Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Tuache ushabiki, tuambiane ukweli.Kati ya Simba na Yanga ipi timu bora hapa Tanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa leo ni Yanga. Leo tuTuache ushabiki, tuambiane ukweli.Kati ya Dimba na Yanga ipi timu bora hapa Tanzania?
Yenu tumeiona pia leo ndugu yangu.Very simple aliyefungwa jana na aliye shinda leo we unaonaje View attachment 2523471
Furaha tuliyonayo wananchi isitupofusheTuache ushabiki, tuambiane ukweli.Kati ya Dimba na Yanga ipi timu bora hapa Tanzania?
Kivipi mkuuHakuna timu bora Tanzania
Una maana gani mkuuFuraha tuliyonayo wananchi isitupofushe
Kwa idadi ya makombe kwenye ligi yetu ni YANGATuache ushabiki, tuambiane ukweli.Kati ya Simba na Yanga ipi timu bora hapa Tanzania?
Na mafanikio mengine zaidi ya makombe mkuuKwa idadi ya makombe kwenye ligi yetu ni YANGA
Unamaanisha simba mkuuTIMU AMBAYO IPO KWENYE MICHUANO MIKUBWA KULIKO INGINE NDIO BORA.
Macho, macho linganisha michuano halafu jifunze timu yeyote inaweza kufungwa.Unamaanisha simba mkuu
Mtani vipi kuhusu ubingwa mara nyingi??Macho, macho linganisha michuano halafu jifunze timu yeyote inaweza kufungwa.
Ubingwa pia una namna nyingi za kuupata.historia ya soka la Tanzania ilikuwa na mengi toka enzi za kina NDIMBO ZAMA HIZO.Ndio maana timu moja ilikuwa vizuri sana kimataifa kuliko nyingine.Mtani vipi kuhusu ubingwa mara nyingi??