FJM, suala la utii wa sheria halina mjadala, nakuhakikishia baada ya muswada ule kutiwa saini na kuwa sheria, no one can do anything!. Hata hao Chadema wala wanaharakati hawawezi kufanya lolote, nothing, nil!, ndio maana nilishauri tuvunje kambi, tuipe tume ushirikiano!.Ningependekeza sasa tujielekeze kwenye muswada wenyewe na kuachambua. Bunge la CCM limeupitisha, je, wananchi tunakubali yote yaliyomo ndani ya muswada huu kama yalivyopitwa na bunge hilo la ccm? Nini kifanyike? na wapi pa kurebisha? haya ndio mambo ya msingi kwa maoni yangu.
Ningependekeza sasa tujielekeze kwenye muswada wenyewe na kuachambua. Bunge la CCM limeupitisha, je, wananchi tunakubali yote yaliyomo ndani ya muswada huu kama yalivyopitwa na bunge hilo la ccm? Nini kifanyike? na wapi pa kurebisha? haya ndio mambo ya msingi kwa maoni yangu.
Faiza Fox asante kunisaidia kuelimisha hili, Mhe. Tundu hakutoa pingamizi, alitoa maoni. Ukitoa maoni bunge linasikiliza tuu, wanaweza kuamua kuyazingatia au kuyapuuza. Lakini kama angetoa pingamizi, spika hana mamlaka ya kuzuia, wala hana uamuzi asikilize au la, ni lazima asimamishe kila kitu, asikilize lile pingamizi na wabunge kulichangia na ndipo aliulize bunge kufikia uamuzi.Tundu hakuwa na hoja. Bungeni usione tu wanaongea pale, kama alivyofanya Tundu lakini haikuwa na maana yoyote maneno yake, alikuwa hapingi pale alikuwa anatoa maoni yake, na maoni yake ni wanaomsikiliza ama wayakubali ama wasiyakubali lakini hayabadili kanuni za bunge.
Faiza Fox asante kunisaidia kuelimisha hili, Mhe. Tundu hakutoa pingamizi, alitoa maoni. Ukitoa maoni bunge linasikiliza tuu, wanaweza kuamua kuyazingatia au kuyapuuza. Lakini kama angetoa pingamizi, spika hana mamlaka ya kuzuia, wala hana uamuzi asikilize au la, ni lazima asimamishe kila kitu, asikilize lile pingamizi na wabunge kulichangia na ndipo aliulize bunge kufikia uamuzi.
Naendelea kusisitiza kutowasilishwa pingamizi was a mistake, ila pia lazima niikubali hoja ya Mzee Mwanakijiji kuwa sio kosa la Chadema wala tuwatwishe huu mzingo wa lawama, kwa sababu kanuni ziko wazi, mbunge yoyote angeweza kuwasilisha pingamizi, sio lazima mpaka Lissu tuu au Chadema.
Samahani kama nimekosea inaonekana wewe nikizazi cha 2K05, mema yapi ambayo wewe unayazungumzia, kwa Wananchi wa Tanzania ama kwa ndugu na jamaa wa familia yake?
Faiza Fox asante kunisaidia kuelimisha hili, Mhe. Tundu hakutoa pingamizi, alitoa maoni. Ukitoa maoni bunge linasikiliza tuu, wanaweza kuamua kuyazingatia au kuyapuuza. Lakini kama angetoa pingamizi, spika hana mamlaka ya kuzuia, wala hana uamuzi asikilize au la, ni lazima asimamishe kila kitu, asikilize lile pingamizi na wabunge kulichangia na ndipo aliulize bunge kufikia uamuzi.
Naendelea kusisitiza kutowasilishwa pingamizi was a mistake, ila pia lazima niikubali hoja ya Mzee Mwanakijiji kuwa sio kosa la Chadema wala tuwatwishe huu mzingo wa lawama, kwa sababu kanuni ziko wazi, mbunge yoyote angeweza kuwasilisha pingamizi, sio lazima mpaka Lissu tuu au Chadema.
Mkuu Mkandara, madam speaker was very right, Maneno hayo TL alitakiwa ayaseme kwenye 86 (3) b ni kuwasilisha pingamizi. Mkandara nakuhakikishia Hakuna pingamizi lolote lililowasilishwa!.
Alichofanya TL ni 86 -6 kutoa maoni ya kambi ya upinzani, hata kama katika kutoa maoni huko ameweka maneno pingamizi, hayo yanabaki ni maoni tuu. Pingamizi ni pingamizi likiwekwa lazima bunge linasimamisha kila kitu na kulisikiliza pingamizi lile.
Kwa kuwa hakukuwa na pingamizi lolote. process iliendelea kwa kumsikiliza M/kiti wa Kamati na baadae Maoni ya upinzani. Watu wanaamini maoni hayo ndio pingamizi!. No!. Maoni ni maoni tuu na hakukuwa na pingamizi and that was a mistake!.
Twende mojamoja,
Barabara za lami kazikuta zisizofika kilomita 4,000 kwa kipindi chake cha miaka 6 tu sasa zipo zaidi ya kilomita 10,000, hiyo inaonesha kwa barabara kafanya zaidi ya marais wote ukichanganya pamoja pamoja na mkoloni. Hilo moja tukikubalina naendelea lingine. Jee, hili si jema?
Pasco,
Samahani narudi tena ingawa niliaga ila naona nimsaide hapa Mkandara kwani naona kaweka point moja muhimu sana na wewe umeijibu kisiasa zaidi.
Ulichojibu ni sawa na Mwanamke/Mwanaume aliyemuuwa mwenzi wake kwa sumu na alipopelekwa mahakamani, majibu yake yakawa kapa hapa chini.
Hakimu: Unashitakiwa kwa kumuuwa mpenzi wako kwa sumu uliyoweka kwenye chakula.
Mshitakiwa: Hapana hakimu, sikumuuwa mie. Wakati napika, moja ya VIUNGO nilivyotumia kwenye mbonga ilikuwa ni hiyo MERCURY. Na si hicho tu, niliweka pia DDT, pilipili, chumvi, binzari............
Hakimu anawaambia watu kuwa "Mshitakiwa hana makosa kwa sababu katika maelezo yake, tunaona wazi kabisa kuwa hakuwa na nia ya kumuuwa Mshitakiwa ila ametumia tu VIUNGO katika kumwandala chakula mke/mume wake."
Anakuja Pasco na kusema "huyu mama/baba, kama angelitumia neno SUMU, angelifungwa au hata kunyongwa ila kwa sababu alitumia neno KIUNGO, basi ni kweli HANA HATIA."
Kama kifungu 86 (3) b kinaelezea kuhusu KUSIMAMISHA MJADALA, basi ilibidi Hakimu/Spika asimamishe kikao. Alichokifanya Bibie ni kujifanya kasikia neno VIUNGO badala ya SUMU. Kamuachia mtuhumiwa huru na leo hapa tunajadili kwa nini Hakimu hakulitumia neno SUMU [kifungu 86 (3)b - Pingamizi] na badala yake akatumia neno VIUNGO [kifungu 86 (6) - Maoni] katika kuendesha kikao.
Mkuu Mkandara, mie nilikuelewa kama hapo juu.

FJM, suala la utii wa sheria halina mjadala, nakuhakikishia baada ya muswada ule kutiwa saini na kuwa sheria, no one can do anything!. Hata hao Chadema wala wanaharakati hawawezi kufanya lolote, nothing, nil!, ndio maana nilishauri tuvunje kambi, tuipe tume ushirikiano!.
Twende mojamoja,
Barabara za lami kazikuta zisizofika kilomita 4,000 kwa kipindi chake cha miaka 6 tu sasa zipo zaidi ya kilomita 10,000, hiyo inaonesha kwa barabara kafanya zaidi ya marais wote ukichanganya pamoja pamoja na mkoloni. Hilo moja tukikubalina naendelea lingine. Jee, hili si jema?
Dada yangu Faiza Fox, wewe kama mama wa familia una majukumu yako kwa mumeo, familia, na jamii. Katika kutimiza majukumu hayo, unadhani unafanya favour?. Mfano kumvisha mwanao, kumsomesha etc, au kumpikia mumeo na kumpa vile 'vyakula' vyote is it favour?.
Hayo yote JK aliyoyafanya ni within majukumu yake, anatimiza wajibu wake, tumpongeze rais wetu kutimiza wajibu wake?.
Nakushauri anzisha thread ya " MEMA YA JK', au "MAZURI YA JK", tutachangia!.Humu tunajadili jinsi watu tuliowategemea kuupinga ule muswada, walivyoshindwa kuwasilisha pingamizi ambalo mimi naona ni kosa, na sio kujadili mazuri ya JK.
Wiki ijayo, atausaini huu muswada kwa mbwembwe zote, tumpongexze pia kwa kusaini maana atakuwa amewafanyia watanzani favour kubwa kuwaanzishia safari ya kuelekea katiba mpya!.
Sikonge, tunatofautiana uelewa, ila mtu unapokuwa mzito sana kuelewa ni tatizo, kuwa kichaa sio lazima kila mtu aokote makopo, kuna upungufu ni kidogo tuu people can not notice, ila unapokuja na hoja na mifano dhaifu hivi, hata wale ambao sio rais ku note, wata notice.
Mheshimiwa Lissu hakuwasilisha pingamizi kwa mujibu wa 86 (3) (b) bali aliwasilisha maoni kwa mujibu wa 86 (6). Enzi za mzee wa kasi na viwango, wangetengua kanuni, 86 (6) na kuipokea ile hotuba ya Lissu kwa kanuni ya 86(3)(b), hivyo bunge lingeijadili hoja ya Lissu. Sitta angefanya hivyo kwa kutumia busara tuu za kawaida ambazo mama spika hana, ili kuhakikisha haki sio tuu inatendeka, bali pia kushuhudiwa ikitendeka!.
Twende mojamoja,
Barabara za lami kazikuta zisizofika kilomita 4,000 kwa kipindi chake cha miaka 6 tu sasa zipo zaidi ya kilomita 10,000, hiyo inaonesha kwa barabara kafanya zaidi ya marais wote ukichanganya pamoja pamoja na mkoloni. Hilo moja tukikubalina naendelea lingine. Jee, hili si jema?
Natanguliza samahani kwako Pasco kwa kujibu hoja isiyohusika, kwani nikiiacha nitakuwa sijamtendea haki huyu mnazi wa JK.
Naona umekurupuka tu hapa ili umsifie JK kwa kitu ambacho hakijafanyika.
Kwa taarifa ya waziri wa ujenzi Dr. John Magufuli, ya wiki iliyopita, hadi sasa barabara zilizojengwa kwa kiwango cha lami ni kiasi cha kilometa 5000 na ili kufikia lengo la kuwa na barabara za lami zenye urefu wa 10,000 km wamesaini mikataba na wakandarasi mbalimbali ambao wengi wao wako kwenye hatua za mobilization. Kwahiyo usitake kudanganya watu hapa kwa sababu ya mahaba yako ya kidini juu ya JK.
Nikukumbushe pia kwamba hata hizo 5,000 km zilizofikiwa sasahivi ni miradi iliyoanzishwa na BWM na ikaja kukamilishwa wakati JK yuko madarakani. Kama unataka kumsifia JK kwa kujenga barabara, zungumzia zile tu zilizoanza kujengwa chini ya utawala wake, kwa maana ya miradi mipya ambayo imeanza kutekelezwa kuanzia bajeti ya 2006/2007!! Na baada ya kuifahamu hiyo miradi aliyoianzisha ambayo ndio wajibu wake mkuu kwa serikali kutoa huduma kwa wananchi wake, na hiyo haihitaji kusifiwa unless amefanya kitu extra hapo ndipo atahitaji kusifiwa. Kama alivyosifiwa kwa kuanza kujenga barabara ya chalinze segera kabla bajeti haijapitishwa, na baada ya selelii kuikalia kooni serikali wakatafuta uongo wa kujustify hayo matumizi. Kitu kingine tunachosubiri kumsifia ni kujenga bandari kubwa pamoja na uwanja wa ndege wa kimataifa bagamoyo!!
Chuki/mapenzi kwa vyama vya siasa vinaligharimu taifa hili pakubwa. Shangaa kuwa ktk mjadala huu pamoja na umuhimu wake hakuna mdau yeyote aliyeleta mtirirìko kamili wa matukio yalivyokuwa bungeni siku ile..sanasana yamerukwa tu ili 'lengo' lisivurugwe!!
Tujaribu kukumbuka; Kombani alipomaliza, Mnyika alisimama akisema 'hoja kuahirisha mjadala' supika hakujali akamwita Chana kutoa maoni ya kamati! Mkosamali akasimama kuomba mwongozo supika akapotezea, Chana alipomaliza Shibuda akasimama kuomba mwongozo, spika akagoma akamuita Lissu atoe maoni ya kambi ya upinzani, baada ya Lissu kumaliza Mnyika alisimama tena lkn spika akamzuia, na kuna mwingine tena nimemsahau akasimama akazuiwa, ndipo wabunge wa Chadema wakanyanyuka kutoka nje.
Kwa nini tunajidanganya kuwa ni wabunge wa Chadema na Nccr tu wanaotakiwa kuona madudu wakati wa ccm wanavimbiwa na kusinzia bungeni?! Hivi wao wanamuwakilisha nani?! Tumeona ni nani alijitahidi kuondoa makosa na ni nani alitumia kila hila kuupitisha muswada feki. Hukumu yao haiko mbali...
Vyema. Hivyo omba moderators wabadili kichwa cha huu uzi!! Napendekeza kiwe hivi "Muswada wa Katiba: Wabunge mlikosea! Ndugu Rais Tafakari Kabla Hujatia Saini!"