NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Kabisa unaona kabisa mtu anatamani kujiua timu ya mwenzie ikishinda.Ina maana kwa watanzania mpira sio burudani bali ni chuki na husda mkuu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa unaona kabisa mtu anatamani kujiua timu ya mwenzie ikishinda.Ina maana kwa watanzania mpira sio burudani bali ni chuki na husda mkuu??
Kivipi mkuu
Makombe mkuuKi... timu bora Kwa viwango gani? Au kwa kuiringanisha na timu gani? Yaani tuangalie vigezo gani? Ndio tuiite timu bora
Soka la bongo tu,au mpaka England???Kabisa unaona kabisa mtu anatamani kujiua timu ya mwenzie ikishinda.
Makombe mkuu
Ya ndani na nje ya tz mkuu!!La ndani au la CAF
Ya Katavi?Wachezaji ni bora kuliko team[emoji16][emoji16] sijaona timu hapa bongo kama malimao fc
Sio soka la bongo SOKA LA YANGA NA SIMBA.Soka la bongo tu,au mpaka England???
Ok mkuu nimekuelewaSio soka la bongo SOKA LA YANGA NA SIMBA.
Kwa maana hiyo maendeleo kwa soka la bongo ni ndotoSio soka la bongo SOKA LA YANGA NA SIMBA.
Mashujaa Band FC....!! 😃Raja Casablanca ....
Green Eagles...
RCA 🥂🍾
Timy hizi zikifa au mojawapo soka litaendelea.Kwa maana hiyo maendeleo kwa soka la bongo ni ndoto
Hilo haliwezekani mkuuTimy hizi zikifa au mojawapo soka litaendelea.
ALIONDOKAGA NYERERE, hakuna lianzshwalo na mwanaadamu litakosa ukomo.Kuna vizazi vya wanasiasa wa kizamani, wakipotea zitapotea au kubadilikaHilo haliwezekani mkuu
Timu ni kama dini mkuuALIONDOKAGA NYERERE, hakuna lianzshwalo na mwanaadamu litakosa ukomo.Kuna vizazi vya wanasiasa wa kizamani, wakipotea zitapotea au kubadilika
Za kwenu ni vichaka vya wezi, wenye dini nazo ni sisi mizungu reli tunaopelekeshwa na mihemko.MASHABIKITimu ni kama dini mkuu
Pia timu ni chimbo la ulaji mkuuZa kwenu ni vichaka vya wezi, wenye dini nazo ni sisi mizungu reli tunaopelekeshwa na mihemko.MASHABIKI
Ungesema ni kama vyama vya siasa na vichimbo vya propaganda uchwara.za kusahaulisha watu umakini.Pia timu ni chimbo la ulaji mkuu
Upo sahii mkuuUngesema ni kama vyama vya siasa na vichimbo vya propaganda uchwara.za kusahaulisha watu umakini.