Hilo nalo neno!Waambie waingereza huko Dada.
Eeeee yupo!Kuna mgombea ameshindwa kuendelea na kampeni kwa sababu za Kiafya?
Kabisa Kuna mgombea ana Tatizo la kiafya Mpaka kampeni ameshindwa kufanya Sasa kuongoza nchi ndio ataweza? Halafu hicho kipengere kiongezwe na kupimwa afya ya akili , Kuna mgombea nasikia anaumwa bipolar disorder hata wenzake kwenye chama chake wanajua , ila wanaogopa nguvu za mamlaka alizonazo hata tiss wanajua , mwingine anafaili milembe na Bugando . Tiss Mungu anawaona .
Na hasa afya ya akili la sivyo tunaweza kuwa na rais mwenye memory disc iliyovurugika - mwenda wazimu.Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya.
Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya piakatika mchujo wapewe nafasi ya kujieleza na sera zao katika lugha itakayokubalika.
Mgombea Urais anapofahamika hana afya njema, kumruhusu kuendelea na kampeni ni kuvunja katiba.
Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya.

Hasa magonjwa hayaKazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya.
Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya piakatika mchujo wapewe nafasi ya kujieleza na sera zao katika lugha itakayokubalika.
Mgombea Urais anapofahamika hana afya njema, kumruhusu kuendelea na kampeni ni kuvunja katiba.
Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya.
Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya piakatika mchujo wapewe nafasi ya kujieleza na sera zao katika lugha itakayokubalika.
Mgombea Urais anapofahamika hana afya njema, kumruhusu kuendelea na kampeni ni kuvunja katiba.
Vothe...[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]mgombea ana shida ya kiafya ya akili au mwili?
Majeraha mlimletea wenyeweKuwa na majeraha mengi pia sio afya njema hata jeshini haiafiki hili
Ndiyo maana kuna mgombea alipambana kuuwa vyama shindani ili kipindi cha uchaguzi asifanye kampeni.Mgombea Urais anapofahamika hana afya njema, kumruhusu kuendelea na kampeni ni kuvunja katiba.