Kati ya zaidi ya raia 100 ambao Israeli iliwaua bila huruma, waliwachagua 19 na kwa uwongo walidai kuwa ni wanachama wa Hamas.

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Kati ya zaidi ya raia 100 ambao Israeli iliwaua bila huruma, waliwachagua 19 na kwa uwongo walidai kuwa ni wanachama wa Hamas. Wanne kati yao walitoka kwa familia ya Jaabari, ambao mimi binafsi nawajua—hawakuwahi kujihusisha na shughuli zozote za kisiasa au kijeshi. Mwingine alikuwa imamu, mmoja alikuwa jirani yangu kutoka familia ya Habib ambaye alikuwa na mgogoro mkubwa na Hamas, na profesa wa chuo kikuu kutoka familia ya Kahlout ambaye hakuwahi kushiriki katika kazi yoyote ya kisiasa.

Israeli wanaishi kwa uongo.

View: https://x.com/ramabdu/status/1822333134978916826?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Israel ina mateka wa kivita zaidi ya elfu 10 wameshikiliwa kwenye magereza ya Israel wanafanyiwa interlogation hawa ndio watakuwa wanatoa taarifa za hamas, sehemu walipo, na majina yao, jeshi la Israel litakuwa linaenda kupiga baada ya kupata maelezo ya wapalestina waliokamatwa
 
Hizo fikra zako jela za Israel miaka yote wamejaa wapelstina hawajaanza kuwakamata leo wanawatesha kila siku mpaka wanawabaka na kuuwa lakini hawana cha kusema.
 
Without stern measures; Israel itafutwa kweli kwenye uso wa dunia. Daily mnatangaza shari halafu mnataka muonewe huruma.

Kwa Israel ukienda kwa amani utapata amani, lau ukienda kwa shari, wanajua na wanapenda vita! Hao wapalestina na supporters wao wabadilike.
 
Wanaukumbi.

Kati ya zaidi ya raia 100 ambao Israeli iliwaua bila huruma, waliwachagua 19 na kwa uwongo walidai kuwa ni wanachama wa Hamas. Wanne kati yao walitoka kwa familia ya Jaabari, ambao mimi binafsi nawajua—hawakuwahi kujihusisha na shughuli zozote za kisiasa au kijeshi. Mwingine alikuwa imamu, mmoja alikuwa jirani yangu kutoka familia ya Habib ambaye alikuwa na mgogoro mkubwa na Hamas, na profesa wa chuo kikuu kutoka familia ya Kahlout ambaye hakuwahi kushiriki katika kazi yoyote ya kisiasa.

Israeli wanaishi kwa uongo.

View: https://x.com/ramabdu/status/1822333134978916826?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Bado hujajitambulisha mkuu. Si ulisema Israel inachapika kaka. Na uksema kwenu kufa ni Sunna Imekuwaje tena.
 
Israhell vita dhidi ya hamas na vita dhidi ya kukomboa mateka wao wanao shikiliwa imewashinda
Kwasasa wanaua tu ili waonekane wanaua hamas
Ila chakushangaza tokea waaue hamas ghaza yote wamepiga hakuna sehemu salama ila wamekomboa watu wanne
Nahili suala ndio linawatia hasira wazayuni kuona wanadhalilika kiintelijensia sasa wanafidiwa kushindwa kwao kwakuua watu wasohatia
Israhell kuifuta hamas na kukomboa mateka asahau na suala la kutema bungo nisuala la muda tu licha ya mauaji na ukatili mkubwa anaoufanya ila huu mwaka ama hii vita lazima itaiinua palestina
 
Back
Top Bottom