Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,629
- 2,733
Hata wewe unaweza kuwa na tatizo hilo ni majariwa yake mwenyezi Mungu.Sasa na mwenye kilema cha mguu na kiuno anae utaka uraisi akidhani ni pole na huruma kwa mgonjwa inakuje?
Anza kwanza kujua ile Betri ya moyoni kwa mtukufu hapo chamwino imepata hitilafu gani mpaka akarejea Dodoma kwa kukatisha kampeni?Tunaambiwa bado ana risasi mwilini
ICC wanawachunguza kwa ukaribu mkurugenzi wa mkuu wa Tumeccm na IGP baada ya kugundua wanaenda kufanya uchakachuaji tarehe 28 OctoberYuko hoi Sana. Ameamua kutafuta ushindi kwa kwa kukaa mezani. Eti Siro na time wamsaidie kuupata.
Ukweli ambao wewe binafsi unatamani uwe uzushiUzushi ambao wengi wanatamani uwe ukweli.
Hehehehe nani anaumwa?Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya.
Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya pia katika mchujo wapewe nafasi ya kujieleza na sera zao katika lugha itakayokubalika.
Mgombea Urais anapofahamika hana afya njema, kumruhusu kuendelea na kampeni ni kuvunja katiba.
Kweli kabisa..Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya.
Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya pia katika mchujo wapewe nafasi ya kujieleza na sera zao katika lugha itakayokubalika.
Mgombea Urais anapofahamika hana afya njema, kumruhusu kuendelea na kampeni ni kuvunja katiba.
hata kama macho huna basi hata kupapasa umeshindwa ?Kuna mgombea ameshindwa kuendelea na kampeni kwa sababu za Kiafya?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Best mbona alishasema amechoka kwa kuwa kazi ya Urais ni MATESO MAKUBWA cha kushangaza kang’ang’ana tu!
Nishike mkono Mkuu nisaidie kupapasahata kama macho huna basi hata kupapasa umeshindwa ?
Nasikia daktari pekee wa hayo madude ndio anazunguka naye,wagonjwa kula hosptali hawana wakuwahudumia.Moyo wake wa kuunga na waya mkuu. Ndiyo maana hawezi kutumia chopa.
Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya pia katika mchujo wapewe nafasi ya kujieleza na sera zao katika lugha itakayokubalika.
Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya.
Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya pia katika mchujo wapewe nafasi ya kujieleza na sera zao katika lugha itakayokubalika.
Mgombea Urais anapofahamika hana afya njema, kumruhusu kuendelea na kampeni ni kuvunja katiba.
Ndohivyo sasa,kwamujibu wa mleta Uzi hakidhi vigezo bila kujali ni Nani alimletea.Majeraha mlimletea wenyewe