Mlisema ukifa Shahid ni jambo jema so hakuna haja ya kulalamikaKufa sio sunna kufa ni faradhwi (lazima)
Kwa fikra zao finyu huwa wanadhani wanawaweza Israeli kwa kujichanganya na raia.Unamjaribu kichaa?Ukweli ni kwamba Magaidi ya Hamas yanajificha kwenye Population.
Gaidi huwa hana huruma na raia wake.
Kama shida ya yote haya ni mateka mliowashikilia na kweli wangekuwa hai nauwakika mngekuwa mmeshawaachilia kwa vile mmewauwa ndio maana na ninyi mnauliwa Sasa.Israhell vita dhidi ya hamas na vita dhidi ya kukomboa mateka wao wanao shikiliwa imewashinda
Kwasasa wanaua tu ili waonekane wanaua hamas
Ila chakushangaza tokea waaue hamas ghaza yote wamepiga hakuna sehemu salama ila wamekomboa watu wanne
Nahili suala ndio linawatia hasira wazayuni kuona wanadhalilika kiintelijensia sasa wanafidiwa kushindwa kwao kwakuua watu wasohatia
Israhell kuifuta hamas na kukomboa mateka asahau na suala la kutema bungo nisuala la muda tu licha ya mauaji na ukatili mkubwa anaoufanya ila huu mwaka ama hii vita lazima itaiinua palestina
Kwann iwahurumie wakat wao wanaimba Death to Israel??Wanaukumbi.
Kati ya zaidi ya raia 100 ambao Israeli iliwaua bila huruma, waliwachagua 19 na kwa uwongo walidai kuwa ni wanachama wa Hamas. Wanne kati yao walitoka kwa familia ya Jaabari, ambao mimi binafsi nawajua—hawakuwahi kujihusisha na shughuli zozote za kisiasa au kijeshi. Mwingine alikuwa imamu, mmoja alikuwa jirani yangu kutoka familia ya Habib ambaye alikuwa na mgogoro mkubwa na Hamas, na profesa wa chuo kikuu kutoka familia ya Kahlout ambaye hakuwahi kushiriki katika kazi yoyote ya kisiasa.
Israeli wanaishi kwa uongo.
View: https://x.com/ramabdu/status/1822333134978916826?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kwene vita hamna asiye na hatia!!Israhell vita dhidi ya hamas na vita dhidi ya kukomboa mateka wao wanao shikiliwa imewashinda
Kwasasa wanaua tu ili waonekane wanaua hamas
Ila chakushangaza tokea waaue hamas ghaza yote wamepiga hakuna sehemu salama ila wamekomboa watu wanne
Nahili suala ndio linawatia hasira wazayuni kuona wanadhalilika kiintelijensia sasa wanafidiwa kushindwa kwao kwakuua watu wasohatia
Israhell kuifuta hamas na kukomboa mateka asahau na suala la kutema bungo nisuala la muda tu licha ya mauaji na ukatili mkubwa anaoufanya ila huu mwaka ama hii vita lazima itaiinua palestina
Daily, publicly unamtamkia mwenzio kifo halafu yeye awe na huruma! Ujinga kweli kweli.Kwann iwahurumie wakat wao wanaimba Death to Israel??
si hapoDaily, publicly unamtamkia mwenzio kifo halafu yeye awe na huruma! Ujinga kweli kweli.
October 17 Hamas walipandwa na mashetani wakaona wana uwezo wa kupambana na Israel, bora wangeenda kushambulia wanajeshi au wanasiasa kuliko kushambulia raia waliokuwa kwenye tamasha la mziki, unaua rais 1200 na kuchukua mateka 250, halafu adui yako anaua watu 39,000, majeruhi 70,000, mateka 10,000, miundombinu kuharibika, viongozi wa hamas wameuawa Haniye, Deif, hii ni hasara kubwa sana kwa hamas. Bora wapalestina dunia nzima na wapenda amani dunia nzima tungefanya maandamo ya kudai haki ya wapalestina badala ya wapalestina kuona hamas yenye itikadi kali za dini kuwa ndo mkombozi wao.Daily, publicly unamtamkia mwenzio kifo halafu yeye awe na huruma! Ujinga kweli kweli.
Wanaukumbi.
Kati ya zaidi ya raia 100 ambao Israeli iliwaua bila huruma, waliwachagua 19 na kwa uwongo walidai kuwa ni wanachama wa Hamas. Wanne kati yao walitoka kwa familia ya Jaabari, ambao mimi binafsi nawajua—hawakuwahi kujihusisha na shughuli zozote za kisiasa au kijeshi. Mwingine alikuwa imamu, mmoja alikuwa jirani yangu kutoka familia ya Habib ambaye alikuwa na mgogoro mkubwa na Hamas, na profesa wa chuo kikuu kutoka familia ya Kahlout ambaye hakuwahi kushiriki katika kazi yoyote ya kisiasa.
Israeli wanaishi kwa uongo.
View: https://x.com/ramabdu/status/1822333134978916826?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hizo akili magaidi hawana! Mistari ikipanda vichwani wanageuka mashetani kamili.October 17 Hamas walipandwa na mashetani wakaona wana uwezo wa kupambana na Israel, bora wangeenda kushambulia wanajeshi au wanasiasa kuliko kushambulia raia waliokuwa kwenye tamasha la mziki, unaua rais 1200 na kuchukua mateka 250, halafu adui yako anaua watu 39,000, majeruhi 70,000, mateka 10,000, miundombinu kuharibika, viongozi wa hamas wameuawa Haniye, Deif, hii ni hasara kubwa sana kwa hamas. Bora wapalestina dunia nzima na wapenda amani dunia nzima tungefanya maandamo ya kudai haki ya wapalestina badala ya wapalestina kuona hamas yenye itikadi kali za dini kuwa ndo mkombozi wao.
Umeziona wapi maiti zao?Kama shida ya yote haya ni mateka mliowashikilia na kweli wangekuwa hai nauwakika mngekuwa mmeshawaachilia kwa vile mmewauwa ndio maana na ninyi mnauliwa Sasa.
Hakuna wakuwatetea ninyi mnakalia mambo ya Entebbe achieni mateka.Umeziona wapi maiti zao?
Israhell inaona itapata aibu ya dunia wakikubaliana kubadilishana mateka
Maana mateka watatoka hapo hapo kwenye kaeneo wanachokishambulia mwaka sasa bila mahesabu yeyote ila wanashindwa okoa mateka wao mpaka sasa
Na tuseme kama wamekufa sasa mossad ina ubora gani kwenye media tuliaminishwa walitoka mashariki ya kati mpaka entebbe kuokoa mateka wao walioshikiliwa Uganda hapo tunaongelea umbali wa miles ama kilometers tele
Ila leo hii mwaka wameokoa mateka wanne tu hapo hapo barazani kwao mossad ina ufanisi upi
Israhell inaona aibu inaona uongo wake umeshafikia kikomo ule wa kwenye MSM watu wameustukia ndio maana anatumia mpaka kuua watu wasio hatia ghaza ili ashinde vita ila mpaka sasa wapi
Israhell over rated sana
Kuhara nyuma ya keyboard haisadii. Waambie magaidi waache kutumia raia wa Gaza kama human shieldUharo mtupu.
Wanaukumbi.
Kati ya zaidi ya raia 100 ambao Israeli iliwaua bila huruma, waliwachagua 19 na kwa uwongo walidai kuwa ni wanachama wa Hamas. Wanne kati yao walitoka kwa familia ya Jaabari, ambao mimi binafsi nawajua—hawakuwahi kujihusisha na shughuli zozote za kisiasa au kijeshi. Mwingine alikuwa imamu, mmoja alikuwa jirani yangu kutoka familia ya Habib ambaye alikuwa na mgogoro mkubwa na Hamas, na profesa wa chuo kikuu kutoka familia ya Kahlout ambaye hakuwahi kushiriki katika kazi yoyote ya kisiasa.
Israeli wanaishi kwa uongo.
View: https://x.com/ramabdu/status/1822333134978916826?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wapigane wapigane wapigane wauane.....kama wote wamechagua vita na wanashambuliana hamna shida wamalizane kimya kimya asiwepo anayetafuta public sympathy
Hata wayahudi pia wanafia vitani tofauti yao na magaidi ni hapa kwenye picha.Hasbunallah wani'imal wakeel
Haikuumi kwakua wanaouawa ni waislamu.
Mikatuni yenu mnatuwekea hapa! Kweli mmeishiwa, mnatumia nguvu kubwa sana sana kuwalinda hao mazayuni, poleni sanaHata wayahudi pia wanafia vitani tofauti yao na magaidi ni hapa kwenye picha.
pole ya nini sheikh??Mikatuni yenu mnatuwekea hapa! Kweli mmeishiwa, mnatumia nguvu kubwa sana sana kuwalinda hao mazayuni, poleni sana