Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

Kwanza kiri kuwa ulitoa tafsiri siyo sahihi! Kisha baada ya hapo tutakuja kwenye nukta inayofuata.
Tafsiri ipi sio sahihi? Mungu anasema hakuna wa kubadilisha neno lake unataka mtu akutafsirie hiyo? Kuwa serious mkuu...
Halafu mkuu, huoni kwamba ni jambo baya kusema kitabu cha Mungu kimechezewa. Hapo ni sawa na umemdharau kuonyesha kwamba hana ubavu wa kulinda kitabu chake.
 
Wanazuoni ndo walielezea hivyo kutafsiri hiyo aya ni maelezo marefu
Wanazuoni ni wajanjawajanja tu, aya ndogo maelezo kibao hadi unashindwa kuyaweka hapa,
Andika kiufupi tu nitaelewa.
Mungu anasema hakuna wa kubadilisha neno lake, nyie mnasema wapo wanaoweza. Mnampinga Allah?
 
Wanazuoni ni wajanjawajanja tu, aya ndogo maelezo kibao hadi unashindwa kuyaweka hapa,
Andika kiufupi tu nitaelewa.
Mungu anasema hakuna wa kubadilisha neno lake, nyie mnasema wapo wanaoweza. Mnampinga Allah?
Sasa wewe ndo unalazimisha maana unayotaka wewe🤣🤣🤣
Halafu wanazuoni walioelezea hiyo ni wanazuoni halisi 🔥
 
Kuna version ngapi za bible?

Je zote zinafanana?

Kama hazifanani, je zimeletwa na Yesu tofauti? If not what's the reason ya matoleo tofauti ya bible?
 
Una maana kazaliwa na Mungu au kuna maana nyingine
😂😂Hapana.
Sisi sote ni Wana wa Mungu ila Yesu ni wa kipekee kwa Mungu.

Halafu usihame mada tubaki mule kwanza tukimaliza tunakuja hapa,

Swali,
Mungu anasema hakuna wa kubadilisha neno lake, nyie mnasema wapo wanaoweza. Kwa nini mnampinga Allah wenu?
 
Kuna version ngapi za bible?

Je zote zinafanana?

Kama hazifanani, je zimeletwa na Yesu tofauti? If not what's the reason ya matoleo tofauti ya bible?
Umejibu mada iliyopo mezani au unaleta mada zingine?
Unaamini kwamba neno la Mungu limebadilishwa?
 
Kwa hiyo kila ninavyokujibu wewe unasema huoni dah🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…