Katiba inasemaje kuhusu uteuzi wa Bashiru Ally?

Universities are chartered entities kama UDSM ilivyo hivyo watumishi wake wako excluded kwenye public service by virtue of the Public Service Act

..asante.

..at least wewe unatuelimisha.
 
Kumbuka Public Services Act inatakiwa iwe incomformity na katiba ya JMT. JokaKuu anadai ibara ya 116 ya katiba ya JMT imevunjwa, anatia kinyaa.
 
..lakini wamekula viapo viwili.

..je, unao ushahidi kwamba Dr.Bashiru amekula viapo viwili?

..na kiapo cha balozi ni sawa na kiapo cha katibu mku

..lakini wamekula viapo viwili.

..je, unao ushahidi kwamba Dr.Bashiru amekula viapo viwili?

..na kiapo cha balozi ni sawa na kiapo cha katibu mkuu kiongozi

..lakini wamekula viapo viwili.

..je, unao ushahidi kwamba Dr.Bashiru amekula viapo viwili?

..na kiapo cha balozi ni sawa na kiapo cha katibu mkuu kiongozi?
Katibu mkuu haapi kiapo cha kuwa katibu mkuu wala balozi haapi kuwa balozi, ukiteuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi na Balozi kwa wakati mmoja unaapa kuwa mwaminifu kwa serikali na kuitumikia na kiapo cha maadili , kiapo ni kimoja , Rais hana muda wa kufanya duplications ya viapo kwa mtu mmoja kwa wakati mmoja kwa kiapo chenye maana moja.
 
The treasonous brethren are really worried, wanatafuta ajenda kila mahali, warajamchoja Bashiru watahamia kwa lile jembe wizara ya afya. Katiba my foot, Presidents don't grow on trees. Wanataka Rais wishy washy, nduhu!
 
Hakuna unachokielewa wewe, tofauti na kuandika tu.
 

Swala hapa si kuvunja Katiba. Tatixo Ni mchakato uliotumika kumpata huyu KMK...!!!
Kuna Makatibu Wakuu lukuki toka Wizara mbalimbali. Je. Kwanini MAGUFULI amrshindwa kuteua mmoja wa Makatibu Wakuu wa Wizara ambaye ni Senior kati ya Makatibu Wakuu??
Why Bashiru Ally from CCM? What's so special with CCM Secretary General?? Is there any hidden agenda behind the curtain?
 
Nadhani aliteuliwa kuwa Balozi Kwanza ili atimize matakwa ya kuwa Mtumishi wa serikali na baadae kuteuliwa kuwa katibu kiongozi.
Mnajisahaulisha kuwa Bashiru alikuwa Mhadhiri mwandamizi wa Chuo kikuu...
Sifa hiyo haitoshi kuwa mtumishi mwandamizi!?
Angekuwa profesa Rwekaza Mkandala ndio kateuliwa bado tungesema sio mtumishi wa uma
Au mwalimu sio mtumishi wa umma
 
Mnajisahaulisha kuwa Bashiru alijuwa Mhadhiri mwandamizi wa Chuo kikuu...
Sifa hiyo haitoshi kuwa mtumishi mwandamizi!?
Hana experience ya kuratibu, kuandaa na kuongoza Baraza la Mawaziri kwa vile hajawahi kuwa Waziri wala Katibu Mkuu wa Wizara yoyote....!! Uteuzi huu una Walakini!!!
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa kifupi JIWE kachemka sana na hakuna mtu wa kumwambia. Chief Secretary ilipaswa atoke miongoni mwa maafisa waandamizi wa serikali siyo mtumishi wa chama cha siasa.
Utumushi wa umma upo katika makundi,mojawapo ni kundi la Kisiasa,hivyo bashiru ni afisa mwandamizi anayetoka kundi la Kisiasa😱va.
 
Nafikiri kuna tofauti kati ya Title na Position linapokuja suala la ubalozi. Mpaka sasa Bashiru hana mamlaka au majukumu(POSITION) yoyote ya kibalozi aliyopewa zaidi ya jina na hadhi au STAHIKI (TITLE)ya Ubalozi. Ni sawa na Injinia au Mwanasheria au Daktari au Mwalimu mwenye jina au stahiki hiyo bila kuwa na nafasi ya kiutendaji au utumishi katika Fani tajwa.
 
Kama katiba imevunjwa kitambo Sana, kilichotumika ni Sheria ndogo Chini ya maamuzi ya rais binafsi.sijui Kama hata mwanasheria mkuu wa serikali alimshauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…