Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matumizi ya ile chopper aliyoipost Diamond ya Maccm yanaanza lini ?Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya...
Ni kweli. Kuna mgombea mmoja ni kama amekata pumzi. Siku tano haonekani ulingoni!Eeeee yupo!
Kutokana na mwenendo wa kampeni ninavyouona kumbe ulikuwa sahihi.Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya...
Tripu shamba, trip gereji.mgombea ana shida ya kiafya ya akili au mwili?
Kwani yeye ni gari?Taili la gari hufungwa na Nut, wakati mwingine nut huweza kufunguka kwa bahati mbaya kisha taili kuchomoka huku gari likiwa katika mwendo. Tunajua nini hutokea baada ya mkasa huo.
Ebu tujiulize, nini kitatokea ikiwa tutapata kiongozi ambaye mwili wake umefungwa na NUT na kwa bahati mbaya NUT zingafunguka pengine bila yeye kujua?
Hakuna risasi kichwani.lkn yule ni Kama kichwani Kuna baruti inasubiri kulipukaKuwa na majeraha mengi pia sio afya njema hata jeshini haiafiki hili
Nakuelewa sana mzee wa Kilingeni!Hasa magonjwa haya
Ya akili
Ya moyo
Ya kisukari
Mara nyingi husababisha kusahau uongo na hasira
Una akilinsana we mtu, tunapochagua mtu asiye na afya nzuri hii inatucost sana sababu angalia kwa mfano JPM afya yake haikuwa nzuri na madharau yake hata kampeni alipiga za kimagumashi, then akafanya kazi November ilipofika December akaenda kwao kupumzika amerudi mjini almost February ndio akapatwa na umauti na taarifa ya kifo imetamka alikuwa na kibetri kwa zaidi ya miaka kumi but in fact akiwekewa alipokuwa uingereza anasoma miaka ya 1992/3.Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya.
Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya pia katika mchujo wapewe nafasi ya kujieleza na sera zao katika lugha itakayokubalika.
Mgombea Urais anapofahamika hana afya njema, kumruhusu kuendelea na kampeni ni kuvunja katiba.
CCM wamevunja sana katiba maana waliangalia umaarufu wa mgombea na sio afya njemaKazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya.
Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya pia katika mchujo wapewe nafasi ya kujieleza na sera zao katika lugha itakayokubalika.
Mgombea Urais anapofahamika hana afya njema, kumruhusu kuendelea na kampeni ni kuvunja katiba.
DaahKuna mgombea Leo siku ya NNE pumzi imekata
Ohooooo !!!Kuna mgombea ameshindwa kuendelea na kampeni kwa sababu za Kiafya?