Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

Allah alipoona vitabu vyake vinachezewa.akaleta kiboko yao Quran
 
Ujanielewa bado Allah katuza Quran kitabu cha mwisho.
Quran ni kitabu cha shetani, kimeandikwa hapo Al Azhar University 1924

Chuo chenye mizizi ya freemason na ashashin (assassin)

Quran ni kitabu cha shetani mwenyewe ili kumpinga Mungu muumbaji
 
Allah alipoona vitabu vyake vinachezewa.akaleta kiboko yao Quran
Quran hii ambayo haijui hata mke wa Adamu ni nani?

Hii ambayo haijui hata ukoo wa Yesu unatoka kwa Yuda sio Imram ukoo wa lawi?

Quran hii ambayo Haina hata manuscript moja tu

Quran hii ambayo imejaa mashairi ya waarabu ?
 
Quran ni kitabu cha shetani, kimeandikwa hapo Al Azhar University 1924

Chuo chenye mizizi ya freemason na ashashin (assassin)

Quran ni kitabu cha shetani mwenyewe ili kumpinga Mungu muumbaji
Hizi ndo nyimbo zako wewe unaga jipya unarudia yale yale ya zamani, tangu uokoke ubango wako ulisha sizi na kuganda kabisa.
 
Hizi ndo nyimbo zako wewe unaga jipya unarudia yale yale ya zamani, tangu uokoke ubango wako ulisha sizi na kuganda kabisa.
Jibu hoja wewe usiye na elimu

Allah ni shetani mwenyewe
 
Yesu sio Mungu

Eleza vizuri mkuu, kivipi yani fafanua kidogo
Hata nikikupa hayo maelezo ya wanazuoni bado utasema ni uongo🤣🤣🤣

Anyway sio maneno yangu ni maneno ya kina Ibn Abbas,Abdullah ibn Mas'ud,Ibn Taymiyyah na wengineo
 
Kwa maelezo yako inamaana unaamini kuna mtu anaweza kubadilisha kitabu chenye maneno ya Mungu?
 
Kwa maelezo yako inamaana unaamini kuna mtu anaweza kubadilisha kitabu chenye maneno ya Mungu?
Vilivyobadilishwa vimebadilishwa lakini sio Qur’an labda mtu aje na tafsiri tofauti ya kupotosha kama mnavyofanyaga nyinyi ila lakini mwisho wake hufahamika tu
 
Vilivyobadilishwa vimebadilishwa lakini sio Qur’an labda mtu aje na tafsiri tofauti ya kupotosha kama mnavyofanyaga nyinyi ila lakini mwisho wake hufahamika tu
Swali ni kwamba, kwanini vimebadilishwa wakati anasema hakuna wa kubadilisha neno lake? Kwanini aliruhusu vitabu vyake vibadikishwe au hana uwezo wa kuvitunza?
 
MUONGO KAFIRI MKRISTO MROMAN KATOLIKI NDIO WAONGO DUNIANI
Muongo zaidi ni Allah maana anasema hakuna mtu wa kubadilisha maneno yake ila bado kuna wanadamu wamenadilisha
 
Kwa maelezo yako inamaana unaamini kuna mtu anaweza kubadilisha kitabu chenye maneno ya Mungu?
Kwanza kiri kuwa ulitoa tafsiri siyo sahihi! Kisha baada ya hapo tutakuja kwenye nukta inayofuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…