Katiba mbovu, sheria mbovu, mikataba mibovu. Leo tumetozwa zaidi ya Tsh. Bilioni 260. Kufanywa kichwa cha Mwendawazimu hadi lini?

Naona uelewa wako ni wa kimagufulification kwa mtu kama wewe ukapewa cheo utatutia hasara sana kwani your reasoning seems skewed and have met many Tanzanian coming up arguments like this mixing up numbers reading contract backwards. How ever i rest my case it’s difficult to reason with you poleni sana
 
Serikali ya Magufuli and no one else that the fact utake usitake
 
Hivi umekwenda kwenye mahakama ya kimataifa ukasoma procedure zao??Au lugha ndio tatizo unaelewa maana inforce? Tatizo la Watanzania wengi ni ubishi na kutokutaka kujielimisha hasa kusoma kitu na kilielewa ni matumaini yangu nimekuelewesha vya kutosha
 
Was this contract ever terminated??please help anyone??
 
Was this contract ever terminated??please help anyone??
Hivi ata umeifuatilia hiyo case.

Muda wa huo mkataba ulisha expire in 2015. Wakaongezewa muda wa miaka mitano.

So technically its a new contract which is not protected by the U.K. BIT.

Halafu usikariri ndio shida ya kujibizana na watu msio na abc za contract, mkataba sio lazima uwe terminated naturally after its due time or completion of performance.

Mkataba pia unaweza kuwa terminated na ‘frustrating event’ kama hiyo sheria iliyotungwa 2017 kama mkataba auna freezing clauses either expressed or by existing treaties.

Mkataba unaweza vunjwa by conditional breach, kama ujafikia vigezo vya performance.

Sio kukadhana tu na vitu bi chache na kudhani ndio muhimu pekee yake.
 
Kwenye kichwa chako unadhani hizo sheria za kimataifa zimetokea mbinguni.

For the most hizo procedures, msingi wake; ni industry customs, scholars/philosophers/institutional writers people like (Plato, Aristotle, Bentham and so on) who had written extensively on the topics of (Law, fault, justice, balancing conflicts), judicial precedents since 1800’s za mambo ya biashara.

Hayo mambo ☝️ndio 90% yana cover msingi wa hizo treaties za kibiashara, laws of contracts za nchi kadhaa; only codified to make them laws. We unadhani watu tu waliamka siku moja na kujiamulia jamani iwe hivi.

Shida yenu mnasoma hizo sheria bila ya kuelewa hayo mambo yametokea wapi. Hizo ni taratibu na zingine ni za zamani sana wakati sheria bado ni branch ya philosophy. Ndio maana mambo hayohayo yaliyomo kwenye hizo treaty unaweza kuta ndio dispute resolution procedures ya makazini pia kuanza kwa pande mbili kukaa chini.
 
Enforceable kwa sababu hiyo BIT ina implied terms za mkataba. Ndio msingi wa sunset clause ya kulinda hiyo mikataba iliyotendeka whilst the BIT was active for further 20 years since its expiration date.

Shida yako unasoma vitu literally, bila ya kuelewa legal implications.
 
Pole sana mkuu. Kweli umekerwa sana na wizi unaofanywa na majuha wa CCM kwa maslahi yao binafasi lakini wanaoumia ni wananchi wote kwa ujumla. Hebu tuache kulia tufanye jambo. Nashauri tufanye ifuatavyo:

1. Wananchi wote wazalendo tuungane kwa pamoja kuwapiga chini mafisi wa CCM ifikapo 2025 kwani hawa majambazi wameonyesha hawana nia njena na ustawi wa watanzania.

2. Kwa kuwa Prighozin na kundi lake la wapiganaji wa kukodi wameonesha nia ya kuondoka Urusi na kuja kupigana Afrika, nashauri watanzania wazalendo wenye uchungu na rasilimali za nchi hii kwa kizazi cha sasa na vizazi vijavyo, tuchangishane fedha tuwalipe kundi la Wagner waje watusaidie kupigana na hawa mafisi wanaofisidi rasilimali za taifa cheaply.

Nafahamu Wagner watahitaji mpunga mkubwa kuja kutusaidia vita lakini kama watanzania milioni 64 tukiamua kila mtu achangie 1angalau 10,000, mwisho wa siku tutapata Tsh trilion 64 ambazo kwa vyovyote vile Wagner hawawezi kuzikakataa. Wakishaingia kupigana tutawapa migodi ya Mwadui na North Mara wachimbe wapate fedha za kujiendesha. Haidhuru ilmradi kuwaulia mbali hawa nyoka wa CCM wanaofilisi rasimali za taifa kila kukicha!
 
Kweli Tanzania ni shamba la bibi
 
Hii ilipostiwa humu Jana, na ni kweli, wawekezaji wakija, wanakuja kuvuna kutokana na loop holes za sheria zetu wenyewe, ngoja tuliwe hadi mifupa ili tuamke.. ndio maana watu wa Mungu wameanza kutoa maombi hapa :
Huu sasa ni uchochezi 100%. DCI Kingai anasubiri nini tena?
 
Hivi miaka yote hiyo ya kupigwa pigwa huwa ni ukilaza wetu au ni opportunities ??!
Ni watu wa aina gani sisi tusioweza kujifunza kutokana na makosa tuyafanyayo kila mara ??!
Sidhani kama watu ni vilaza bali kuna vilivyojificha !!
 
BIT has condition breach it’s a protection to investors of a bilateral investment treaty so the contract between individual investor and the government of Tanzania are subject to BIT and not for a particular investment could be anything as long as the particular investment is in a country where there’s BIT. BIT does not stipulate how the investments are done please get that, and if Tanzania decides to expropriate they’ll have to follow FET fair and equitable treatment to the investors. There’s always a cost in acquiring something and you can’t tell someone you’re time is up we will take your investment and give it to the next guy.This law in Tanzania justify abuse and corruption and it’s the root of all evils happening in Tanzania now
 
Mimi nazungumzia mbuzi wewe unasema kuku Sidhani kama umenielewa kwa hiyo endelea na mindset yako it’s your prerogative
 
Hivi miaka yote hiyo ya kupigwa pigwa huwa ni ukilaza wetu au ni opportunities ??!
Ni watu wa aina gani sisi tusioweza kujifunza kutokana na makosa tuyafanyayo kila mara ??!
Sidhani kama watu ni vilaza bali kuna vilivyojificha !!
Nafikiri ni ukilaza maana kama ni fursa basi wengi wangefaidika na hii mikataba ya hovyo

Siamini uzalendo kabisa maana naona wenye ngozi tofauti na kuzaliwa kwetu wana uzalendo zaidi yetu

Unaanzaje kusaini mikataba bila kuipitia hata miezi kadhaa kama huielewi?
Kuna ulazima gani kusaini mikataba hotelini? Kama ile ya Rada London

Huo ulikuwa ni utu kweli au upumbavu? Nchi yao wanafanya hivyo hao ni rahisi pia hata kutoa siri zote za nchi
 
Huu sasa ni uchochezi 100%. DPP Kingai anasubiri nini tena?
uchochezi maana yake ni nini Dr Akili? huyo Kingai mlete tu na umesikia anasema kwamba anaagizwa, sasa anaweza nini? muulize , pgo amekwisha ikariri na kujua practical application yake au bado?
 
blame not for everythng happen for good,the matter is to accept the result,one day Tanzania wil be the leading nation in the world.
 
Ndio shida ilipo ya kujibizana na watu ambao wanasoma sheria lakini awaelewi hayo mambo in principal.

BIT ina breach ‘clause’ how is that even possible. Inaonekana hujui ata breach ni kitu gani. Just because umeona neno breach kwenye treaty doesn’t equate its definitive in future contracts.

You can’t have a definitive ‘breach in a contract’ bila ya kuwa na consideration na wala performance agreement.

Consideration na performance ni mambo ambayo utayakuta kwenye mkataba wa utekelezaji; lakini ni vitu ambavyo uwezi kukuta kwenye BIT yeyote duniani.

Unapovunja makubaliano ya performance ndio breach inatokea. Na breach zote sio sawa kuna ‘conditional breach terms’ ni serious which could lead to fines and termination of a contract if the claimant chooses to do so. Whereas ‘warranty terms’ ni less serious not enough to terminate a contract but could lead to paying compensation or imposing forms of sanctions.

Kuna ‘innominate terms’ hizi ni zile ambazo ngumu kujua ni ‘conditional au warranty’ mahakama itaamua baada ya kuelewa msingi wa mkataba wenyewe na performance agreements.

Hizo ni expressed terms huwa ni specific kwenye kila mkataba wa utekelezaji sio implied (aziwezi kuwa kwenye treaty yoyote) kwa sababu performance aziwezi fanana kwenye kila mkataba. Ndio maana hao wawekezaji hayo mambo wanataka yawe siri wanapoingia kwenye lease/concession agreements or any orher investment agreement like PSA and the likes.

BIT pekee ni sheria (after ratification) for the most part terms zake zinaelezea ni how to resolve issues when there is a dispute or in the event of breach; another item is the protection of investment against ‘frustrating events’ ambazo msingi wange ni mabadiliko ya kisheria. That’s pretty much what’s in the BIT, sasa hizo ni clauses ambazo ata usipoziweka kwenye specific concession agreement kwa sababu kuna sheria yake ya BIT zinaitwa implied terms and they’re enforceable part of future contract.

Ukitunga sheria ya kuchukua mali za watu kuna BIT inalinda against ‘frustrating events’ that when it becomes enforceable kwa sababu performance pia ina muda (provided bado muda aujaisha that’s a conditional breach).
 
Mimi nazungumzia mbuzi wewe unasema kuku Sidhani kama umenielewa kwa hiyo endelea na mindset yako it’s your prerogative
Shida ni perception zako tu; tunaongelea kitu kimoja tunapishana depth ya uelewa.

Wewe unasoma hizo sheria na kujaribu kutafsiri literally; mimi nakuelezea principles behind them and what they mean in legal context.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…