kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Mama ashasema hataki walamba miguu anataka wajenga hoja na Sera! Katiba ni muhimu katika kuenzi amani,haki,uhuru na maelewano kama taifa!!Lipo wimbi la waliokosa hoja za maendeleo kutaka kutuyumbisha.
Mama Samia atapimwa kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM tu kwani huo ndio mkataba rasmi na wananchi kati yao na Serikali iliyopo.
Katiba mpya haipo kwenye Ilani ya CCM na mgombea(hayati Magufuli ) na mwenza wake (incumbet president) hawajibiki kuitimiza.
Wananchi watamdai maji safi na Salama,afya bora,barabara na madaraja,na fedha mfukoni.
Kamwe tusitengeneze mahitaji ya viongozi wahuni wala bata wa dubai.
Hakuna kisingizio kinachoweza kutumika kikahalalisha kutopatikana katiba labda kuwa ccm itapoteza ushindi katika ngazi zoote!!
Nchi zilizotengeneza katiba zenyewe hazikuwa zinajenga nchi? Hoja za hovyo kabisa!! Mabilioni yanapotea tunaona kutengeneza katiba itayoweza kuzuia wizi na uzembe ndio hasara?? Akiliiii topetopee!