Muhammad siyo hata mtume wala mtakatifu Muhammad ni shetani ibilisi alijazwa roho ya shetani kwa kupasuliwa.
Tafsiri ipi sio sahihi? Mungu anasema hakuna wa kubadilisha neno lake unataka mtu akutafsirie hiyo? Kuwa serious mkuu...Kwanza kiri kuwa ulitoa tafsiri siyo sahihi! Kisha baada ya hapo tutakuja kwenye nukta inayofuata.
Pale nilivyokuambia ni kwa hukumu na ahadi zakeItakuwa sijaona mkuu, jibu lako ni post namba ngapi! Au kama hutojali nijibu tena
Sawa lakini umeambiwa Yesu sio Mungu na mkristo mwenzioMuhammad siyo hata mtume wala mtakatifu Muhammad ni shetani ibilisi alijazwa roho ya shetani kwa kupasuliwa.
Wanazuoni ndo walielezea hivyo kutafsiri hiyo aya ni maelezo marefuHilo jibu halijakamika, weka maelezo vizuri....au huna jibu
Yupo hai hadi sasa ...anakusikia wakati mtukufu wa daraja na wake zake na maswahaba wake ni mizoga siku nyingi...Sawa lakini umeambiwa Yesu sio Mungu na mkristo mwenzio
Wanazuoni ni wajanjawajanja tu, aya ndogo maelezo kibao hadi unashindwa kuyaweka hapa,Wanazuoni ndo walielezea hivyo kutafsiri hiyo aya ni maelezo marefu
Sawa lakini umeambiwa sio Mungu🤣🤣🤣Yupo hai hadi sasa ...anakusikia wakati mtukufu wa daraja na wake zake na maswahaba wake ni mizoga siku nyingi...
Sasa wewe ndo unalazimisha maana unayotaka wewe🤣🤣🤣Wanazuoni ni wajanjawajanja tu, aya ndogo maelezo kibao hadi unashindwa kuyaweka hapa,
Andika kiufupi tu nitaelewa.
Mungu anasema hakuna wa kubadilisha neno lake, nyie mnasema wapo wanaoweza. Mnampinga Allah?
Kuna version ngapi za bible?Waislam wote duniani wanafundishana kwamba vitabu vya Mungu; Tourati, Zaburi na Injili vimechakachuliwa. Hili fundisho mmepata wapi! Mbona mnamuona Mungu ni dhaifu sana kiasi kwamba hawezi kulinda vitabu vyake?
Yaani Bukhari ana kitabu chake cha Hadith kipo hadi leo tangu kiandikwe ila Mungu wenu Allah hakuweza kabisa kulinda vitabu vyake. Kitabu cha kibinadamu cha Hadith kimelindwa na wanadamu ila Allah hana kabisa uwezo wa kulinda vitabu vyake....Mungu wenu mnamuonaje?
Ila huyo huyo Allah anasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu anaweza kubadilisha maneno yake (quran6:34) lakini bado mnampinga na kusema wapo walioweza kubadilisha.
Yaani Mungu alete vitabu vinne(kwa mujibu wa uislam) Kisha aweze kutunza kimoja tu? Mungu dhaifu sana huyu. Ni sawa na una mbuzi 100 Kisha mbabe mmoja anajitokeza anakuvamia na kuchukua 75 unabaki na 25, we ni dhaifu sana umeshindwa kulinda mali yako.
Sasa nipo njiapanda, waislam mnisaidie. Tuwaamini nyie kwamba vitabu vyake vitatu vimeharibiwa kwamba yeye hana uwezo wa kuvilinda au tumuamini yeye aliposema hakuna wa kubadilisha maneno yake na kwamba sasa nyie ni waongo kusema vimebadilishwa?
Una maana kazaliwa na Mungu au kuna maana nyingineYesu ni mwana wa Mungu, au we unasemaje
😂😂Hapana.Una maana kazaliwa na Mungu au kuna maana nyingine
Umejibu mada iliyopo mezani au unaleta mada zingine?Kuna version ngapi za bible?
Je zote zinafanana?
Kama hazifanani, je zimeletwa na Yesu tofauti? If not what's the reason ya matoleo tofauti ya bible?
Nikitulia nitaweka ila najua utasema uongo tu🤣🤣🤣Lete sasa hayo maelezo
Kwa hiyo kila ninavyokujibu wewe unasema huoni dah🤣🤣🤣😂😂Hapana.
Sisi sote ni Wana wa Mungu ila Yesu ni wa kipekee kwa Mungu.
Halafu usihame mada tubaki mule kwanza tukimaliza tunakuja hapa,
Swali,
Mungu anasema hakuna wa kubadilisha neno lake, nyie mnasema wapo wanaoweza. Kwa nini mnampinga Allah wenu?