Kati ya Yanga na Simba ipi timu bora hapa Tanzania?

Kuna vitu vitatu vya hovyo sana Tanzania lakini vinatawala, vinasumbua, vinakera na kuchukua sana muda na hisia za watanzania.SIMBA, YANGA MA CCM.
Hapo kwenye CCM unatunanga mkuu 😂🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…