Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

We unaonaje maelezo yako mbona yapo nje kabisa na

Sasa jamaa unasema ni wapi amesema hakuna wa kuchezea vitabu vyake kisha unasema hiyo ni kauli kwa ajili ya Quran tu, ni nini sasa hapo!. Kwani kusema vitabu vimechezewa, vimechakachuliwa, vimeharibiwa, vimebadilishwa, hizo si ni kauli za kufanana maana?

Turudi kwenye point yako kwamba kauli ya kulinda ni kwa ajili ya Quran tu na si vitabu vya wayahudi. Hivo vya wayahudi ni vyake ama sio vyake?
Labda kwa Imani yako kwamba sio vyake ila kama unaamini ni vyake, hapo ndo swali lilipo kwamba, amesema "hakuna wa kubadilisha maneno ya Mungu " kwa nini we unasema ni Quran pekee ikiwa Injili, Zaburi na Tourati zote ni maneno yake?
Maswali kama haya ndiyo yanapima ukweli wa Quran.Hakuna muislam atakayekujibu hapa.Wataleta hoja tofauti tofauti ili wakuchanganye uhame kwenye msingi wa swali lako.Na hii ndiyo iliyofanya waislamu wampe uprofesa mazinge.Mzee wa kuhamisha magoli
 
Eti mazinge aliulizwa kwa nini Muhammad alioa mtoto mdogo wa miaka 6?
Akajibu,
"Kama wazazi wake walikubali mtoto wao aolewe wewe ni nani upinge?"
Baada ya kusikia jibu hilo nikajithibitishia kwamba kama kiongozi anaongea hivi ni dhahili kwamba hii dini imejaa wajinga tu.
Majibu hayo ndiyo yamefanya waislam wampe uprofesa 🤣🤣
 
Quran imekuja mwisho baada ya zaburi,taurati na injili walizopewa waisrael.baada ya kuona huo uharibifu akaja na huo muhuri wa Quran usiweza kugeuzwa
Kwa hiyo sasa allah ndo kajipanga sio?Alikuwa hakujipanga?Au hakujua kama vitaharibiwa,baada ya kuharibiwa ndo kashtuka,kwo kajipanga sasa,sio?Huoni unadhihirisha udhaifu mkubwa wa allah?Kwa sifa hizi ni wazi huyo sio MUNGU.Hakika nakuambia
 
Kwa hiyo sasa allah ndo kajipanga sio?Alikuwa hakujipanga?Au hakujua kama vitaharibiwa,baada ya kuharibiwa ndo kashtuka,kwo kajipanga sasa,sio?Huoni unadhihirisha udhaifu mkubwa wa allah?Kwa sifa hizi ni wazi huyo sio MUNGU.Hakika nakuambia
Kabla ya mtume Muhammad kuja walikuja mitume mingi mwingine ilikuwa ya wayahudi na wengine mataifa mengine.ila wayahudi ndo wametoa mitume na manabii wengi .Sasa Kila wanalopewa KUTOKA Kwa Mungu wao wanalikataa .vitabu wanavikataa.ndipo mungu akaamisha utume kwenda Kwa waarabu.na kumpa kitabu chake ambacho ni quran.kilichobeba mafundisho ya zaburi,taurati na injili
 
Back
Top Bottom