Kati ya zaidi ya raia 100 ambao Israeli iliwaua bila huruma, waliwachagua 19 na kwa uwongo walidai kuwa ni wanachama wa Hamas.

Israhell vita dhidi ya hamas na vita dhidi ya kukomboa mateka wao wanao shikiliwa imewashinda
Kwasasa wanaua tu ili waonekane wanaua hamas
Ila chakushangaza tokea waaue hamas ghaza yote wamepiga hakuna sehemu salama ila wamekomboa watu wanne
Nahili suala ndio linawatia hasira wazayuni kuona wanadhalilika kiintelijensia sasa wanafidiwa kushindwa kwao kwakuua watu wasohatia
Israhell kuifuta hamas na kukomboa mateka asahau na suala la kutema bungo nisuala la muda tu licha ya mauaji na ukatili mkubwa anaoufanya ila huu mwaka ama hii vita lazima itaiinua palestina
Kama shida ya yote haya ni mateka mliowashikilia na kweli wangekuwa hai nauwakika mngekuwa mmeshawaachilia kwa vile mmewauwa ndio maana na ninyi mnauliwa Sasa.
 
Wanaukumbi.

Kati ya zaidi ya raia 100 ambao Israeli iliwaua bila huruma, waliwachagua 19 na kwa uwongo walidai kuwa ni wanachama wa Hamas. Wanne kati yao walitoka kwa familia ya Jaabari, ambao mimi binafsi nawajua—hawakuwahi kujihusisha na shughuli zozote za kisiasa au kijeshi. Mwingine alikuwa imamu, mmoja alikuwa jirani yangu kutoka familia ya Habib ambaye alikuwa na mgogoro mkubwa na Hamas, na profesa wa chuo kikuu kutoka familia ya Kahlout ambaye hakuwahi kushiriki katika kazi yoyote ya kisiasa.

Israeli wanaishi kwa uongo.

View: https://x.com/ramabdu/status/1822333134978916826?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Kwann iwahurumie wakat wao wanaimba Death to Israel??
 
Kwene vita hamna asiye na hatia!!
acha kudanganywa.
 
Daily, publicly unamtamkia mwenzio kifo halafu yeye awe na huruma! Ujinga kweli kweli.
October 17 Hamas walipandwa na mashetani wakaona wana uwezo wa kupambana na Israel, bora wangeenda kushambulia wanajeshi au wanasiasa kuliko kushambulia raia waliokuwa kwenye tamasha la mziki, unaua rais 1200 na kuchukua mateka 250, halafu adui yako anaua watu 39,000, majeruhi 70,000, mateka 10,000, miundombinu kuharibika, viongozi wa hamas wameuawa Haniye, Deif, hii ni hasara kubwa sana kwa hamas. Bora wapalestina dunia nzima na wapenda amani dunia nzima tungefanya maandamo ya kudai haki ya wapalestina badala ya wapalestina kuona hamas yenye itikadi kali za dini kuwa ndo mkombozi wao.
 
Wanaukumbi.

Kati ya zaidi ya raia 100 ambao Israeli iliwaua bila huruma, waliwachagua 19 na kwa uwongo walidai kuwa ni wanachama wa Hamas. Wanne kati yao walitoka kwa familia ya Jaabari, ambao mimi binafsi nawajua—hawakuwahi kujihusisha na shughuli zozote za kisiasa au kijeshi. Mwingine alikuwa imamu, mmoja alikuwa jirani yangu kutoka familia ya Habib ambaye alikuwa na mgogoro mkubwa na Hamas, na profesa wa chuo kikuu kutoka familia ya Kahlout ambaye hakuwahi kushiriki katika kazi yoyote ya kisiasa.

Israeli wanaishi kwa uongo.

View: https://x.com/ramabdu/status/1822333134978916826?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

NI KIPIGO TU HAKUNA KUTAFUTA SYMPATHY WAO SI WALIUA NA KUTEKA WANAFUNZI. NI KUWATWANGA TU WAKIJIFICHA POPOTE PALE.
 
October 17 Hamas walipandwa na mashetani wakaona wana uwezo wa kupambana na Israel, bora wangeenda kushambulia wanajeshi au wanasiasa kuliko kushambulia raia waliokuwa kwenye tamasha la mziki, unaua rais 1200 na kuchukua mateka 250, halafu adui yako anaua watu 39,000, majeruhi 70,000, mateka 10,000, miundombinu kuharibika, viongozi wa hamas wameuawa Haniye, Deif, hii ni hasara kubwa sana kwa hamas. Bora wapalestina dunia nzima na wapenda amani dunia nzima tungefanya maandamo ya kudai haki ya wapalestina badala ya wapalestina kuona hamas yenye itikadi kali za dini kuwa ndo mkombozi wao.
Hizo akili magaidi hawana! Mistari ikipanda vichwani wanageuka mashetani kamili.
 
Kama shida ya yote haya ni mateka mliowashikilia na kweli wangekuwa hai nauwakika mngekuwa mmeshawaachilia kwa vile mmewauwa ndio maana na ninyi mnauliwa Sasa.
Umeziona wapi maiti zao?
Israhell inaona itapata aibu ya dunia wakikubaliana kubadilishana mateka
Maana mateka watatoka hapo hapo kwenye kaeneo wanachokishambulia mwaka sasa bila mahesabu yeyote ila wanashindwa okoa mateka wao mpaka sasa
Na tuseme kama wamekufa sasa mossad ina ubora gani kwenye media tuliaminishwa walitoka mashariki ya kati mpaka entebbe kuokoa mateka wao walioshikiliwa Uganda hapo tunaongelea umbali wa miles ama kilometers tele
Ila leo hii mwaka wameokoa mateka wanne tu hapo hapo barazani kwao mossad ina ufanisi upi
Israhell inaona aibu inaona uongo wake umeshafikia kikomo ule wa kwenye MSM watu wameustukia ndio maana anatumia mpaka kuua watu wasio hatia ghaza ili ashinde vita ila mpaka sasa wapi
Israhell over rated sana
 
Hakuna wakuwatetea ninyi mnakalia mambo ya Entebbe achieni mateka.
 
Wanaukumbi.

Kati ya zaidi ya raia 100 ambao Israeli iliwaua bila huruma, waliwachagua 19 na kwa uwongo walidai kuwa ni wanachama wa Hamas. Wanne kati yao walitoka kwa familia ya Jaabari, ambao mimi binafsi nawajua—hawakuwahi kujihusisha na shughuli zozote za kisiasa au kijeshi. Mwingine alikuwa imamu, mmoja alikuwa jirani yangu kutoka familia ya Habib ambaye alikuwa na mgogoro mkubwa na Hamas, na profesa wa chuo kikuu kutoka familia ya Kahlout ambaye hakuwahi kushiriki katika kazi yoyote ya kisiasa.

Israeli wanaishi kwa uongo.

View: https://x.com/ramabdu/status/1822333134978916826?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

UKIAMUA KUPULIZIA DAWA KUUA MENDE. KAMA KUNA KIPEPEO NDANI PIA ATAKUFA. SIWALAUMU HATA
 
Wapigane wapigane wapigane wauane.....kama wote wamechagua vita na wanashambuliana hamna shida wamalizane kimya kimya asiwepo anayetafuta public sympathy

Hasbunallah wani'imal wakeel

Haikuumi kwakua wanaouawa ni waislamu.
 
Hasbunallah wani'imal wakeel

Haikuumi kwakua wanaouawa ni waislamu.
Hata wayahudi pia wanafia vitani tofauti yao na magaidi ni hapa kwenye picha.
 
Attachments

  • IMG_3778.jpeg
    IMG_3778.jpeg
    360.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom