Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,912
- 46,240
Unaonaje ungejibu kwanza swali langu kabla ya kuleta la kwako?Kama Yehova ni Mungu muweza wa yote kwa nini alishindwa kujinusuru asiwekwe msalabani?
Abu Lahab (PBUH)
Unaonaje ungejibu kwanza swali langu kabla ya kuleta la kwako?Kama Yehova ni Mungu muweza wa yote kwa nini alishindwa kujinusuru asiwekwe msalabani?
Kama Yesu Mungu hakuweza kujinusuru msalabani akalia tu masikini kutaka kuepusha hicho kikombe, wewe kwanini unafikiri wengine ndo waweze?Kama Allah mungu muweza wa yote kwa nini alishindwa kutunza Torah , Zaburi na Injili visichakachuliwe na ilihali ni vitabu vyake?
Ina maana Allah kuna mambo huwa yanamshinda?
Abu Lahab (PBUH)
Kwanini akufuata uislamu wa injiliSasa kuna shida gani hapo?
Rudi kasome nyuma nilikuuliza nini ukajibu nini ?...wewe tayari unawekwa kwenye kundi la wahuni kwa sababu unakubali na kukanisha jambo ulilo sema mwenyewe😏Sijakwambia Injil sio ya waislam mbona unanizushia sana🤣🤣
Yaani kukuambia Injil ni kwa ajili ya wanaisrael ushaanza kuzusha vitu vingi???
Unaweza kuniambia Abu Lahab umemtaja kwa sababu ya niniUnaonaje ungejibu kwanza swali langu kabla ya kuleta la kwako?
Abu Lahab (PBUH)
Tunarudi kulekule sasa🤣🤣Kwanini akufuata uislamu wa injili
Wapi nimekanusha jambo nililolisema mwenyewe???Rudi kasome nyuma nilikuuliza nini ukajibu nini ?...wewe tayari unawekwa kwenye kundi la wahuni kwa sababu unakubali na kukanisha jambo ulilo sema mwenyewe😏
Unaweza kuniambia Abu Lahab umemtaja kwa sababu ya nini
Allah aliruhusu vitabu vyake kwa hikma maalum na sio kama alishindwa kuvilinda
Hujajibu swali languKama Yesu Mungu hakuweza kujinusuru msalabani akalia tu masikini kutaka kuepusha hicho kikombe, wewe kwanini unafikiri wengine ndo waweze?
Mimi nakuuliza langu kwa nini Yesu alishindwa kujinusuru msalabani?Hujajibu swali langu
Abu Lahab (PBUH)
Swali kwa hiyo wstu wasio wana Israel walikuwa nje ya ile dhana ya Mungu akuumba isipokuwa aabudiwe ? Kwa hiyo watu wasio waisrael wangetii injili wangekuwa wamefanya kosa ?toka mwanzo wa mungu kuumba . Neno lake la kumtii yeye ni kwa wanadamu wote...sababu ya wana Israel kuonekana kana kwamba wamependelewa ni kwa sababu ya ucha mungu wa babu zao mungu ni mungu wa watu wote na mungu wa wachamungu wote wanao tii maneno yake ...tumia logic kujua Israel chanzo chake ni nini ?siyo kwamba torati si kwa watu wote bali waisrael tu la! Bali wao ndiyo waliokuwa wanachipuka wachamungu ndiyo sababu mungu kuonekana kana kwamba ni mungu wa jamii ya waisrael...Tunarudi kulekule sasa🤣🤣
Nimekwambia Injil iliteremshwa kwa ajili ya Wanaisrael tu
Dini ya kweli ni kwa binadamu wote hata torati injili nk ni kwa wanadamu wote hata uislamu unasema hivyo kuwa mungu akuumba isipokuwa aabudiwe ...kama injili na Torati ni kwa waisrael tu basi Mungu aliruhusu jamii nyingine zisimwabudu ?Wapi nimekanusha jambo nililolisema mwenyewe???
Kwa hiyo unataka kuniambia watu wa Tanzania walipewa Biblia tangu kipindi cha Yesu?Swali kwa hiyo wstu wasio wana Israel walikuwa nje ya ile dhana ya Mungu akuumba isipokuwa aabudiwe ? Kwa hiyo watu wasio waisrael wangetii injili wangekuwa wamefanya kosa ?toka mwanzo wa mungu kuumba . Neno lake la kumtii yeye ni kwa wanadamu wote...sababu ya wana Israel kuonekana kana kwamba wamependelewa ni kwa sababu ya ucha mungu wa babu zao mungu ni mungu wa watu wote na mungu wa wachamungu wote wanao tii maneno yake ...tumia logic kujua Israel chanzo chake ni nini ?siyo kwamba torati si kwa watu wote bali waisrael tu la! Bali wao ndiyo waliokuwa wanachipuka wachamungu ndiyo sababu mungu kuonekana kana kwamba ni mungu wa jamii ya waisrael...
Hadi umalize kujibu maswali yanguMimi nakuuliza langu kwa nini Yesu alishindwa kujinusuru msalabani?
Je unaonaje watu waliokuwa wanakaa Tanzania kipindi cha Torati yenu?Dini ya kweli ni kwa binadamu wote hata torati injili nk ni kwa wanadamu wote hata uislamu unasema hivyo kuwa mungu akuumba isipokuwa aabudiwe ...kama injili na Torati ni kwa waisrael tu basi Mungu aliruhusu jamii nyingine zisimwabudu ?
Nimekujibu Allah aliruhusu hayo yatendeke kwa hikma maalum ili awabainishe wanaofuata haki na wanaofuata matamanio na pia ipatikane haja ya kuwepo kitabu cha mwishoHadi umalize kujibu maswali yangu
Abu Lahab (PBUH)
Mbona nilisha eleza na kujibu ilo swali kwa wakristo waliouliza hapa jf ...asili ya dini yaani dini ya asili kabisa ya Mungu ni kujua mema na mabaya kisha kutenda mema na kutokutenda mabaya hii dini ipo ndani ya nafsi za wanadamuJe unaonaje watu waliokuwa wanakaa Tanzania kipindi cha Torati yenu?
Nilisha wai kuwajibu wakristo na wapagani kina kiranga ilo swaliKwa hiyo unataka kuniambia watu wa Tanzania walipewa Biblia tangu kipindi cha Yesu?
Sasa kumbe unajua sasa unashangaa niniMbona nilisha eleza na kujibu ilo swali kwa wakristo waliouliza hapa jf ...asili ya dini yaani dini ya asili kabisa ya Mungu ni kujua mema na mabaya kisha kutenda mema na kutokutenda mabaya hii dini ipo ndani ya nafsi za wanadamu
Kwa hiyo alipoleta torati alikuwa hakujipanga,ila sasa ndo kajipanga sio?Allah alipoona vitabu vyake vinachezewa.akaleta kiboko yao Quran