ni dhaifu sana kiasi kwamba hawezi kulinda vitabu vyake?
Yaani Bukhari ana kitabu chake cha Hadith kipo hadi leo tangu kiandikwe ila Mungu wenu Allah hakuweza kabisa kulinda vitabu vyake. Kitabu cha kibinadamu cha Hadith kimelindwa na wanadamu ila Allah hana kabisa uwezo wa kulinda vitabu vyake....Mungu wenu mnamuonaje?
Ila huyo huyo Allah anasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu anaweza kubadilisha maneno yake (quran6:34) lakini bado mnampinga na kusema wapo walioweza kubadilisha.
Yaani Mungu alete vitabu vinne(kwa mujibu wa uislam) Kisha aweze kutunza kimoja tu? Mungu dhaifu sana huyu. Ni sawa na una mbuzi 100 Kisha mbabe mmoja anajitokeza anakuvamia na kuchukua 75 unabaki na 25, we ni dhaifu sana umeshindwa kulinda mali yako.
Sasa nipo njiapanda, waislam mnisaidie. Tuwaamini nyie kwamba vitabu vyake vitatu vimeharibiwa kwamba yeye hana uwezo wa kuvilinda au tumuamini yeye aliposema hakuna wa kubadilisha maneno yake na kwamba sasa nyie ni waongo kusema vimebadilishwa?
Vipi na yule Mungu aliyeweza kuwaokoa wengine na vifo lakini akashindwa kujiokoa mwenyewe sio dhaifuYaani Mungu alete vitabu vinne(kwa mujibu wa uislam) Kisha aweze kutunza kimoja tu? Mungu dhaifu sana huyu. N
Ata tukiikataa dini sisi bado mnooMwafrika amka,kataa dini kwa ajili ya maendeleo ya bara letu. Dini dini ni ungese.
Kwa hiyo unataka kusema Allah ni dhaifu kashindwa kutunza vitabu vyake?ushahidi wa kihistoria na kisayansi unaoonyesha kuwa maandiko ya Biblia hayakuokolewa kwa moja kwa moja bila mabadiliko, bali yalipitia mchakato wa manuscript transmission (nakala na uandishi wa maandishi) unaoonyesha tofauti, marekebisho ya nakala, na tofauti kati ya matoleo ya zamani na ya baadaye .
1. Kuna tofauti kati ya maandishi ya zamani na matoleo ya baadaye
Dead Sea Scrolls ni moja ya vyanzo vya kihistoria vinavyoonyesha kuwa maandiko ya Biblia yalikuwa na tofauti za maneno na uandishi kati ya nakala za zamani na matoleo ya baadaye.
Tafiti za Dead Sea Scrolls zinaonyesha kuwa baadhi ya maandiko ya zamani yalikuwa na *tofauti katika uandishi ikilinganishwa na maandishi ya Masoretic Text ambayo Biblia ya kisasa inategemea. Hii inaonyesha kwamba *kulikuwa na mabadiliko ya nakala kwa karne nyingi.
2. Biblia haikawahi kupata maandishi asilia (autographs)
Hakuna nakala ya asili ya vitabu vya Biblia (yaani maandishi ya mwanzo yaliyoandikwa kwanza):
Wakristo wa kifalme walisubiri karne nyingi kabla ya kuandika au kukusanya maandishi yaliyokuwepo. Tangu zile za mwanzo zilipotea, yale tunayo leo ni nakala zilizokadiriwa kutoka kwa nakala nyingi mbalimbali.
Mungu wako Yesu au unakataa Yesu sio MunguYupi huyo?
Halafu jibu hoja kwanza usikimbie swali.
Kwa mujibu wa wanazuoni aya hiyo inazungumzia ahadi na hukumu za AllahHalafu jibu hoja kwanza usikimbie swali.
Kwanza kwenye dini ya uislamu hakuna "mimi ninavyoona" hicho kitu hakipo! Au "mimi mtazamo wangu ni huu" hicho kitu hakipo! Tuambie hii tafsiri imetoka kwa Imam huyu au huyu! Hapo tutakwenda sambamba kwa sababu waliyobeba elimu ya tafsiri ya Qur'an wanafahamika.Lete majibu maamuma