Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

Yamekuwa hayo leo🤣🤣🤣
😁jamaa ana akili mbovu kama za mudi boy...mudi boy alipo ambiwa na shetani soma akabungaa shetani akaminya kisawa sawa, akimwambia soma ila wapi mudi boy ajui kusoma ...shetani akatambua kuwa ni mbumbumbu hivyo ni rahisi kumtumia kupotosha watu.😁😁😁 kwa hiyo huyu mbumbumbu Jagina anastahili kuminywa mbavu na kupigwa bakora ili asome.
 
Kumbe yule aliyetajwa agano la kale alikuwa Shetani? Na vipi Shetani alimbeba mungu akamwonyesha miji asiyoijua?
 
Lete jina la mtu mmoja tu aliyefufuliwa na Yesu na ushahidi wa aya, please
Soma soma soma au mtafute jini aliye mkaba koo na mbavu mtukufu wa daraja pangoni ili akukabe na wewe hili usome .
 
Kumbe yule aliyetajwa agano la kale alikuwa Shetani? Na vipi Shetani alimbeba mungu akamwonyesha miji asiyoijua?
Unajua maana ya yale majaribu na sababu za Mungu kuja duniani mfano wa mwanadamu ?ukijua sababu uwezi kuuliza hayo maswali ya chekechea 👶👶👶👶
 
Soma soma soma au mtafute jini aliye mkaba koo na mbavu mtukufu wa daraja pangoni ili akukabe na wewe hili usome .
Umekwisha , hoja imekushinda , wewe usilimu tu unakumbatia ukristo wa Paulo , subiri ukapakwe machumvi ugeuzwe ndafu
 
Unajua maana ya yale majaribu na sababu za Mungu kuja duniani mfano wa mwanadamu ?ukijua sababu uwezi kuuliza hayo maswali ya chekechea 👶👶👶👶

Kwa hivyo unakubali mungu kubebwa na shetani ?? Kapata lift ya bure

1768988887297.png
 
Kwa hivyo unakubali mungu kubebwa na shetani ?? Kapata lift ya bure

View attachment 3532516
Wewe unakubali mungu kutukanwa na wanadamu ?
Yesu anaitwa mwalimu kwa hiyo yote hayo yalitokea kutuelimisha na kuwa kielelezo cha ucha mungu kwetu ...siyo mudi boy ambaye alikuwa ana jipakulia minyama na wahy unashuka kumpendelea dhidi ya waislamu wenzie ...mfano anadinya wanawake wote apendavyo tena bila ya ndoa kisha wahy unashuka kumtakasa
 
Umekwisha , hoja imekushinda , wewe usilimu tu unakumbatia ukristo wa Paulo , subiri ukapakwe machumvi ugeuzwe ndafu
Soma soma
 
Attachments

  • Screenshot_20260121-125907_Gallery.jpg
    Screenshot_20260121-125907_Gallery.jpg
    102.6 KB · Views: 9
Wewe unakubali mungu kutukanwa na wanadamu ?
Yesu anaitwa mwalimu kwa hiyo yote hayo yalitokea kutuelimisha na kuwa kielelezo cha ucha mungu kwetu ...siyo mudi boy ambaye alikuwa ana jipakulia minyama na wahy unashuka kumpendelea dhidi ya waislamu wenzie ...mfano anadinya wanawake wote apendavyo tena bila ya ndoa kisha wahy unashuka kumtakasa

Mwalimu wako huyu anakupa mafunzo

1. Wasioamini (wasio Waisraeli) wameitwa mbwa na nguruwe. (Mathayo 7:6).

2. Aliwaita watu wabaya: ”Enyi wazao wa nyoka” (Mathayo 12:34).

3. Mayahudi waliitwa: “Kizazi cha zinaa.” (Mathayo 12:40,, 16:4).

4. Mayahudi waliitwa “Wazinifu na wakosefu.” (Marko 8:38).

5. “Ole wenu waandishi na wafarisayo, wanafiki,” (Mathayo 23:16).

6. “Ole wenu viongozi vipofu.” (Mathayo 23:16).

7. “Enyi nyoka, wana wa majoka” (Mathayo 23:33).

8. “Watu wengine waliitwa mbwa.” (Mathayo 15:27).

9. Aliwaita manabii wenzake: “wote walionitangulia ni wevi na wanyang'anyi.” (Yohana 10:8).

10. Aliwaita wanafunzi wake: ”Enyi kizazi kisicho amini, kilichopotoka.” (Mathayo 17:17).

11. Akamwambia Petro “Nenda nyuma yangu Shetani.” (Mathayo 16:23).

12. Akamwambia mama yake: “Ewe mwanamke nina nini nawe? (Yohana 2:4).

13. Akasema mama yangu ni nani na ndugu zangu ni akina nani? (Mathayo 12:48).

14. Siku ya Kiyama atawaita wahubiri Wakristo: “Nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi mtendao maovu.” (Mathayo 7:23).
 
Soma soma

Pentekoste wametoa mpya hawa

1768990948121.png

Now you can wipe yourself with the word of the Lord with our new product - Bible toilet paper. Make sure you read each verse before you use it to wipe your naughty parts. This made from recycled Waitland Muckery newspapers. As usual there is a 1% discount for all triple tithers at Wyrst Pentacostal Church.
 
😁jamaa ana akili mbovu kama za mudi boy...mudi boy alipo ambiwa na shetani soma akabungaa shetani akaminya kisawa sawa, akimwambia soma ila wapi mudi boy ajui kusoma ...shetani akatambua kuwa ni mbumbumbu hivyo ni rahisi kumtumia kupotosha watu.😁😁😁 kwa hiyo huyu mbumbumbu Jagina anastahili kuminywa mbavu na kupigwa bakora ili asome.
Mbona unaongea porojo tu🤣🤣🤣
Hoja zimeisha au???🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo waliovipoteza na kuandika vingine ambavyo sio vya Mungu hawana makosa kwa sababu wametimiza lengo la Mungu la kuvipoteza vitabu halisi au sio mkuu?
Ni kama wale tu waliomsulubisha Yesu kwani wale wana makosa?
 
Wewe unakubali mungu kutukanwa na wanadamu ?
Yesu anaitwa mwalimu kwa hiyo yote hayo yalitokea kutuelimisha na kuwa kielelezo cha ucha mungu kwetu ...siyo mudi boy ambaye alikuwa ana jipakulia minyama na wahy unashuka kumpendelea dhidi ya waislamu wenzie ...mfano anadinya wanawake wote apendavyo tena bila ya ndoa kisha wahy unashuka kumtakasa
Ushahidi?
 
Kwanza waislamu hamna akili kabisa ...kwa mujibu wa mudi boy ni kwamba mtu aliye kamatwa na kushitakiwa akuwa Yesu ..sasa swali mbona hadi majibizano baina ya Yesu na Pilato na Herode yana shuhudia kuwa ni Yesu ...hivi angekuwa siyo asinge lia mbele ya Herode na Pilato kulilia msamaha na kusema siyo yeye ...hivi wewe ukamatwe ukizaniwa ni tundu lissu arafu usikanushe kwa nguvu zote kuwa wewe siyo lissu ....hivi waislamu mudi boy kawalogeni akili au ni kitu gani ? Jiulizeni ? Huyo mtu aliye fananishwa na Yesu ilikuwaje alipo kuwa mahakamani nini alijitetea ...siyo mudi anakuambini tu ..alifananishwa basi na nyinyi mnakubali kama maanithi wa akili .
Sasa kwani uambiwe mara ngapi kwamba kilichoandikwa kwenye Biblia sio sahihi
 
Sasa kwani uambiwe mara ngapi kwamba kilichoandikwa kwenye Biblia sio sahihi
Kama kilicho andikwa kwenye biblia siyo sahihi ni rahisi tu kujua kama unazo akili kubwa ya logic ...kuna maelfu ya logic unaweza kuyatumia kujua ukweli ..mfano kwanini muhammad anapinga sana kuhusu kifo cha Yesu ? Kwani mtume kuuliwa ni dhambi ...kilogic iwe yesu aliuliwa au la isingekuwa hoja ya mjadara ya muhammad..maana huyo muhammad mwenyewe ndani ya uislamu amewasifu walio kufa mashahidi kwenye jehadi nk ...sasa kwa nini muhammad anaumia sana kuhusu yesu kuuliwa...ukitumia akili mafundisho ya Yesu ni sahihi na yenye heshima na haki na utakatifu kuliko mafindisho ya muhammad...kama unazo akili tumia akili zako kujua tofauti ya mafundisho ya yesu na muhammad...
Niliwai kuwauliza waislamu hapa jf 👉 Muongozo wa Mungu wa mwisho kabla ya msahafu ni Injili swali je kwa nini Muhammad akufuata Injili kabla ya kufikia daraja ya Utume wakati ndiyo muongozo wa mwisho ? Kilogic Muhammad awezi kusema injili ilialibiwa kwamba hata yeye aliye mtukufu wa daraja asijue ukweli wa injili iliyo ya kweli na kuifuata ...na kama Muhammad akufuata injili kwa kutokuijua iliyo ya kweli kwa nini anajidai kupinga injili kuwa hii ni sahihi na hii siyo sahihi ...kama alikuwa anajua injili iliyo sahihi kwanini hakuifuata kabla ya yeye kufikia daraja la mtume. adriz Malaria 2 Al-mukheef Covax Jagina FaizaFoxy
 
Sasa umuonyeshe tu😄
Halafu mbona na wewe hutaki kutaja mistari ya Biblia😀
Sitaki kutaja mistari kwenye biblia wala msahafu kwa sababu akuniambia kuwa amesoma na akuyaona hayo niliyo sema.
 
Sasa badala ya kupingana na Quran kwa nini usiangalie kwanza hivyo vitabu vyako vya Taurati, Zaburi na Injili kama havijabadilishwa kweli? Najua una uhakika 100% kwamba hivyo vitabu vimebadilishwa. Ndio mana kuna version zaidi ya 1000 za Biblia na kila mtu anasema version yake ndio sahihi.

Lakini ukweli ni kwamba Quran haijawahi kubadilishwa tangu imeletwa duniani na hilo ndio agizo la Mungu alilosema katika Quran. Kama wewe una copy ya Quran ambayo ipo tofauti na hii tuliyo nayo ilete.

Kwa nini Allah amekilinda QURAN kisiharibiwe? kama vitabu vya mwanzo?

Ni kwa sababu Nabii Muhammad SAW ni Mtume wa mwisho na hakuna tena Mtume mwingine atakayekuja baada yake. Kwa hivyo ujumbe huo umelindwa ili sisi pamoja na watakaokuja baadae waweze kuupata ujumbe wa Mungu ulio salama na ambao haujaharibiwa.

Na hivyo vengine vilibadilishwa kweli lakini Allah aliwaacha wanadamu na ukaidi wao kwa sababu kulikuwa na Mitume wengine ambao bado walikuwa wanaletwa duniani kwa hivyo wao walikuwa wakirekebisha yale waliyoyaharibu watu.

Ukitaka ukweli ni vema ukajifunza kuliko kuzodoa, usikasirike kwa sababu Quran haijabadilshwa bali mshukuru Mungu kuwa angalau kuna kitabu kimoja ambacho hakijaharibiwa na wewe chukua fursa ukisome kwani ujumbe huo pia unakuhusu
 
Back
Top Bottom