Sasa angeifuataje na wakati haikukuwepoKama kilicho andikwa kwenye biblia siyo sahihi ni rahisi tu kujua kama unazo akili kubwa ya logic ...kuna maelfu ya logic unaweza kuyatumia kujua ukweli ..mfano kwanini muhammad anapinga sana kuhusu kifo cha Yesu ? Kwani mtume kuuliwa ni dhambi ...kilogic iwe yesu aliuliwa au la isingekuwa hoja ya mjadara ya muhammad..maana huyo muhammad mwenyewe ndani ya uislamu amewasifu walio kufa mashahidi kwenye jehadi nk ...sasa kwa nini muhammad anaumia sana kuhusu yesu kuuliwa...ukitumia akili mafundisho ya Yesu ni sahihi na yenye heshima na haki na utakatifu kuliko mafindisho ya muhammad...kama unazo akili tumia akili zako kujua tofauti ya mafundisho ya yesu na muhammad...
Niliwai kuwauliza waislamu hapa jf 👉 Muongozo wa Mungu wa mwisho kabla ya msahafu ni Injili swali je kwa nini Muhammad akufuata Injili kabla ya kufikia daraja ya Utume wakati ndiyo muongozo wa mwisho ? Kilogic Muhammad awezi kusema injili ilialibiwa kwamba hata yeye aliye mtukufu wa daraja asijue ukweli wa injili iliyo ya kweli na kuifuata ...na kama Muhammad akufuata injili kwa kutokuijua iliyo ya kweli kwa nini anajidai kupinga injili kuwa hii ni sahihi na hii siyo sahihi ...kama alikuwa anajua injili iliyo sahihi kwanini hakuifuata kabla ya yeye kufikia daraja la mtume.
Kiongozi umeandika mambo ya msingi sana ila jamaa anakujibu kirahisi sanaKama kilicho andikwa kwenye biblia siyo sahihi ni rahisi tu kujua kama unazo akili kubwa ya logic ...kuna maelfu ya logic unaweza kuyatumia kujua ukweli ..mfano kwanini muhammad anapinga sana kuhusu kifo cha Yesu ? Kwani mtume kuuliwa ni dhambi ...kilogic iwe yesu aliuliwa au la isingekuwa hoja ya mjadara ya muhammad..maana huyo muhammad mwenyewe ndani ya uislamu amewasifu walio kufa mashahidi kwenye jehadi nk ...sasa kwa nini muhammad anaumia sana kuhusu yesu kuuliwa...ukitumia akili mafundisho ya Yesu ni sahihi na yenye heshima na haki na utakatifu kuliko mafindisho ya muhammad...kama unazo akili tumia akili zako kujua tofauti ya mafundisho ya yesu na muhammad...
Niliwai kuwauliza waislamu hapa jf 👉 Muongozo wa Mungu wa mwisho kabla ya msahafu ni Injili swali je kwa nini Muhammad akufuata Injili kabla ya kufikia daraja ya Utume wakati ndiyo muongozo wa mwisho ? Kilogic Muhammad awezi kusema injili ilialibiwa kwamba hata yeye aliye mtukufu wa daraja asijue ukweli wa injili iliyo ya kweli na kuifuata ...na kama Muhammad akufuata injili kwa kutokuijua iliyo ya kweli kwa nini anajidai kupinga injili kuwa hii ni sahihi na hii siyo sahihi ...kama alikuwa anajua injili iliyo sahihi kwanini hakuifuata kabla ya yeye kufikia daraja la mtume.
Kwa kuwa wewe unataka upande mwingine uonekane dhaifu kwa jambo fulani wakati hata upande wako jambo hilo lipoWe jamaa huwa hujibu maswali Bali unaweka swali juu ya swali. Hivo mada haiwezi kuisha.
Hata wakijibu kirahisi ...ukweli wameanza kuujua moyoni...waislamu hawana logic hivyo nawasaidia kufungua logicKiongozi umeandika mambo ya msingi sana ila jamaa anakujibu kirahisi sana
Mimi siwezi kukubali kuwa huo ni udhaifu kwetu ila wewe ndio uwe unakubali kuwa ni dhaifu kwa pande zote ili tufunge mjadala au ujitetee kuwa sio udhaifu kwa upande wenuKama ni hivo inabidi tuwe tunakubaliana kwamba hili ni dhaifu Kisha useme, dhaifu hili hata upande wenu lipo.
Haya turudi kwenye point,Mimi siwezi kukubali kuwa huo ni udhaifu kwetu ila wewe ndio uwe unakubali kuwa ni dhaifu kwa pande zote ili tufunge mjadala au ujitetee kuwa sio udhaifu kwa upande wenu
Allah aliruhusu vipotee kwa hikma yakeHaya turudi kwenye point,
Unakubaliana na huyu jamaa anayesema Allah mwenyewe kataka vitabu vyake vipotee?
Simple and clearKiongozi umeandika mambo ya msingi sana ila jamaa anakujibu kirahisi sana
Ukisema logic utagundua kuwa nyinyi ndio hamna logic kwa kugeuza Mungu Mmoja kuwa watatuHata wakijibu kirahisi ...ukweli wameanza kuujua moyoni...waislamu hawana logic hivyo nawasaidia kufungua logic
Kuruhusu afe msalabani ni hekima au udhaifu?Kuruhusu vitabu vipotee ndo hekima? Hebu fafanua kidogo naweza kukuelewa
Hata silijuiKuna mada nimeanzisha ila imesukumwa kwenye jukwaa la dini, kule wenye ruhusa ya kuingia ni wachache, kama we unaweza hebu njoo ujibu hoja
Sasa wewe unataka kosa lionekane kwetu tu ila likiwa kwenu sio kosaHapo ndo unapozingua sasa!
Shetani anafanya kazi kwenye dini yoyote hivyo upotoshaji ni swala la dini zote ..sisi tunacho fanya ni kuutafuta ukweli halisi ..hao wanao sema Mungu ana nafsi 3 ni Wapumbavu tu....hoja kama muhammad aliweza kufunuliwa na Mungu mafundisho mapya ya uislamu je kwa nini asifunuliwe na Mungu mafundisho sahihi ya injili ili ayafuate kabla ya kupewa utume? Kila mtume kabla ufuata mafundisho ya mwisho ya Mungu na kwa hayo kufikia daraja ya utume.Ukisema logic utagundua kuwa nyinyi ndio hamna logic kwa kugeuza Mungu Mmoja kuwa watatu