Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
nina uhakika ndo maana nimesema ivo sijakurupuka
unaota mchana kweupeeee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nina uhakika ndo maana nimesema ivo sijakurupuka
Hilo ni lako!!
Coz hata tukisema hapa kwamba kura yetu itakua HAPANA Serikali yetu haiangaliagi hata.
KUMBUKA RASIMU JINSI ILIVYOPITISHWA
Naomba nikuweke sawa kwanza Chenge hiuyo unaemzungumzia humu ndani wala hana Katiba yeye alichangia mawazo yake kama walivyo wengine, na pili suala la kura ni siri ya mtu si vema kwa sasa kuanza kutambishiana kwa kusema mi ntapiga kura fulani, huo si uungwana, hapa tuelimishane kwa hoija zenye maana pasipo chuki.
Ila kwanini mawazo yake yasiheshimike. Ningeona busara yangepokelewa maoni yake na kumtaka aweke bayana kwanini ameona afanye hvyo na si kukurupuka kwa kuanza kumponda na kutaka afuate mawazo yasiyosahihi.
Sitaki kuamini kwamba hajaisoma hii katiba...telimishane kwanza na kama hajaelewa katika kipengele fulani katika katiba basi afafanuliwe because i believe that people's mind accept flexibility approach
Ndugu huyo unavyomuona c mtu wa kukubali ukweli na c yeye tu bali wako wengine wengi wengi, chamsingi suala la kampeni ya HAPANA bado wavute subira na suala la kura si kila mtu alijue humu ndani kama anapenda kufanya hivyo basi aende kweny TV na Redio.
Mi simpingi yeye tu bali wale wote hata wa ndiyo, hapa tunaelimishana kwanza then baadae ndo mambo ya kura yatafata.
katiba yenyewe imezidi kutunyonga sisi wa chini.
Duh! Ama kweli aliyenayo ataongezewa na asiekuanacho atanyang'anywa alichonacho ataongezewa yule mwenye nacho.
Kura yangu ni ya hapana
katiba yenyewe imezidi kutunyonga sisi wa chini.
Duh! Ama kweli aliyenayo ataongezewa na asiekuanacho atanyang'anywa alichonacho ataongezewa yule mwenye nacho.
Kura yangu ni ya hapana
Ur talking something real real good and accepted by me......nnachosisitiza kuheshimu mawazo ya member hasa kwenye vitu vyenye pande mbili ili tusiwe kama wale wanaopenda kusafiria akili na fikra za wengine
Me cjui unachokataa ni nini au wewe sio MTANZANIA?
Maana kama KATIBA Yenyewe haichukuliwa kutokana na maoni yetu wee unafkria nn.
And Hata kama sina hoja BUT Msimamo wangu ni ile ile ya HAPANA.
Na sio mimi tu na wengne pia
Nadhani ujumbe wangu umekufikia sawa sawa ila unaona aibu kuukubali.
Ila kwanini mawazo yake yasiheshimike. Ningeona busara yangepokelewa maoni yake na kumtaka aweke bayana kwanini ameona afanye hvyo na si kukurupuka kwa kuanza kumponda na kutaka afuate mawazo yasiyosahihi.
Sitaki kuamini kwamba hajaisoma hii katiba...telimishane kwanza na kama hajaelewa katika kipengele fulani katika katiba basi afafanuliwe because i believe that people's mind accept flexibility approach
Tatizo la Watanzania wanataka mawazo yafanane kitu ambacho haiwezekani
Aibu kwako coz umeshindwa kujibu hoja, usipime bahari kwa kutumia miguu ucje ukazama!! Kasome katiba uielewe na uache ushindani usio na maana humu ndani.AIBU YA NINI!??
Khaa
Ndugu huyo unavyomuona c mtu wa kukubali ukweli na c yeye tu bali wako wengine wengi wengi, chamsingi suala la kampeni ya HAPANA bado wavute subira na suala la kura si kila mtu alijue humu ndani kama anapenda kufanya hivyo basi aende kweny TV na Redio.
Mi simpingi yeye tu bali wale wote hata wa ndiyo, hapa tunaelimishana kwanza then baadae ndo mambo ya kura yatafata.
Ur talking something real real good and accepted by me......nnachosisitiza kuheshimu mawazo ya member hasa kwenye vitu vyenye pande mbili ili tusiwe kama wale wanaopenda kusafiria akili na fikra za wengine
Ukweli upi nisioukubali?
Huo ukweli uko api!?
toka zako unauliza katiba kitu gani kama hujui unafuata nini humu? Afu unajifanya kuropoka inkunyonya wewe masikini wa chini, mwehu kweli kitu usichokijua kitakunyonyaje? Amejuaje kinakunyonga wakati hukijui inaelekea wewe ni kichwa cha bata umepotea njia wewe,
afu unajifanya msamaria mwema kutupa taarifa kila aliyenacho atanyanganywa umeshanyang'anywa vingapi wee mzembe?
watanzania ni ndiyooo kasoro wewe zombie
Real real kitu gani na wanaosafiria akili za wengne ni kama wewe.
Ila Kweli Maana Hawa Viongozi Wetu Washaatuona ss mapumbu