Hapo kwenye Mikataba na hizo firms za nje utapigwa tena tu, mimi nafikiri hebu tukae chini kama mataifa tuone wapi tulipo kosea, tuunde katiba mpya.Kwenye mikataba mikubwa naona tungeajiri makampuni ya nje ili watusaidie kuliko kiweka vilaza wanasaini kwa maslahi yao
Sijawahi kuona mikataba inasainiwa haraka hivi kama kwetu
Na kuwa na Rais mwenye mamlaka ya kukubali bila ushauri nalo mkaliangalie la sivyo tutakuwa wajinga wa kudaiwa mpaka mwisho
Tusimlaumu mzungu kwa ujinga wetu ingawa mleta Mada hakulaumu hao bali sisi wenyewe
Hata hiyo katiba mpya watainajisi tuHapo kwenye Mikataba na hizo firms za nje utapigwa tena tu, mimi nafikiri hebu tukae chini kama mataifa tuone wapi tulipo kosea, tuunde katiba mpya.
Hapa tunazidi kucheka na nyani! Na tutavuna mabua mengi sana. Hivi ukifungua kampuni ukamuajiri manager na akawa anakusababishia hasara Kila mwezi huoni faida zaidi ni madeni,utamuacha akae hadi ufilisike!? Tuamkeni Toka usingizini watanzania,nchi inaisha na itabaki makapi.Wanabodi,
Hizi kelele za wanasheria manguli wabobezi na wabobevu kuhusu hii IGA ya DPW na Bandari zetu, sio za kuzipuuzia!. Katiba hii mbovu tuliyonayo!, Sheria zetu mbovu tuliyonayo, mikataba mibovu ya kimataifa tunayoingia, mwisho wa siku tunajikuta tumepigwa!, tunafunguliwa mashitaka, tunashindwa, tunapigwa tozo za mabilioni ya fedha!, ambazo ni lazima tulipe.
Haya yote ni matokeo ya kazi ya wanasheria wabovu na baadhi yao vilaza!. Leo nimeianza siku kwa bad news kutoka Marekani, Tanzania tumeshindwa kesi, tunadaiwa tozo ya dola za Marekani zaidi ya Millioni 100!, na lazima tulipe!.
Soma taarifa hii hapa chini
View attachment 2692021
Mungu ibariki Tanzania
- Kama Tanzania tulipitisha sheria kuwa kwenye uwekezaji hakuna mashauri yoyote ya nje ya nchi!. Mashauri yote ni hapa nchini kutumia sheria za Tanzania!, sasa haya mashauri yanaendelea vipi kupelekwa nje?.
- Hii maana yake ni ama tuna sheria mbovu, ama tuna wanasheria wabovu wanaotunga sheria mbovu, zinazotupa mikataba mibovu, na mwisho wa siku tunaishia kupigwa na kutozwa matozo ya ajabu ajabu!.
- Huku kila siku kushindwa kesi za kimataifa na kupigwa tozo nako ni ama tuna sheria mbovu za mikataba mibovu ama kama sheria ni nzuri, then tuna wanasheria wabovu wasio na uwezo wa kushauri the right thing to do!, hivyo serikali yetu inavunja mikataba kitutusa na mwisho wa siku tunaishia kuumizwa kwa kushindwa kesi na kupigwa tozo!.
- Kabla ya kuvunja mkataba wowote, serikali yetu inaomba ushauri wa kisheria kufanya kitu kinachoitwa mitigation, wanasheria hawa huishauri vibaya serikali yetu, mwisho wa siku, tunaishia kuumizwa!.
- Issues ya Richmond, Dowans, tukaunda tume, ikatoa matokeo kwa mbwembe kuwa Richmond ni kampuni hewa hata tukivunja mkataba, hatutashitakiwa popote!.
- Tukamfanya Edward Lowassa ni mbuzi wa kafara, tukavunja mkataba!.
- Tukashitakiwa tukashindwa, tukapigwa tozo!. Waliotushauri tuvunje mkataba wakajiapiza "over my dead body!, hatulipi". Tulilipa kisiri siri every cent!. Hawa wanasheria walifanywa nini?
- Mitambo ya Richmond ikanunuliwa na Simbion, tukaingia nao mkataba ule ule na tukawalipa!.
- Chuma JPM, alipoingia tukavunja mkataba wa Simbion, tukashitakiwa, tukashindwa, tukapigwa tozo, Chuma JPM, akagoma hatulipi!
- Mama kaingia, tumelipa fasta fasta, kimya kimya!. Wanasheria waliotufikisha hapa walifanywa nini?!.
- Tulipotunga sheria mbovu, watu humu tulishauri Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?, leo baada ya kutuletea hii IGA mbovu, watu tumeeleza matatizo yake kibao!.
- Wanasheria hawa hawa, Bunge letu hili hili wanaipitisha hivyo hivyo ilivyo, wanaiambia serikali yetu hii IGA ni nzuri, safi na haina matatizo yoyote!.
- Wanasheria hawa wanao tufikisha hapa, tukiwaita ni wanasheria wabovu au vilaza, itakuwa ni kuwaonea?.
- Tanzania tutaendelea kufanywa shamba la bibi na kichwa cha Mwendawazimu na wanasheria wabovu na vilaza wa aina hii hadi lini?!.
Paskali
Wamejiwekea kinga Ili wasishtakiwe ndio maana wanatuletea upumbav walikuwa kabisa hatuna cha kuwafanya na wao wakiendelea kijinufaisha na familia zao. Ujinga kabisa huu!Hata hiyo katiba mpya watainajisi tu
Hata sasa tuna Katiba ila inasiginwa na kukanyagwa na wote wameichezea sana
Majizi hayataisha mpaka wakifungwa 100 maisha bila kujali nani wala nani maadam katulisha hasara au kaiba au kafilisi mradi weka ndani
Ila kuna tatizo moja, nani wa kumfunga mwenzie wakati wote wwnakula meza moja?
Katiba mbovu! Sheria mbovu! Mikataba mibovu!Wanabodi,
Hizi kelele za wanasheria manguli wabobezi na wabobevu kuhusu hii IGA ya DPW na Bandari zetu, sio za kuzipuuzia!. Katiba hii mbovu tuliyonayo!, Sheria zetu mbovu tuliyonayo, mikataba mibovu ya kimataifa tunayoingia, mwisho wa siku tunajikuta tumepigwa!, tunafunguliwa mashitaka, tunashindwa, tunapigwa tozo za mabilioni ya fedha!, ambazo ni lazima tulipe.
Haya yote ni matokeo ya kazi ya wanasheria wabovu na baadhi yao vilaza!. Leo nimeianza siku kwa bad news kutoka Marekani, Tanzania tumeshindwa kesi, tunadaiwa tozo ya dola za Marekani zaidi ya Millioni 100!, na lazima tulipe!.
Soma taarifa hii hapa chini
View attachment 2692021
Mungu ibariki Tanzania
- Kama Tanzania tulipitisha sheria kuwa kwenye uwekezaji hakuna mashauri yoyote ya nje ya nchi!. Mashauri yote ni hapa nchini kutumia sheria za Tanzania!, sasa haya mashauri yanaendelea vipi kupelekwa nje?.
- Hii maana yake ni ama tuna sheria mbovu, ama tuna wanasheria wabovu wanaotunga sheria mbovu, zinazotupa mikataba mibovu, na mwisho wa siku tunaishia kupigwa na kutozwa matozo ya ajabu ajabu!.
- Huku kila siku kushindwa kesi za kimataifa na kupigwa tozo nako ni ama tuna sheria mbovu za mikataba mibovu ama kama sheria ni nzuri, then tuna wanasheria wabovu wasio na uwezo wa kushauri the right thing to do!, hivyo serikali yetu inavunja mikataba kitutusa na mwisho wa siku tunaishia kuumizwa kwa kushindwa kesi na kupigwa tozo!.
- Kabla ya kuvunja mkataba wowote, serikali yetu inaomba ushauri wa kisheria kufanya kitu kinachoitwa mitigation, wanasheria hawa huishauri vibaya serikali yetu, mwisho wa siku, tunaishia kuumizwa!.
- Issues ya Richmond, Dowans, tukaunda tume, ikatoa matokeo kwa mbwembe kuwa Richmond ni kampuni hewa hata tukivunja mkataba, hatutashitakiwa popote!.
- Tukamfanya Edward Lowassa ni mbuzi wa kafara, tukavunja mkataba!.
- Tukashitakiwa tukashindwa, tukapigwa tozo!. Waliotushauri tuvunje mkataba wakajiapiza "over my dead body!, hatulipi". Tulilipa kisiri siri every cent!. Hawa wanasheria walifanywa nini?
- Mitambo ya Richmond ikanunuliwa na Simbion, tukaingia nao mkataba ule ule na tukawalipa!.
- Chuma JPM, alipoingia tukavunja mkataba wa Simbion, tukashitakiwa, tukashindwa, tukapigwa tozo, Chuma JPM, akagoma hatulipi!
- Mama kaingia, tumelipa fasta fasta, kimya kimya!. Wanasheria waliotufikisha hapa walifanywa nini?!.
- Tulipotunga sheria mbovu, watu humu tulishauri Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?, leo baada ya kutuletea hii IGA mbovu, watu tumeeleza matatizo yake kibao!.
- Wanasheria hawa hawa, Bunge letu hili hili wanaipitisha hivyo hivyo ilivyo, wanaiambia serikali yetu hii IGA ni nzuri, safi na haina matatizo yoyote!.
- Wanasheria hawa wanao tufikisha hapa, tukiwaita ni wanasheria wabovu au vilaza, itakuwa ni kuwaonea?.
- Tanzania tutaendelea kufanywa shamba la bibi na kichwa cha Mwendawazimu na wanasheria wabovu na vilaza wa aina hii hadi lini?!.
Paskali
Mimi kinachonishangaza ni hii ya kuona jinsi mikataba inavyoligharimu taifa kwa kulipa fidia kwa watu ambao pengine uwekezaji waliofanya haulingani,lakini Bado viongozi wetu wenye dhamana wanaingia tena mikataba kama hiyohiyo.Wako tayari kuumiza raia wanaotoa maoni tofauti au kupinga mikataba hiyo ili mradi tu mikataba iendelee.Mfano ni huu wa Dp world.Kwamba serikali haioni hayati ilipo mbele?Tunaingia mikataba ya kijinga, mwisho wa siku tunagundua ni ya kijinga wakati tushajitia kitanzi, tukijaribu kujitoa ndio wanatushitaki na kushinda mabilioni.
Inejirudia tena na tena. Angalau mwamba JPM aliona mikataba hii mibovu inatokana na usiri wake, watu wanapelekwa nje huko kupetiwa petiwa kisha wanasaini tu. Akaamua kuleta sheria ya kulinda rasilimali za nchi na kuweka uwazi kwenye hiyo mikataba.
Leo hii watu wanakwenda above and beyond kutaka kurudia ujinga na upumbavu uleule wa mikataba ya kijinga, wako tayari hata kuibadilisha ile sheria iliyowekwa ili kuinusuru nchi ili mradi upumbavu waliousaini upite.
Mtu asiyeweza kujifunza ni MPUMBAVU! Tumekuwa taifa la kipumbavu, kichwa cha mwendawazimu. Wahuni wanajipigia tu.
Mbombo ipo, middle class huyu wa kitanzania loooo, mkuu huoni athari zozote real?inakatisha tamaa nchi hii ,na wanaofikiri hivi ni wengi tu, ngoja nisogee kwenye vitindi vya ulanzi, nikapige mbeta zanguHivi ikikamatwa ndege huko mimi naathirikaje?
Hivi wakilipa hela hizi mimi naathirikaje?
Mbona naona kama wakilipa hela sipungukiwi kitu na hata tungeshinda kesi siongezewi kitu! Try & error; hivi nchi yote ikiuzwa tutapungukiwa nini sisi raia zaidi ya wale watakaopoteza vyeo vyao?
We Upendo wewe..!!!Hivi ikikamatwa ndege huko mimi naathirikaje?
Hivi wakilipa hela hizi mimi naathirikaje?
Mbona naona kama wakilipa hela sipungukiwi kitu na hata tungeshinda kesi siongezewi kitu! Try & error; hivi nchi yote ikiuzwa tutapungukiwa nini sisi raia zaidi ya wale watakaopoteza vyeo vyao?
Masikini TANGANYIKA CCM inawatia UMASIKINI WA MILELEWanabodi,
Hizi kelele za wanasheria manguli wabobezi na wabobevu kuhusu hii IGA ya DPW na Bandari zetu, sio za kuzipuuzia!. Katiba hii mbovu tuliyonayo!, Sheria zetu mbovu tuliyonayo, mikataba mibovu ya kimataifa tunayoingia, mwisho wa siku tunajikuta tumepigwa!, tunafunguliwa mashitaka, tunashindwa, tunapigwa tozo za mabilioni ya fedha!, ambazo ni lazima tulipe.
Haya yote ni matokeo ya kazi ya wanasheria wabovu na baadhi yao vilaza!. Leo nimeianza siku kwa bad news kutoka Marekani, Tanzania tumeshindwa kesi, tunadaiwa tozo ya dola za Marekani zaidi ya Millioni 100!, na lazima tulipe!.
Soma taarifa hii hapa chini
View attachment 2692021
Mungu ibariki Tanzania
- Kama Tanzania tulipitisha sheria kuwa kwenye uwekezaji hakuna mashauri yoyote ya nje ya nchi!. Mashauri yote ni hapa nchini kutumia sheria za Tanzania!, sasa haya mashauri yanaendelea vipi kupelekwa nje?.
- Hii maana yake ni ama tuna sheria mbovu, ama tuna wanasheria wabovu wanaotunga sheria mbovu, zinazotupa mikataba mibovu, na mwisho wa siku tunaishia kupigwa na kutozwa matozo ya ajabu ajabu!.
- Huku kila siku kushindwa kesi za kimataifa na kupigwa tozo nako ni ama tuna sheria mbovu za mikataba mibovu ama kama sheria ni nzuri, then tuna wanasheria wabovu wasio na uwezo wa kushauri the right thing to do!, hivyo serikali yetu inavunja mikataba kitutusa na mwisho wa siku tunaishia kuumizwa kwa kushindwa kesi na kupigwa tozo!.
- Kabla ya kuvunja mkataba wowote, serikali yetu inaomba ushauri wa kisheria kufanya kitu kinachoitwa mitigation, wanasheria hawa huishauri vibaya serikali yetu, mwisho wa siku, tunaishia kuumizwa!.
- Issues ya Richmond, Dowans, tukaunda tume, ikatoa matokeo kwa mbwembe kuwa Richmond ni kampuni hewa hata tukivunja mkataba, hatutashitakiwa popote!.
- Tukamfanya Edward Lowassa ni mbuzi wa kafara, tukavunja mkataba!.
- Tukashitakiwa tukashindwa, tukapigwa tozo!. Waliotushauri tuvunje mkataba wakajiapiza "over my dead body!, hatulipi". Tulilipa kisiri siri every cent!. Hawa wanasheria walifanywa nini?
- Mitambo ya Richmond ikanunuliwa na Simbion, tukaingia nao mkataba ule ule na tukawalipa!.
- Chuma JPM, alipoingia tukavunja mkataba wa Simbion, tukashitakiwa, tukashindwa, tukapigwa tozo, Chuma JPM, akagoma hatulipi!
- Mama kaingia, tumelipa fasta fasta, kimya kimya!. Wanasheria waliotufikisha hapa walifanywa nini?!.
- Tulipotunga sheria mbovu, watu humu tulishauri Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?, leo baada ya kutuletea hii IGA mbovu, watu tumeeleza matatizo yake kibao!.
- Wanasheria hawa hawa, Bunge letu hili hili wanaipitisha hivyo hivyo ilivyo, wanaiambia serikali yetu hii IGA ni nzuri, safi na haina matatizo yoyote!.
- Wanasheria hawa wanao tufikisha hapa, tukiwaita ni wanasheria wabovu au vilaza, itakuwa ni kuwaonea?.
- Tanzania tutaendelea kufanywa shamba la bibi na kichwa cha Mwendawazimu na wanasheria wabovu na vilaza wa aina hii hadi lini?!.
Paskali
Ilani ya CCM ndio iliyoshinda, kwani 2020 kulikuwa na uchaguzi au maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura?Bwana Mayala: haya yooooote unaweza kuyasema kwa neno moja: RULE OF LAW, i mean maneno matatu.
Sheria ya zamani ilikuwa na RETENTION LICENSE, yaani wakati unachimbachimba kutafuta dhahabu ulipewa miaka 5, unachukua RETENTION LICENSE kwa miaka mingine mitano ujaribu tena. Usipopata ndiyo basi. Huyu alikuwa na haki zote, kafanya kama ilivyotakiwa na sheria, kaja mtu mmoja akamnyanganya eneo lake, just like that. Huo si uzalendo, ni uvunjifu wa sheria tu.
Inawezekana huyo ndiyo alikuwa na maslahi yake binafsi, aulizwe - hii haihotaji tumehuru. Rais yuko Magogoni machimbo tako Makongolosi Chunya, atajuaje? Ni huo ushauri mbovu, si katiba mpya. Nakumbuka wote mlishangilia hiyo sheria isiyo sheria ilipopitishwa uweje sasa mnatupa crocodile tears?
Kuna wazalendu uchwara hawajui kama na wenzao nao ni wazalendo kwa nchi zao. Bomba la Mafuta linatoka Uganda ni maliasili yao watataka watumie sheria za Uganda.
Bomba linapita Katoma na Ng'wakitolyo hadi Chumbageni Tanga hiyo ni Nji yetu turataka tutumie sheria yetu. Nani ashinde? Nani ashindwe? Ndiyo maana wapuuzi kina Shivji Marxist na Slaa Msaliti wanagangania tutumie Jaji wa Kisutu wakati Mwarabu naye HELA zake ni mali ya Mfalme wake.
Katika hali hii tunatumia Geneva Convention inayotaka muende kwenye Nchi ya tatu lakini hawa wapumbavu hawataki kusikiliza. Mimi nakushauri soma Ilani ya CUF ilisemaje kuhusu bandari na ya CHADEMA halafu linganisha na ta CCM.
Mwaka 2020 ni ilani ya CCM ndiyo iliyoshinda, waachwe waitekeleze. Wananchi tusiyumbishwe na Wasaliti na mafisadi katika maisha yao.
Hao ni vilaza na matutusa tu, ndio maana nchi kila mara inaishia kuingia hasara tu.Wanasheria hawa wanao tufikisha hapa, tukiwaita ni wanasheria wabovu au vilaza, itakuwa ni kuwaonea?.