mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,401
Nchi zipi duniani kwa mfano zinatenda ulichoongea na zimefanikiwa?Changamoto za Tanesco hazijaanza leo na hazitaisha kesho kama bunge/raisi hatotenganisha production na transmission/distribution. Tanesco ibaki kwenye transmission na distribution tu. Production ya umeme ifanywe na serikali kupitia separate company, pia sector binafsi iendelee zalisha umeme kama sasa ila iwekewe sheria wezeshi.
Yakifanyika hayo basi hata hizi lawama tunazowapa wakurugenzi zitapungua.
List hapa chini
1.....
2.....
3.....
4......