Kati ya Waziri January Makamba na Rais Samia, nani alimteua Maharage kuwa Mkurugenzi Tanesco?

Upo sahihi huyu huwa analetewa tu anakubaliana nao
 
Kuna wakati mie nawaza je kama sie watu wa nje tuona ni utendaji mbovu je kweli yye kma kiongozi wa ngazi ya juuu kweli haoni?
 
Kwa sasa tumeona Maharage Chande kapelekwa TTCL,je huko amefanyiwa usaili na ....?!!

Mkuu tokea lini nafasi ya uteuzi ikahitaji usahili?

Kuteuliwa maana yake ni mtu mmoja kuwa na imani nawe, hivyo kukupa nafasi ya kumuwakilisha kwa niaba...

Hizo nafasi hutokea baada ya pendekezo la watu wa chini ya Rais...
 
Kuna wakati mie nawaza je kama sie watu wa nje tuona ni utendaji mbovu je kweli yye kma kiongozi wa ngazi ya juuu kweli haoni?

Swali muhimu.

Swali la kujiuliza zaidi,ikiwa haya machache tunayaona na kuyasikia hadharani,nje kwa ndani na ukubwa wa mambo ya sirikali,kuna madudu na maroroso mangapi?!!
 
Kwamba tuamini hata Foreign affairs alijipeleka mwenyewe huko?
Viongozi wengi wakuu wa nchi nyingi,hasa za kiafrika, wanatafuta madaraka au Dola kwa kusaidiana na watu wenye mlengo unaofanana.

Na wanapofanikiwa kukamata Dola mara nyingi wanapenda kuwateau washirika waliowasaidia kushika Dola kwa njia moja au nyingine, katika nafasi mbali mbali,zikiwemo uwaziri au washauri wa Karibu.

Sometimes inakua ngumu kwa mteuaji kuwapotezea watu wa aina hiyo, especially kama bado Wana ambitions za kisiasa. Na inakua even extra difficult ikitokea kama ilivyotokea Tanzania, manake mchango wa wapiga kura hubadirika kadri siku na hali ya kisiasa inavyokua kwa wakati husika.
 
Magu aliwatosa waliokuwa wakitengeneza matokeo fake kumbeba!!

Yule ndo anahitajika wa vile!!
 
Wafu huambatana na wafu wenzao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…