Katiba moto moto: CCM wakutana kwa dharura Protea Hotel leo


mhhh sasa mbona lukuvi yupo loliondo na ziara ya pm????
 

Weka kapicha mkuu... utakuwa umemaliza kila kitu
 

Mbona uliowataja sio wajumbe wa Secretariet ya CCM? Habari hii ni kwa ajili ya kukeep hai matumaini ya wafuasi wa upepo.
 
huna jipya nyie Maccm, safari lazima mtaje aliyewaloga mchana kweupe
 

muongo asha rose na zakia megji hawapo dar.
 

Wewe Nape,wamekutenga wamekuona unaropoka sana bila mpangilio.Ni kama walivyokuambia usiende Igunga.Wamekuona hufai!!
 


mbona wewe umepotea tena vipi mkutano haupo?
 

Mkuu hapo Hakuna uongo, hajasema Kinana nae yupo kwenye hicho kikao. Na pia Kama ye mwenyekiti asipokuwepo kikao kinaweza kuongozwa Na mwenyekiti Wa muda
 
nape hawezi kukanusha kaenda tukuyu kutafuta wazazi wake hawezi aka deal na mambo ya katiba toka mlipo mwambia akatafute wazazi wake ndo katokomea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…