Kati ya watumishi wa Mungu wenye majina makubwa na wanaoonekana kwenye TV, hakuna hata mmoja aliyetabiri kinagaubaga vita ya Ukraine.

Kati ya watumishi wa Mungu wenye majina makubwa na wanaoonekana kwenye TV, hakuna hata mmoja aliyetabiri kinagaubaga vita ya Ukraine.

Ilishatabiriwa na mchungaji fulan enzi hizo kuwa Urusi itainuka na kuwa taifa kubwa na vita itakayoanzisha itagawanya dunia katika mataifa manne(japo yeye alisema mataifa mane) hakutiliwa maanani coz alikuwa kilocal sana
Sasa hapo ametabiri nn,hivi mnasoma biblia kweli, urus ya kisoviet ilishakuwa taifa kubwa ikasambaratishwa

biblia inatabiri super power ni USA

unabii kuhus urusi kwenye bibli soma daniel na ezekiel ,na bado haujatimia

alichoeleza moses kolola ni alichosema daniel

Mfalme wa kaskazini na kusini wote ni watenda madhara, hupigana na kuitana mezani kuzungumza halafu wanaambiana uongo kwenye vikao. Na mapatano yao hayadumu, huvunjika, na Mfalme wa kusini siku zote ni mkorofi na anaogopeka, maana vita ndio suluhu yake lakini mfalme wa kaskazini humshinda kirahisi. Daniel 11:27 KJV
Mfalme wa Kaskazini ni tajiri zaidi na anao washirika wengi, wa kusini anao uwezo wa kivita ambao ndio kinga yake kuu na utisho. Lakini mwisho hukimbiwa na wengi na kumwacha mfalme wa Kaskazini katika ukuu wa dunia.
Na zamani zile watu wengi watasimama ili kumpinga mfalme wa kusini;...Dan 11:14 SUV
Hivyo mwisho wa mfalme wa kusini ni kukataliwa na kubakia bila nguvu na kuwa chini ya mfalme wa Kaskazini ambaye atatawala hadi wakati ulio amriwa.
Pichani ni Bush na Reagan wakiwa na Rais wa Umoja wa Kisovieti Mikhail Gorbachev huko Lower Manhattan, nyuma ya Minara Pacha. 1988
1648325640209.png
 
Kuna mmoja anajiita nabii wa ishara tanzania alitabiri ukimgugo utaona na alisema mara mbili kabla ya vita
 
Tafuta clip ya Moses Kurola kuna kitu utakipata
Sasa hapo ametabiri nn,hivi mnasoma biblia kweli, urus ya kisoviet ilishakuwa taifa kubwa ikasambaratishwa

biblia inatabiri super power ni USA

unabii kuhus urusi kwenye bibli soma daniel na ezekiel ,na bado haujatimia

ndicho alichoeleza moses kolola

Neno Gogu na Magogu limeonekana sehemu mbili katika biblia, Sehemu ya kwanza ni katika kitabu cha Ezekieli 38:2, na katika Ufunuo 20:8.

Tunalisoma hilo vizuri katika Ezekieli..

Ezekieli 38:1 “Neno la Bwana likanijia, kusema,
2 Mwanadamu, kaza uso wako, umwelekee GOGU, wa NCHI YA MAGOGU, mkuu wa Roshi, Mesheki, na Tubali, ukatabiri juu yake”,
Na nchi hiyo lilikuwa upande wa kaskazini mwa Asia na Ulaya, ambayo sasahivi ni Maeneo ya nchi ya Urusi. Hatima ya hilo Taifa la Magogu, biblia haijaieleza, lakini ni wazi kuwa lilikuja kupotea kama yalivyopotea mataifa mengine yaliyokuwa hodari kama Babeli.

Sasa baada ya kujua hilo, twende kipengele cha pili, cha GOGU. Kama tulivyotangulia kusema Magogu sio wingi wa Gogu. Bali Gogu ni kiongozi wa Taifa la Magogu. Yaani mfalme wa taifa la Magogu. Kwahiyo tunaposoma, neno Gogu na Magogu, Ni sawa na kusema Farao na Misri, au Sulemani na Israeli.

Ndio maana tunasoma hapo katika Ezekieli 38:3… “useme, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni juu yako, Ewe GOGU, mkuu wa Roshi, na Mesheki, na Tubali;”

Umeona hapo mstari wa 2, unasema Gogu mkuu wa…. Neno “mkuu wa” linaashiria ni kiongozi, hivyo Gogu ni jina la kiuongozi kama vile Farao, au Sultani. Na Magogu ni Taifa hilo lenye nguvu ambalo linatawala mataifa mengine madogo madogo (Tubali, Mesheki na Roshi)

Sasa kama tulivyotangulia kusema huo mji wa Magogu haupo tena wala mkuu wake Gogu hayupo…Lilikuwepo enzi hizo, lakini sasa halipo tena, lakini huo unabii wa Ezekieli 38 bado haujatimia.. Ambapo ukisoma hiyo Ezekieli 38 yote, utaona inazungumzia Habari za vita vitakavyopiganwa Israeli, ambapo Mataifa mengi katika nchi ya mashariki ya kati (kwasasa ni mataifa ya kiarabu), yataungana pamoja na Gogu na Magogu, atakayekuwepo kipindi hicho kuja kuivamia Israeli, lakini biblia inasema Gogu atashindwa vibaya sana Pamoja na mataifa hayo aliyoshirikiana naye.

Sasa huyo Gogu na Magogu, atakuwa ni nani, kama mji huo ulishapotea kitambo?..

Gogu atakayeasisi vita hivyo vya Ezekieli 38, Uthibitisho wote unaonyesha kuwa atakuwa si mwingine Zaidi ya Mkuu wa Taifa la URUSI .
 
Sasa hapo ametabiri nn,hivi mnasoma biblia kweli, urus ya kisoviet ilishakuwa taifa kubwa ikasambaratishwa

biblia inatabiri super power ni USA

unabii kuhus urusi kwenye bibli soma daniel na ezekiel ,na bado haujatimia

alichoeleza moses kolola ni alichosema daniel

Mfalme wa kaskazini na kusini wote ni watenda madhara, hupigana na kuitana mezani kuzungumza halafu wanaambiana uongo kwenye vikao. Na mapatano yao hayadumu, huvunjika, na Mfalme wa kusini siku zote ni mkorofi na anaogopeka, maana vita ndio suluhu yake lakini mfalme wa kaskazini humshinda kirahisi. Daniel 11:27 KJV
Mfalme wa Kaskazini ni tajiri zaidi na anao washirika wengi, wa kusini anao uwezo wa kivita ambao ndio kinga yake kuu na utisho. Lakini mwisho hukimbiwa na wengi na kumwacha mfalme wa Kaskazini katika ukuu wa dunia.
Na zamani zile watu wengi watasimama ili kumpinga mfalme wa kusini;...Dan 11:14 SUV
Hivyo mwisho wa mfalme wa kusini ni kukataliwa na kubakia bila nguvu na kuwa chini ya mfalme wa Kaskazini ambaye atatawala hadi wakati ulio amriwa.
Pichani ni Bush na Reagan wakiwa na Rais wa Umoja wa Kisovieti Mikhail Gorbachev huko Lower Manhattan, nyuma ya Minara Pacha. 1988
View attachment 2165507
Sawa mkuu
 
Vita ya Russia na Ukraine ilikuwa inaonekana kabisa itakuja kutoka Wala haikuhitaji utabiri wowo
 
hiyo sio vita ni operation ya kijesh,achen kulishwa propaganda na BBC,CNN,ALJAZEERA,FRANCE 24,TBC

Vita iliyotabiriwa na biblia ni URUS VS ISRAEL ,na bado

soma Ezekieli38:1
1Neno la Bwana likanijia,kusema
2Mwanadamu,kaza USO wako,umwelekee GOGU wa nchi ya MAGOGU, #Mkuu_wa_Roshi,Mesheki,na Tubali,ukatabiri juu yake...

Hapa tunaona GOGU ni MKUU WA ROSHI na ...,ikimaanisha ni #kiongozi kama nilivyosema kama tu,Farao au Raisi au Mfalme .Na hapo pia MAGOGU ni #taifa lenye #nguvu ambalo linatawa #Mataifa_madogo_madogo ambayo ni Roshi,Tubali,Mesheki.
Sasa hili taifa kwa sasa halipo,lili kiwepo enzi hizo,lakini unabii wa Ezekieli bado haujatimia kwa sehemu fulani,.
Huyu GOGU na MAGOGU atakayeasisi vita hii ni #Mkuu wa taifa la #Urusi,ndio linalofananishwa na MAGOGU,maana ndilo taifa lililo kaskazini mwa #Asia na #Ulaya,eneo #lilelile_Magogu alipokuwepo,na Pia ndio Taifa #lenye_nguvu_kijeshi kaskazini mwa Ulaya Mfano wa MAGOGU wa Mwanzo.
Hivyo taifa la Urusi ndio litakalotimiza Unabii huo wa GOGU na MAGOGU Kama Mwasisi mkuu akiungana na Mataifa Mengin ili kufanya VITA NA WATAKATIFU ...Lakini kabla hawajaachia #Mashambulizi yoyote juu ya Watakatifu,ghafra Moto #utawala na kuwaua wote.
Ufunuo20:9
9.....wakaizingira kambi ya Watakatifu, na mji huo uliopendwa,MOTO UKASHUKA KUTOKA MBINGUNI,UKAWALA.
Na baada ya VITA hiyo kuisha tu,kinachofuata ni HUKUMU YA WATU WOTE tangu Adamu mbaka huo wa kati.
 
Back
Top Bottom