Katiba kitu gani

Katiba kitu gani

Naomba nikuweke sawa kwanza Chenge hiuyo unaemzungumzia humu ndani wala hana Katiba yeye alichangia mawazo yake kama walivyo wengine, na pili suala la kura ni siri ya mtu si vema kwa sasa kuanza kutambishiana kwa kusema mi ntapiga kura fulani, huo si uungwana, hapa tuelimishane kwa hoija zenye maana pasipo chuki.

Ila kwanini mawazo yake yasiheshimike. Ningeona busara yangepokelewa maoni yake na kumtaka aweke bayana kwanini ameona afanye hvyo na si kukurupuka kwa kuanza kumponda na kutaka afuate mawazo yasiyosahihi.

Sitaki kuamini kwamba hajaisoma hii katiba...telimishane kwanza na kama hajaelewa katika kipengele fulani katika katiba basi afafanuliwe because i believe that people's mind accept flexibility approach
 
Ndugu huyo unavyomuona c mtu wa kukubali ukweli na c yeye tu bali wako wengine wengi wengi, chamsingi suala la kampeni ya HAPANA bado wavute subira na suala la kura si kila mtu alijue humu ndani kama anapenda kufanya hivyo basi aende kweny TV na Redio.

Mi simpingi yeye tu bali wale wote hata wa ndiyo, hapa tunaelimishana kwanza then baadae ndo mambo ya kura yatafata.
 
Ur talking something real real good and accepted by me......nnachosisitiza kuheshimu mawazo ya member hasa kwenye vitu vyenye pande mbili ili tusiwe kama wale wanaopenda kusafiria akili na fikra za wengine
 
katiba yenyewe imezidi kutunyonga sisi wa chini.

Duh! Ama kweli aliyenayo ataongezewa na asiekuanacho atanyang'anywa alichonacho ataongezewa yule mwenye nacho.

Kura yangu ni ya hapana

toka zako unauliza katiba kitu gani kama hujui unafuata nini humu? Afu unajifanya kuropoka inkunyonya wewe masikini wa chini, mwehu kweli kitu usichokijua kitakunyonyaje? Amejuaje kinakunyonga wakati hukijui inaelekea wewe ni kichwa cha bata umepotea njia wewe,

afu unajifanya msamaria mwema kutupa taarifa kila aliyenacho atanyanganywa umeshanyang'anywa vingapi wee mzembe?
 
Ur talking something real real good and accepted by me......nnachosisitiza kuheshimu mawazo ya member hasa kwenye vitu vyenye pande mbili ili tusiwe kama wale wanaopenda kusafiria akili na fikra za wengine

kila mtu mawazo yake yanaheshimiwe sisi sote watanzania lakini chonde chonde kura ni siri ya mtu si vema kuweka matangazo humu ndani, KATIBA ISOMWE kwa umakini tuielewe kwani naamini ina mambo mengi mazuri kwetu sote kwa manufaa yetu wote.
 
Me cjui unachokataa ni nini au wewe sio MTANZANIA?

Maana kama KATIBA Yenyewe haichukuliwa kutokana na maoni yetu wee unafkria nn.

And Hata kama sina hoja BUT Msimamo wangu ni ile ile ya HAPANA.

Na sio mimi tu na wengne pia

Laizer utachekwa unasema katiba haijatokana na maoni yako? Mbona unachekesha walionuna....zaidi ya asilimia sabini ya maoni yaliyokuw kwenye mapendekezo ya warioba yaliyotokana na maoni ya wananchi yameingizwa kama yalivyo katika katiba inayopendekezwa....hizo asilimia nyingine ziliweka kwa mantiki ya kuboresha...maana kuna baadhi ya makundi yaliminywa haki zao kulingana na mapendekezo ya mzee warioba mfano watu kama wasanii hawakutambuliwa kabisa katika yale mapendekezo ya tume ya warioba...pia walemavu kuna vipengele viliongezwa...zipo sehemi nyingi tuu...ambazo kutokana na mapendekezo yale ilionekana ni busara kuyaboresha..ili kila raia apate haki atakayojivunia nayo kuwa kama mtanzania.....jitathmini wewe upo kundi gani nenda sura ya tano kasome.....hiyo ni nyongeza tu....
 
Ila kwanini mawazo yake yasiheshimike. Ningeona busara yangepokelewa maoni yake na kumtaka aweke bayana kwanini ameona afanye hvyo na si kukurupuka kwa kuanza kumponda na kutaka afuate mawazo yasiyosahihi.

Sitaki kuamini kwamba hajaisoma hii katiba...telimishane kwanza na kama hajaelewa katika kipengele fulani katika katiba basi afafanuliwe because i believe that people's mind accept flexibility approach

Ahsante sana
 
Tatizo la Watanzania wanataka mawazo yafanane kitu ambacho haiwezekani

Watanzania tuna buruzwa laizer na mwenzio the issue ni kuelimishana sio kukushawishi ukitaka kuelimika sawa ila ukitaka kukaa na mawazo uliyojazwa na wanasiasa walioamua kujiengua na bunge kisa suala la serikali tatu lilishindikana hakika utaion katiba hii ni mbaya....jiuloze hao wanaopiga porojo kusema ni mbaya mbona vitu wanavyovishadadia mostly ni vya kisiasa yale mambo ya msingi ya mwananchi wa kawaida mbona hawayazungumzi....ukijiuliza hilo utagundua kuna ubora upo sehemu flani wanashindwa kuuongea.....ila kule kwenye masuala ya tumbo lao kila siku kelele.....kaka usipotoshwe haki zote tena za mtanzania wa kawaida zimezingatiwa....mfano mtanzania anayehitaji....huduma bora ya afya.....unafuu katika usafiri wa umma hasa kwa wazee.....haki ya kusoma....haki ya kulindwa dhidi mauaji...kaka na mengine mengi kama haya yanayomgusa mwananchi wa kawaida yamo kwenye katiba inayopendekezwa....kasome sura ya tano kama nilivyokwambia awali upate starter ya kuisoma yote uone mambo yalivyowekwa....kaka laizer me najua we ni mwerevu na unaelewa utafanya hivyo kwa ajili ya tanzania yako na familia yako

Ahsante kijana
 
Ndugu huyo unavyomuona c mtu wa kukubali ukweli na c yeye tu bali wako wengine wengi wengi, chamsingi suala la kampeni ya HAPANA bado wavute subira na suala la kura si kila mtu alijue humu ndani kama anapenda kufanya hivyo basi aende kweny TV na Redio.

Mi simpingi yeye tu bali wale wote hata wa ndiyo, hapa tunaelimishana kwanza then baadae ndo mambo ya kura yatafata.

Ukweli upi nisioukubali?

Huo ukweli uko api!?
 
Ur talking something real real good and accepted by me......nnachosisitiza kuheshimu mawazo ya member hasa kwenye vitu vyenye pande mbili ili tusiwe kama wale wanaopenda kusafiria akili na fikra za wengine

Real real kitu gani na wanaosafiria akili za wengne ni kama wewe.
 
toka zako unauliza katiba kitu gani kama hujui unafuata nini humu? Afu unajifanya kuropoka inkunyonya wewe masikini wa chini, mwehu kweli kitu usichokijua kitakunyonyaje? Amejuaje kinakunyonga wakati hukijui inaelekea wewe ni kichwa cha bata umepotea njia wewe,

afu unajifanya msamaria mwema kutupa taarifa kila aliyenacho atanyanganywa umeshanyang'anywa vingapi wee mzembe?

Ndo kauli zenu za matusi izo hvyo sishangai **** WEWE
 
Ila Kweli Maana Hawa Viongozi Wetu Washaatuona ss mapumbu

Kama ni kijana kweli inasikitisha kuona hadi matusi unatoa kwa kitu usichokielewa....hii inaonesha ni maneno umemezeshwa...unakuja kuyatoa hapa best hata ushahidi huna.....wala facts huna
 
Back
Top Bottom