Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

Shetani anafanya kazi kwenye dini yoyote hivyo upotoshaji ni swala la dini zaote ..disi tunacho fanya ni kuutafuta ukweli halisi ..hao wanao sema Mungu ana nafsi 3 ni Wapumbavu tu....hoja kama muhammad aliweza kufunuliwa na Mungu mafundisho mapya ya uislamu je kwa nini asifunuliwe na Mungu mafundisho sahihi ya injili ili ayafuate kabla ya kupewa utume? Kila mtume kablq ufuata mafundisho ya mwisho ya mungu na kwa hayo kufikia daraja ya utume.
Mafundisho sahihi ya Injil hayana haja kwa zama za Qur'an
 
Ukisema logic utagundua kuwa nyinyi ndio hamna logic kwa kugeuza Mungu Mmoja kuwa watatu
Wengi mnaobishana kuhusu Imani huwa hampo sawa.

Wewe nani alikuambia Mungu ni mmoja?? Utasema maandiko yenu, hayo utaamini sababu ndio Imani yako inataka hivyo. Kwa mtu asiyeamin hawezi kukuelewa, kama vile ambavyo wewe huamini biblia

China kuna wachina zaidi ya milion 300 Wana dini yao(folk religion). Unafikiri wao hizi habari za wewe kuamini Mungu Mmoja wanazo? Au unafikiri habari za kuamini miungu watatu wanazo?

Kila anayeamini hiki, humshangaa mwingine anayeamini kile
 
Kwa style hiyo mada zitakuwa haziishi
Wewe unahisi muislam ataamin kwenye maandiko unayoamini wewe? Pia wewe unafikiri utaamina kwenye maandiko anayoamini muislam? Kila mmoja anaona yupo sahihi, kila mmoja anaona mwingine ndio amepotoka
 
Waislam wote duniani wanafundishana kwamba vitabu vya Mungu; Tourati, Zaburi na Injili vimechakachuliwa. Hili fundisho mmepata wapi! Mbona mnamuona Mungu ni dhaifu sana kiasi kwamba hawezi kulinda vitabu vyake?

Yaani Bukhari ana kitabu chake cha Hadith kipo hadi leo tangu kiandikwe ila Mungu wenu Allah hakuweza kabisa kulinda vitabu vyake. Kitabu cha kibinadamu cha Hadith kimelindwa na wanadamu ila Allah hana kabisa uwezo wa kulinda vitabu vyake....Mungu wenu mnamuonaje?

Ila huyo huyo Allah anasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu anaweza kubadilisha maneno yake (quran6:34) lakini bado mnampinga na kusema wapo walioweza kubadilisha.

Yaani Mungu alete vitabu vinne(kwa mujibu wa uislam) Kisha aweze kutunza kimoja tu? Mungu dhaifu sana huyu. Ni sawa na una mbuzi 100 Kisha mbabe mmoja anajitokeza anakuvamia na kuchukua 75 unabaki na 25, we ni dhaifu sana umeshindwa kulinda mali yako.

Sasa nipo njiapanda, waislam mnisaidie. Tuwaamini nyie kwamba vitabu vyake vitatu vimeharibiwa kwamba yeye hana uwezo wa kuvilinda au tumuamini yeye aliposema hakuna wa kubadilisha maneno yake na kwamba sasa nyie ni waongo kusema vimebadilishwa?
Mkuu mbona unauliza maswali ya kitoto namna hiyo? Allah na Muislam ni kitu kimoja yaani yule yule, hivi hujui kama Mwamedi ndiye Allah mwenyewe wa Waislam?
 
Mafundisho sahihi ya Injil hayana haja kwa zama za Qur'an
Mtu yoyote kabla ya kufikia daraja ya utume anatakiwa kufuata muongozo wa mwisho wa Mungu, je Muhammad alifuata injili ya kweli anayo sema yeye kuwa ndiyo ya kweli? Kabla ya kupewa utume na kitabu?
 
Wengi mnaobishana kuhusu Imani huwa hampo sawa.

Wewe nani alikuambia Mungu ni mmoja?? Utasema maandiko yenu, hayo utaamini sababu ndio Imani yako inataka hivyo. Kwa mtu asiyeamin hawezi kukuelewa, kama vile ambavyo wewe huamini biblia

China kuna wachina zaidi ya milion 300 Wana dini yao(folk religion). Unafikiri wao hizi habari za wewe kuamini Mungu Mmoja wanazo? Au unafikiri habari za kuamini miungu watatu wanazo?

Kila anayeamini hiki, humshangaa mwingine anayeamini kile
Sawa
 
Mtu yoyote kabla ya kufikia daraja ya utume anatakiwa kufuata muongozo wa mwisho wa Mungu, je Muhammad alifuata injili ya kweli anayo sema yeye kuwa ndiyo ya kweli? Kabla ya kupewa utume na kitabu?
Hapo unachotakiwa kujua Injil ilikuwa kwa ajili ya Wanaisrael tu
 
Wewe unahisi muislam ataamin kwenye maandiko unayoamini wewe? Pia wewe unafikiri utaamina kwenye maandiko anayoamini muislam? Kila mmoja anaona yupo sahihi, kila mmoja anaona mwingine ndio amepotoka
Kuamini na kutokuamini sio shida ila inabidi mada iwe inajibiwa kwa hoja.
Sasa huyu jamaa anasema Allah ametumia hekima kuruhusu vitabu vyake vipotee, nikauliza vitabu kupotea ni hekima kivipi! Akasema, Mungu kumuacha Yesu afe msalabani ni hekima au udhaifu?
Sasa hapo tutamaliza kweli?
 
Unapouliza kitu hakikisha situation kama hiyo haipo upande wenu vinginevyo utakutana na namna ya kujibiwa kwa swali tu
 
Hapo unachotakiwa kujua Injil ilikuwa kwa ajili ya Wanaisrael tu
Umepotoka hakuna dini ya wana Israel tu ...tumia akili ya logic ...kama dini ni yawana wa Israel tu basi uislamu unasema uongo maana unasema Mungu akuumba isipokuwa tumwabudu ....toka kale neno lq Mungu ndiyo muongozo kwa viumbe vyote hata torati wapo wasio waisrael walio ifuata na mungu alikubali...kama torati ni neno na fundisho la mungu wa kweli basi ni kwa watu wote japo imechumbukia kwa waisrael...soma kisa cha mfalme nebukadreza hakuwa muisraeli.
 
Sijakuambia Uislamu ni wa wanaisrael tu naomba usipotoshe
 
Leo imekuwa hayo 😁😁😁 siku zote hspa jf mnadai dini ni moja tu uislamu hivyo torati na injili vyote ni vitabu vya mitume waislamu...hapa umeongea kitu ambacho kina logic ambayo huwa tuna waambieni hapa jf mnabisha kuwa uislamu ni dini mpya siyo kama mnavyo dai nyinyi ...ila kwa hii hoja yako tunaona kitu kile kile mnacho kipinga kwa kudai mitume na manabii wote ni waislamu toka adamu hadi muhammad...sasa mbona hapa unasema siyo uislamu? Hivyo injili ya kweli ambayo muhammad anaikubali na issa siyo waislamu? 😁😁😁 adriz Malaria 2 FaizaFoxy Jagina Covax
 
Sijakwambia Injil sio ya waislam mbona unanizushia sana🤣🤣
Yaani kukuambia Injil ni kwa ajili ya wanaisrael ushaanza kuzusha vitu vingi???
 
Ujanielewa bado Allah katuza Quran kitabu cha mwisho.
Kama Allah mungu muweza wa yote kwa nini alishindwa kutunza Torah , Zaburi na Injili visichakachuliwe na ilihali ni vitabu vyake?
Ina maana Allah kuna mambo huwa yanamshinda?
Abu Lahab (PBUH)
 
Kama Yehova ni Mungu muweza wa yote kwa nini alishindwa kujinusuru asiwekwe msalabani?
 
Back
Top Bottom