Katiba Inayopendekezwa imekujali hata wewe unayekaidi na kuipinga.

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
2,795
Reaction score
9
Watanzani baadhi wamekuwa wavivu wa kusoma na hili ni janga ktk taifa letu, maaana kusoma hawataki lkn wanaamini tu kwa yale wanayoambiwa na watu wa pembeni jambo ambalo si zuri hususani katka suala hili muhimu la katiba, mtu kama hukuisoma vema katiba hii basi isiwe kero humu kukaidi na kujigamba kuwa wewe utapiga hapana, kuwa na busara tafuta muda isome vema na utagundua kuwa asilimia ya watu wengi wanaoipinga na kuikejeli hawajaisoma na ndo walioko mstari wa mbele ktika kuipinga, je watu hawa tuwaite Wazalendo au Wasaliti?

Tukumbuke ya kuwa Katiba Inayopendekezwa imewajali watu wote pasipo upendeleo wowote na hilo halina ubishi, hata wewe unayekaidi na kuipinga jua ya kwamba imekujali uwe mtoto, kijana, mzee n.k ujue kuwa haki zako zimo mule ndani, sasa kama kila kilichokizuri kimo iweje sasa uipinge tena kwa kusikiliza maneno ya watu? Huko ni kukosa uzalendo kwa nchi yako ukiwa kama Mtanzania.

Wito wangu kwako ewe mtanzania ni kwamba tuweni wazalendo, tuijenge nchi yetu kwa kuhakikisha kuwa katiba hii inapita kwa kura nyingi za Ndiyo hapo muda utakapowadia, maendeleo ya nchi hii huletwa na mimi pamoja na wewe na sio kwa kubisha bisha na kupotosha wengine kuichukia hii katiba, haitakuwa na maana kuendelea kuitumia hii ya 1977 kwani tumeshaona kuwa ina mapungufu kibao.

Kwa mfano mzuri, Katiba Inayopendekezwa imewajali Wasanii kwa mara ya kwanza katika ibara ile ya 59, pia tumeona kuwa PCCB kwa mara ya kwanza imewekwa katika ibara ya 249 pamoja na mambo mengine mengi ambayo kwenye hii ya 1977 hayakuwepo.

Nahitimisha kwa kusisitiza watanzania wote kuisoma katiba hii kwa makini na mwisho wa siku tuipigie kura nyingi za NDIYOOOOOO!

MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA, Long live KATIBA INAYOPENDEKEZWA.
 
Ni jambo la msingi sana kuiunga mkono katiba inayopendekezwa kwa kuwa imetujali sana watanzania wote katika makundi yote tuliyomo,kwa msingi huo ni vyema tukaisoma katiba pendekezwa kwa umakini ili tuielewe na tuondokane na Upotoshaji unaofanywa na watu wachache wasioitakia mema nchi hii
 
Watanzani baadhi wamekuwa wavivu wa kusoma na hili ni janga ktk taifa letu, maaana kusoma hawataki lkn wanaamini tu kwa yale wanayoambiwa na watu wa pembeni jambo ambalo si zuri hususani katka suala hili muhimu la katiba, mtu kama hukuisoma vema katiba hii basi isiwe kero humu kukaidi na kujigamba kuwa wewe utapiga hapana, kuwa na busara tafuta muda isome vema na utagundua kuwa asilimia ya watu wengi wanaoipinga na kuikejeli hawajaisoma na ndo walioko mstari wa mbele ktika kuipinga, je watu hawa tuwaite Wazalendo au Wasaliti?

Tukumbuke ya kuwa Katiba Inayopendekezwa imewajali watu wote pasipo upendeleo wowote na hilo halina ubishi, hata wewe unayekaidi na kuipinga jua ya kwamba imekujali uwe mtoto, kijana, mzee n.k ujue kuwa haki zako zimo mule ndani, sasa kama kila kilichokizuri kimo iweje sasa uipinge tena kwa kusikiliza maneno ya watu? Huko ni kukosa uzalendo kwa nchi yako ukiwa kama Mtanzania.

Wito wangu kwako ewe mtanzania ni kwamba tuweni wazalendo, tuijenge nchi yetu kwa kuhakikisha kuwa katiba hii inapita kwa kura nyingi za Ndiyo hapo muda utakapowadia, maendeleo ya nchi hii huletwa na mimi pamoja na wewe na sio kwa kubisha bisha na kupotosha wengine kuichukia hii katiba, haitakuwa na maana kuendelea kuitumia hii ya 1977 kwani tumeshaona kuwa ina mapungufu kibao.

Kwa mfano mzuri, Katiba Inayopendekezwa imewajali Wasanii kwa mara ya kwanza katika ibara ile ya 59, pia tumeona kuwa PCCB kwa mara ya kwanza imewekwa katika ibara ya 249 pamoja na mambo mengine mengi ambayo kwenye hii ya 1977 hayakuwepo.

Nahitimisha kwa kusisitiza watanzania wote kuisoma katiba hii kwa makini na mwisho wa siku tuipigie kura nyingi za NDIYOOOOOO!

MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA, Long live KATIBA INAYOPENDEKEZWA.

Kuisoma na kuielewa ni vitu 2tofauti kabisa ww utakua umeisoma ila hujaielewa kwa hiyo nakushauri utafute mtu akusomee hapo sasa utaweza kuelewa vizuri.
 
Kamwambie mmeo alokuzalisha mtoto leo tarehe ulojiunga na JF huo ujinga wako.
 
Mshinde kwa hoja na sisi wengine tujifunze ukumbi huu sio wa matusi. Ebu jenga hoja!

Ni vema watu wajue umuhimu wa kuzungumza na kujibiana kwa hoja za msingi na tudumishe mijadala kwa manufaa ya taifa letu
 
Watanzani baadhi wamekuwa wavivu wa kusoma na hili ni janga ktk taifa letu, maaana kusoma hawataki lkn wanaamini tu kwa yale wanayoambiwa na watu wa pembeni jambo ambalo si zuri hususani katka suala hili muhimu la katiba, mtu kama hukuisoma vema katiba hii basi isiwe kero humu kukaidi na kujigamba kuwa wewe utapiga hapana, kuwa na busara tafuta muda isome vema na utagundua kuwa asilimia ya watu wengi wanaoipinga na kuikejeli hawajaisoma na ndo walioko mstari wa mbele ktika kuipinga, je watu hawa tuwaite Wazalendo au Wasaliti?

Tukumbuke ya kuwa Katiba Inayopendekezwa imewajali watu wote pasipo upendeleo wowote na hilo halina ubishi, hata wewe unayekaidi na kuipinga jua ya kwamba imekujali uwe mtoto, kijana, mzee n.k ujue kuwa haki zako zimo mule ndani, sasa kama kila kilichokizuri kimo iweje sasa uipinge tena kwa kusikiliza maneno ya watu? Huko ni kukosa uzalendo kwa nchi yako ukiwa kama Mtanzania.

Wito wangu kwako ewe mtanzania ni kwamba tuweni wazalendo, tuijenge nchi yetu kwa kuhakikisha kuwa katiba hii inapita kwa kura nyingi za Ndiyo hapo muda utakapowadia, maendeleo ya nchi hii huletwa na mimi pamoja na wewe na sio kwa kubisha bisha na kupotosha wengine kuichukia hii katiba, haitakuwa na maana kuendelea kuitumia hii ya 1977 kwani tumeshaona kuwa ina mapungufu kibao.

Kwa mfano mzuri, Katiba Inayopendekezwa imewajali Wasanii kwa mara ya kwanza katika ibara ile ya 59, pia tumeona kuwa PCCB kwa mara ya kwanza imewekwa katika ibara ya 249 pamoja na mambo mengine mengi ambayo kwenye hii ya 1977 hayakuwepo.

Nahitimisha kwa kusisitiza watanzania wote kuisoma katiba hii kwa makini na mwisho wa siku tuipigie kura nyingi za NDIYOOOOOO!

MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA, Long live KATIBA INAYOPENDEKEZWA.

Man wewe umekariri maisha sio! "Watanzania baadhi wamekuwa wavivu wa kusoma"; Umekariri! "je watu hawa tuwaite Wazalendo au Wasaliti?" Umekariri!;
"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA, Long live KATIBA INAYOPENDEKEZWA"; Umekariri! "tumeona kuwa PCCB kwa mara ya kwanza imewekwa katika ibara ya 249 pamoja na mambo mengine mengi ambayo kwenye hii ya 1977 hayakuwepo". Umekariri!!; mvivu wa kusoma wewe pia!

Man think out of the box; stop parroting your partys ideology hapa kwenye jamvi! hebu nikwambie kidogo ni kwa nini baadhi yetu tutapiga kura ya hapana:

1. Mchakato wa kutengeneza katiba ulivurugwa kwa ubabe wa CCM, rushwa na vitisho na kukiuka sheria ya mabadiliko ya katiba.
2 Muundo wa BMK uliandaliwa mahsusi kuiwezesha CCM kuupiku mjadala mzima
3. Maoni yaliyowasilishwa na tume ya mabadiliko ya katiba yalikataliwa hata kabla ya kujadiliwa kulingana na mahitaji ya sheria.

3. Serikali ilijihusisha katika vitendo vya kuihujuma tume ya mabadiliko ya katiba kwa kuivunja kinyemela na kuifunga Tovuti yake ili wananchi wasiyasome maoni ya tume kwa kina. (walikuwa na jambo wanalificha hapa)
4. Katiba pendekezwa haitambui kwamba Watanganyika; wananchi wa Bara ambayo ni sehemu ya muungano; nchi mbili zilizoungana tuna ASILI yetu; sisi sio wakosa kabila ! tuna nchi yetu inayoitwa TANGANYIKA iliyoungana na nchi nyingine iitwayo ZANZIBAR na kuunda Tanzania! maslahi ya watanganyika lazma yaainishwe bayana kwenye katiba iliyo bora

Kwa kifupi Katiba isiyozingatia mambo makuu ya msingi kwa maslahi mapana; utu na heshima ya wananchi wake haifai hata kama ingesimamia maslahi ya mtu mmoja mmoja!

Kura ya Hapana ndiyo jibu sahihi kwa katiba inayopendekezwa ya "Nyoka mwenye makengeza na Six"; kwa tafsiri yako ya uzalendo utatuita sisi tunaosimamia kura ya hapana kuwa ni WASALITI; sawa lakini inawezekana hao unaowaita wasaliti ndio haswa wanaozingatia maslahi mapana ya nchi na watu wake.
Kwa mfano; tulipoombwa maoni yetu kama nchi irudie mfumo wa vyama vingi au la; asilimia 80 walisema HAPANA na asilimia 20 wakasema NDIYO; lakini Mwalimu kwa busara zake maono mapana na ushawishi wake wa kimaadili akasema "WENGI WAPEWE LANINI WACHACHE WASIKILIZWE"; hivyo ndivyo wachache walivyopeta na leo tuko kwenye mfumo wa vyama vingi; naamini wewe mwenyewe unamuona Baba wa taifa kwamba ni MZALENDO namba moja; japo alitoa maoni ya kupingana na wengi; Tafakari!!!!!???

Usikariri maisha; uache ubongo wako uvinjari; KURA YA MAONI HAPAAAANA.
 
Mpumbavu wewe, kila kitu umekariri, kamwambie babaako huo ushenzi wako wa kukariri. Wewe si TYTA leo umekuja na ID nyingine ya MTK hatukuhitaji humu samaki wewe.
 
Jama humu jf ni sehemu ya kujenga hoja na kimsingi swala la katiba inayopendekezwa ni la wananchi wenyewe kwa hiyo wale tutafanya propaganda na upotoshaji kuhusu katiba inayopendekezwa tujue hTuwatendei haki watanzania.ni vyema tukaelimishana kuliko kuendeleza vijembe na maneno yasiyo na tijA kwa nchi yetu,naomba tuache
 
Mpumbavu wewe, kila kitu umekariri, kamwambie babaako huo ushenzi wako wa kukariri. Wewe si TYTA leo umekuja na ID nyingine ya MTK hatukuhitaji humu samaki wewe.

Come on unapanic kitu gani! mitusi haikusaidii kujenga hoja wala kushinda mjadala; sanasana unajipandisha munkari buree! unakasirika na mtu ambaye humuoni, hayupo na humjui kwa kisa gani? kushindwa nguvu ya Hoja tu basi??!!

Relax man; mimi ni MTK yule yule; nina haja gani ya kubadili badili ID; kwa sababu gani? ninaogopa kitu gani? this is not treason, sijakutusi kama unavyojaribu kufanya wewe; natumia tafsida sahihi kwa muktadha huu; tunachokijadili ni mjadala wa wazi juu ya jambo lililoko kwenye public domain! sasa niogope kitu gani hadi nibadilishe ID yangu! ungekuwa unanifahamu in person ungeelewa nina maana gani kukwambia hivyo! kama unawasiwasi na ID yangu waulize Administrators wa JF wakusaidie ku-verify!

dont panic bro! unapokuja kwenye public floor na hoja moja au nyingine; inakubidi uote ngozi ya Nyati! hapa utakutana na maoni na hoja zenye nguvu; ukipanic kirahisi na kuanza kutukana hovyo hovyo anajiweka pabaya kwa sababu ukienda mbali na mitusi yako ni rahisi kukubaini; hapa kwenye jamvi fanya staha kwa sababu unakutana na watu wa kila aina na usio wajua kwa karibu shurti uchukue tahadhari sana katika ushiriki wako kwenye mijadala ya wazi kijana! Sheria ya makosa ya mitandao yaja; watu kama wewe mtapata shida; hamtapona!! Pole.
 
Katiba ya chenge na kundi lake waizi wanajiweka katika hali nzuri

swissme
 
Hizi buku 7 mwaka huu zitawatokea puani na katiba ya chenge

swissme

Naona umeshindia maandazi kisa hujalipwa na huyo alokutuma! hahahaha naona unakomaa ilimradi upate mtonyo maana sikukuu ya pasaka uliambualia patupu. Pole sana kijana achana na kazi ya kibaraka haikufai wewe.
 
Man wewe umekariri maisha sio! "Watanzania baadhi wamekuwa wavivu wa kusoma"; Umekariri! "je watu hawa tuwaite Wazalendo au Wasaliti?" Umekariri!;
"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA, Long live KATIBA INAYOPENDEKEZWA"; Umekariri! "tumeona kuwa PCCB kwa mara ya kwanza imewekwa katika ibara ya 249 pamoja na mambo mengine mengi ambayo kwenye hii ya 1977 hayakuwepo". Umekariri!!; mvivu wa kusoma wewe pia!

Man think out of the box; stop parroting your partys ideology hapa kwenye jamvi! hebu nikwambie kidogo ni kwa nini baadhi yetu tutapiga kura ya hapana:

1. Mchakato wa kutengeneza katiba ulivurugwa kwa ubabe wa CCM, rushwa na vitisho na kukiuka sheria ya mabadiliko ya katiba.
2 Muundo wa BMK uliandaliwa mahsusi kuiwezesha CCM kuupiku mjadala mzima
3. Maoni yaliyowasilishwa na tume ya mabadiliko ya katiba yalikataliwa hata kabla ya kujadiliwa kulingana na mahitaji ya sheria.

3. Serikali ilijihusisha katika vitendo vya kuihujuma tume ya mabadiliko ya katiba kwa kuivunja kinyemela na kuifunga Tovuti yake ili wananchi wasiyasome maoni ya tume kwa kina. (walikuwa na jambo wanalificha hapa)
4. Katiba pendekezwa haitambui kwamba Watanganyika; wananchi wa Bara ambayo ni sehemu ya muungano; nchi mbili zilizoungana tuna ASILI yetu; sisi sio wakosa kabila ! tuna nchi yetu inayoitwa TANGANYIKA iliyoungana na nchi nyingine iitwayo ZANZIBAR na kuunda Tanzania! maslahi ya watanganyika lazma yaainishwe bayana kwenye katiba iliyo bora

Kwa kifupi Katiba isiyozingatia mambo makuu ya msingi kwa maslahi mapana; utu na heshima ya wananchi wake haifai hata kama ingesimamia maslahi ya mtu mmoja mmoja!

Kura ya Hapana ndiyo jibu sahihi kwa katiba inayopendekezwa ya "Nyoka mwenye makengeza na Six"; kwa tafsiri yako ya uzalendo utatuita sisi tunaosimamia kura ya hapana kuwa ni WASALITI; sawa lakini inawezekana hao unaowaita wasaliti ndio haswa wanaozingatia maslahi mapana ya nchi na watu wake.
Kwa mfano; tulipoombwa maoni yetu kama nchi irudie mfumo wa vyama vingi au la; asilimia 80 walisema HAPANA na asilimia 20 wakasema NDIYO; lakini Mwalimu kwa busara zake maono mapana na ushawishi wake wa kimaadili akasema "WENGI WAPEWE LANINI WACHACHE WASIKILIZWE"; hivyo ndivyo wachache walivyopeta na leo tuko kwenye mfumo wa vyama vingi; naamini wewe mwenyewe unamuona Baba wa taifa kwamba ni MZALENDO namba moja; japo alitoa maoni ya kupingana na wengi; Tafakari!!!!!???

Usikariri maisha; uache ubongo wako uvinjari; KURA YA MAONI HAPAAAANA.

Sijaafiki mtazamo wako wa kusema "Mchakato wa kutengeneza katiba ulivurugwa kwa ubabe wa CCM, rushwa na vitisho na kukiuka sheria ya mabadiliko ya katiba" kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za mchakato wa kuanzishwa Katiba Mpya. Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83 limezingatia na kuwekwa pamoja mabadiliko yote yaliyofanywa katika Sheria hii tangu ilipotungwa mwaka 2011 hadi tarehe 31 Desemba, 2013 na limechapishwa kwa mujibu wa kifungu cha 4 cha Sheria ya Urekebu Sheria, Sura ya 4. Sheria ni nzuri mno na ipo wazi inaonesha kuanzia Jina lenyewe la Sheria, Matumizi, Tafsiri, Madhumuni, Uundaji wa Tume, Uteuzi wa wajumbe wa Tume, Muundo wa Tume, Hadidu za rejea, Kazi za Tume, Uhuru wa Tume, Kiapo cha wajumbe na Katibu wa Tume, Ukomo wa ujumbe, Sekretarieti, Gharama za Tume, Kinga kwa wajumbe wa Tume na Sekretarieti, Ukaguzi wa Hesabu zaTume, utaratibu wa utendaji kazi wa Tume, kuitisha Bunge Maalum.

Kuhusu hoja yako ya 2. Inayohusu "Muundo wa BMK uliandaliwa mahsusi kuiwezesha CCM kuupiku mjadala mzima" Wewe siyo mfuatiliaji wa mambo, hoja yako hii ni dhahania tu.

Bwana, Kama huna facts usiwadanganye Watanzania. Pennye ukweli tuwe wakweli, Jamani Bunge Maalum lilitishwa Sheria Na. 9 ya mwaka, 2013 na Tangazo la Serikali Na.394 la mwaka 2011 Amri ya 2 aya (r) SEHEMU YA TANO. Sehemu hii inahusu kuitishwa kwa Bunge Maalum ambapo litakalokuwa na wajumbe wafuatao: (a) wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano; (b) wajumbe wote wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar; (c) wajumbe mia mbili na moja watakaoteuliwa na Rais kwa makubaliano na Rais wa Zanzibar kama ifuatavyo: (i) wajumbe ishirini kutoka Taasisi zisizokuwa za Kiserikali; Sheria ya Mabadiliko ya Katiba [Sura ya 83 Toleo la mwaka 2014] (ii) wajumbe ishirini kutoka Taasisi za Kidini; (iii) wajumbe arobaini na mbili kutoka Vyama vyote vya Siasa vyenye usajili wa kudumu; (iv) wajumbe ishirini kutoka Taasisi za Elimu; (v) wajumbe ishirini kutoka katika makundi ya watu wenye ulemavu; (vi) wajumbe kumi na tisa kutoka Vyama vya Wafanyakazi; (vii) wajumbe kumi kutoka Vyama vinavyowakilisha Wafugaji; (viii) wajumbe kumi kutoka Vyama vinavyowakilisha Wavuvi; (ix) wajumbe ishirini kutoka Vyama vya Wakulima; (x) wajumbe ishirini kutoka makundi mengine yoyote ambayo yana malengo yanayofanana.

Kuhusu hoja yako ya 3. Inayohusu "Maoni yaliyowasilishwa na tume ya mabadiliko ya katiba yalikataliwa hata kabla ya kujadiliwa kulingana na mahitaji ya sheria". Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83 imezingatia na kuweka pamoja mabadiliko yote yaliyofanywa katika Sheria hii tangu ilipotungwa mwaka 2011 hadi tarehe 31 Desemba, 2013kwa kuanzaia ambapo kazi hiyo ilianza na uundwaji wa Tume, utaratibu wa utendaji kazi wa Tume, kwa kuzingatia Utaratibu wa utendaji kazi, Mabaraza ya Katiba, Ripoti ya Tume, Uwasilishaji na uchapishaji wa ripoti hatimaye kuitisha Bunge Maalum ambapo taratibu zote zimefuatwa kwa uhalisia wake.

Cha kusikitisha zaidi ndg MTK, hoja yako ya 4 Inayohusu "Serikali ilijihusisha katika vitendo vya kuihujuma tume ya mabadiliko ya katiba kwa kuivunja kinyemela na kuifunga Tovuti yake ili wananchi wasiyasome maoni ya tume kwa kina. (walikuwa na jambo wanalificha hapa)", MTK, acha uongo,mimi naipenda nchi yangu, siko tayari kwa udanganyifu unaoufanya bila kuwa na uthibitisho wenye uhalali unaoweza kunishawishi kuhusu masuala hayo uliyoyaainisha. Ukweli ni kwamba Kuvunjwa kwa Tume kumefuata hatua zote na halali kisheria zaidi ya hapo kumetambuliwa hata kwenye Tangazo la Serikali Na.394 la mwaka 2011 Amri ya 2 aya (cc) Sheria Na. 9 ya mwaka 2013 kifungu cha 5. Baada ya kuwasilishwa kwa Rasimu ya Katiba kwenye Bunge Maalum chini ya kifungu cha 20(3), Rais, kwa amri iliyochapishwa kwenye Gazeti la Serikali, ataivunja Tume. (2) Kuvunjwa kwa Tume kwa amri ya Rais kutakuwa na maana ya ukomo wa mamlaka ya Tume na Sekretarieti. Jamani wanaJF, watu hawa ambao wanatoa maneno yasiyo na msingi mimi huwa wananikwaza kwa kuwa siyo wakweli bali wanawahadaa Watanzania na wasomaji wa JF. Ndg wachangiaji na wasomaji wa jukwaa hili sitachoka kusema ukweli palipo na ukweli. Sasa basi nchi yetu inaheshimu na kuzingatia misingi ya utu na udugu, uhuru, kujitegemea, haki, usawa, amani na utulivu, umoja na mshikamano katika nyanja zote za maisha yetu, tusikubali wapotoshaji wachache wachafue nchi hii kwa maslahi yao binafsi

Tukumbuke kuijenga, kuikuza na kuendeleza amani, umoja, ujirani mwema na ushirikiano na mataifa mbalimbali ya Afrika na dunia kwa ujumla; urithi tulioachiwa na Waasisi wa Taifa letu wa kujenga nchi yenye umoja wa watu wake ambao hawabaguani kwa misingi ya ukabila, dini, rangi, jinsi, ulemavu au ubaguzi wa aina nyingine yoyote. MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
  • Thanks
Reactions: mge
Sijaafiki mtazamo wako wa kusema “Mchakato wa kutengeneza katiba ulivurugwa kwa ubabe wa CCM, rushwa na vitisho na kukiuka sheria ya mabadiliko ya katiba” kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za mchakato wa kuanzishwa Katiba Mpya. Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83 limezingatia na kuwekwa pamoja mabadiliko yote yaliyofanywa katika Sheria hii tangu ilipotungwa mwaka 2011 hadi tarehe 31 Desemba, 2013 na limechapishwa kwa mujibu wa kifungu cha 4 cha Sheria ya Urekebu Sheria, Sura ya 4. Sheria ni nzuri mno na ipo wazi inaonesha kuanzia Jina lenyewe la Sheria, Matumizi, Tafsiri, Madhumuni, Uundaji wa Tume, Uteuzi wa wajumbe wa Tume, Muundo wa Tume, Hadidu za rejea, Kazi za Tume, Uhuru wa Tume, Kiapo cha wajumbe na Katibu wa Tume, Ukomo wa ujumbe, Sekretarieti, Gharama za Tume, Kinga kwa wajumbe wa Tume na Sekretarieti, Ukaguzi wa Hesabu zaTume, utaratibu wa utendaji kazi wa Tume, kuitisha Bunge Maalum.

Kuhusu hoja yako ya 2. Inayohusu “Muundo wa BMK uliandaliwa mahsusi kuiwezesha CCM kuupiku mjadala mzima” Wewe siyo mfuatiliaji wa mambo, hoja yako hii ni dhahania tu.

Bwana, Kama huna facts usiwadanganye Watanzania. Pennye ukweli tuwe wakweli, Jamani Bunge Maalum lilitishwa Sheria Na. 9 ya mwaka, 2013 na Tangazo la Serikali Na.394 la mwaka 2011 Amri ya 2 aya (r) SEHEMU YA TANO. Sehemu hii inahusu kuitishwa kwa Bunge Maalum ambapo litakalokuwa na wajumbe wafuatao: (a) wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano; (b) wajumbe wote wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar; (c) wajumbe mia mbili na moja watakaoteuliwa na Rais kwa makubaliano na Rais wa Zanzibar kama ifuatavyo: (i) wajumbe ishirini kutoka Taasisi zisizokuwa za Kiserikali; Sheria ya Mabadiliko ya Katiba [Sura ya 83 Toleo la mwaka 2014] (ii) wajumbe ishirini kutoka Taasisi za Kidini; (iii) wajumbe arobaini na mbili kutoka Vyama vyote vya Siasa vyenye usajili wa kudumu; (iv) wajumbe ishirini kutoka Taasisi za Elimu; (v) wajumbe ishirini kutoka katika makundi ya watu wenye ulemavu; (vi) wajumbe kumi na tisa kutoka Vyama vya Wafanyakazi; (vii) wajumbe kumi kutoka Vyama vinavyowakilisha Wafugaji; (viii) wajumbe kumi kutoka Vyama vinavyowakilisha Wavuvi; (ix) wajumbe ishirini kutoka Vyama vya Wakulima; (x) wajumbe ishirini kutoka makundi mengine yoyote ambayo yana malengo yanayofanana.

Kuhusu hoja yako ya 3. Inayohusu “Maoni yaliyowasilishwa na tume ya mabadiliko ya katiba yalikataliwa hata kabla ya kujadiliwa kulingana na mahitaji ya sheria”. Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83 imezingatia na kuweka pamoja mabadiliko yote yaliyofanywa katika Sheria hii tangu ilipotungwa mwaka 2011 hadi tarehe 31 Desemba, 2013kwa kuanzaia ambapo kazi hiyo ilianza na uundwaji wa Tume, utaratibu wa utendaji kazi wa Tume, kwa kuzingatia Utaratibu wa utendaji kazi, Mabaraza ya Katiba, Ripoti ya Tume, Uwasilishaji na uchapishaji wa ripoti hatimaye kuitisha Bunge Maalum ambapo taratibu zote zimefuatwa kwa uhalisia wake.

Cha kusikitisha zaidi ndg MTK, hoja yako ya 4 Inayohusu “Serikali ilijihusisha katika vitendo vya kuihujuma tume ya mabadiliko ya katiba kwa kuivunja kinyemela na kuifunga Tovuti yake ili wananchi wasiyasome maoni ya tume kwa kina. (walikuwa na jambo wanalificha hapa)”, MTK, acha uongo,mimi naipenda nchi yangu, siko tayari kwa udanganyifu unaoufanya bila kuwa na uthibitisho wenye uhalali unaoweza kunishawishi kuhusu masuala hayo uliyoyaainisha. Ukweli ni kwamba Kuvunjwa kwa Tume kumefuata hatua zote na halali kisheria zaidi ya hapo kumetambuliwa hata kwenye Tangazo la Serikali Na.394 la mwaka 2011 Amri ya 2 aya (cc) Sheria Na. 9 ya mwaka 2013 kifungu cha 5. Baada ya kuwasilishwa kwa Rasimu ya Katiba kwenye Bunge Maalum chini ya kifungu cha 20(3), Rais, kwa amri iliyochapishwa kwenye Gazeti la Serikali, ataivunja Tume. (2) Kuvunjwa kwa Tume kwa amri ya Rais kutakuwa na maana ya ukomo wa mamlaka ya Tume na Sekretarieti. Jamani wanaJF, watu hawa ambao wanatoa maneno yasiyo na msingi mimi huwa wananikwaza kwa kuwa siyo wakweli bali wanawahadaa Watanzania na wasomaji wa JF. Ndg wachangiaji na wasomaji wa jukwaa hili sitachoka kusema ukweli palipo na ukweli. Sasa basi nchi yetu inaheshimu na kuzingatia misingi ya utu na udugu, uhuru, kujitegemea, haki, usawa, amani na utulivu, umoja na mshikamano katika nyanja zote za maisha yetu, tusikubali wapotoshaji wachache wachafue nchi hii kwa maslahi yao binafsi

Tukumbuke kuijenga, kuikuza na kuendeleza amani, umoja, ujirani mwema na ushirikiano na mataifa mbalimbali ya Afrika na dunia kwa ujumla; urithi tulioachiwa na Waasisi wa Taifa letu wa kujenga nchi yenye umoja wa watu wake ambao hawabaguani kwa misingi ya ukabila, dini, rangi, jinsi, ulemavu au ubaguzi wa aina nyingine yoyote. MUNGU IBARIKI TANZANIA

Asante mwasi kwa ufafanuzi mahsusi. MTK una cha zaidi. Soma ndugu yangu usiwe kama wale wanaosema tu bila kusoma. Utaumbuka kama leo.
 
  • Thanks
Reactions: MTK

aseee kasema maneno mazuri sana huyu mwasi safi sana nadhani jamaaa ataelewa sahv.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Back
Top Bottom