Kati ya Waziri January Makamba na Rais Samia, nani alimteua Maharage kuwa Mkurugenzi Tanesco?

Nchi zipi duniani kwa mfano zinatenda ulichoongea na zimefanikiwa?

List hapa chini
1.....
2.....
3.....
4......
 
Alipendekezwa na kipara kijana jina likapelekwa kwa hangaya ambaye bila kuchimba zaidi akaridhia na kuteua maana ndio mamlaka ya uteuzi kwa wakurugenzi.
 
Hapo kwenye Production mkuu ungetumia neno generation ingependeza zaidi...
 
Makamba ni janga la taifa. Yeye anafanya usaili wa kumpata Mkurugenzi mtendaji wa umeme nchini, anajua nini kuhusu umeme? Kwanini nafasi isitangazwe na usaili ukafanywa na wenye sifa za utalaamu huo?

DSTV ni kampuni ya Afrika Kusini na dada yake yuko huko. Kwa hiyo dada kamtafutia mshikaji wake ukurugenzi wa tanesco kupitia kwa kaka yake. Raisi kachomekewa tu. Teuzi za watendaji wakuu wa serikali na tasisi za serikali sasa zimekuwa za kisiasa. Hata huko mambo ya nje Makamba kaenda na watu wake.
 
Alipendekezwa na kipara kijana jina likapelekwa kwa hangaya ambaye bila kuchimba zaidi akaridhia na kuteua maana ndio mamlaka ya uteuzi kwa wakurugenzi.

Yawezekana kweli alipendekezwa Ila ukimsikiliza Makamba,ni kama yeye ndio aliamua!! Huenda pia lile suala la wateule kutangazwa na baadae kutenguliwa kabla hata ya kuhapa chanzo ni hiki,kua watu wanatoa vimemo tu!!
 
Samia ana mwamini sn Makamba kupita kiasi ni sawa na Ummy, Aweso, Mchengerwa, Bashe, Nape hawa humwambii kitu maza
 
Pengine tumerudi mahali hizi teuzi watu wananunua. Siwezi fikiri mama anaweza kama alivyokua jpm kutolala hadi asubuhi ili kujua nani hao anapendekezewa au anataka wateua. Kama huyo omar issa aliyekua amepewa uenyenyekiti wa bodi tanesco. Sijui hata kama wanauza hao wauzaji wanaelewa uzito wa nafasi kama hiyo.🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…