Kati ya Yanga na Simba ipi timu bora hapa Tanzania?

Kati ya Yanga na Simba ipi timu bora hapa Tanzania?

Na yanga na simba huwa hazitofaotiani sana na kuna wakati nyingine inakuwa mbovu KWA sababu tu zisizo za kimpira.KUNA WAKATI ZICHUKULIE KAMA KLABU ZA POMBE.
 
Na yanga na simba huwa hazitofaotiani sana na kuna wakati nyingine inakuwa mbovu KWA sababu tu zisizo za kimpira.KUNA WAKATI ZICHUKULIE KAMA KLABU ZA POMBE.
Mkuu umetisha🤣🤣🤣 kama umaarufu wa baa za mtaani.Leo hii na kesho hii.
 
Ina maana kwa watanzania mpira sio burudani bali ni chuki na husda mkuu??
Mpira ndivyo ulivyo sema sisi watanzania tunataka tushindege tu, halafu ushabiki wetu umejaa chuki na kuoneana kijicho Na haya ndio maisha na tabia za watanzania hata kwenye maisha ya kawaida.
 
Si lazima kuzitaja, ila kwa Ruvu na Majimaji, moja ipo Premier League na nyingine ipo FDL, na kwa Simba na Yanga, moja ipo Champions League nyingine ipo Confederation Cup (cup, not league)
unawasimanga wana yanga sasa mkuu🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom