Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #21
Mtani au unatuonea gere???Ubingwa pia una namna nyingi za kuupata.historia ya soka la Tanzania ilikuwa na mengi toka enzi za kina NDIMBO ZAMA HIZO.Ndio maana timu moja ilikuwa vizuri sana kimataifa kuliko nyingine.
Mkuu umetisha🤣🤣🤣 kama umaarufu wa baa za mtaani.Leo hii na kesho hii.Na yanga na simba huwa hazitofaotiani sana na kuna wakati nyingine inakuwa mbovu KWA sababu tu zisizo za kimpira.KUNA WAKATI ZICHUKULIE KAMA KLABU ZA POMBE.
Hakuna gere aliyepata kapata tunajadili tu, kwani simba mpaka kufungwa juzi haikuwahi kushinda.Sasa hapa kigezo cha ubora unakitumiaje.Mtani au unatuonea gere???
Nakutania mkuu,nothing seriousHakuna gere aliyepata kapata tunajadili tu, kwani simba mpaka kufungwa juzi haikuwahi kushinda.Sasa hapa kigezo cha ubora unakitumiaje.
Weka vigezo vyako vya ubora kwanzaTuache ushabiki, tuambiane ukweli.Kati ya Simba na Yanga ipi timu bora hapa Tanzania?
Kwa Sasa Uto...wapo vizuriIpi ni timu bora tuache ushabiki tuwe wakweli
Makombe mengi mkuuWeka vigezo vyako vya ubora kwanza
Najua mkuuNakutania mkuu,nothing serious
Unamaanisha yanga ni timu bora kuliko zote tanzania kwa kipindi hiki???Kwa Sasa Uto...wapo vizuri
Mpira ndivyo ulivyo sema sisi watanzania tunataka tushindege tu, halafu ushabiki wetu umejaa chuki na kuoneana kijicho Na haya ndio maisha na tabia za watanzania hata kwenye maisha ya kawaida.
Ni vigumu kuzilinganisha timu zinazocheza madaraja mawili tofauti. Simba inacheza Champions League (na mwakani Super Cup), Yanga inacheza kombe la ShirikishoTuache ushabiki, tuambiane ukweli.Kati ya Simba na Yanga ipi timu bora hapa Tanzania?
Ugumu upo wapi mkuu??Ni vigumu kuzilinganisha timu zinazocheza madaraja mawili tofauti. Simba inacheza Champions League (na mwakani Super Cup), Yanga inacheza kombe la Shirikisho
Sawa mtani upo straight🤣🤣🤣Yanga
kulinganisha Ruvu Shooting na MajimajiUgumu upo wapi mkuu??
Kidogo kama nakuelewa mtani.Kwahiyo simba ni kama majimaji na yanga kama ruvu shootingkulinganisha Ruvu Shooting na Majimaji
Si lazima kuzitaja, ila kwa Ruvu na Majimaji, moja ipo Premier League na nyingine ipo FDL, na kwa Simba na Yanga, moja ipo Champions League nyingine ipo Confederation Cup (cup, not league)Kidogo kama nakuelewa mtani.Kwahiyo simba ni kama majimaji na yanga kama ruvu shooting
unawasimanga wana yanga sasa mkuu🤣🤣🤣Si lazima kuzitaja, ila kwa Ruvu na Majimaji, moja ipo Premier League na nyingine ipo FDL, na kwa Simba na Yanga, moja ipo Champions League nyingine ipo Confederation Cup (cup, not league)