Katiba Mpya haipo kwenye Ilani wala ahadi za CCM, Tusimsumbue na tusimuwekee Rais Samia maneno mdomoni

Lipo wimbi la waliokosa hoja za maendeleo kutaka kutuyumbisha.
Mama Samia atapimwa kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM tu kwani huo ndio mkataba rasmi na wananchi kati yao na Serikali iliyopo.
Katiba mpya haipo kwenye Ilani ya CCM na mgombea(hayati Magufuli ) na mwenza wake (incumbet president) hawajibiki kuitimiza.
Wananchi watamdai maji safi na Salama,afya bora,barabara na madaraja,na fedha mfukoni.
Kamwe tusitengeneze mahitaji ya viongozi wahuni wala bata wa dubai.
Mama ashasema hataki walamba miguu anataka wajenga hoja na Sera! Katiba ni muhimu katika kuenzi amani,haki,uhuru na maelewano kama taifa!!
Hakuna kisingizio kinachoweza kutumika kikahalalisha kutopatikana katiba labda kuwa ccm itapoteza ushindi katika ngazi zoote!!
Nchi zilizotengeneza katiba zenyewe hazikuwa zinajenga nchi? Hoja za hovyo kabisa!! Mabilioni yanapotea tunaona kutengeneza katiba itayoweza kuzuia wizi na uzembe ndio hasara?? Akiliiii topetopee!
 
Kweli wewe ni jingalao, kwa hiyo ule mchakato mfu wa katiba mpya uliletwa na nani?
 
Lipo wimbi la waliokosa hoja za maendeleo kutaka kutuyumbisha.
Mama Samia atapimwa kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM tu kwani huo ndio mkataba rasmi na wananchi kati yao na Serikali iliyopo.
Katiba mpya haipo kwenye Ilani ya CCM na mgombea(hayati Magufuli ) na mwenza wake (incumbet president) hawajibiki kuitimiza.
Wananchi watamdai maji safi na Salama,afya bora,barabara na madaraja,na fedha mfukoni.
Kamwe tusitengeneze mahitaji ya viongozi wahuni wala bata wa dubai.
Acha ujinga wewe! Kwani nchi hii ni mali ya ccm, mpaka ituamulie hatma ya maisha yetu? Hiyo ilani ya hicho chama chako ina tofauti gani na zile tishu za kutumia washroom?

Muda wenu utafika tu wa kuwapatia kile mnacho kitaka. Fisi msio na haya nyinyi.
 
Basi jamaa kajiona Katoa bonge la pointi.
Vijitu vya CCM bana.
Kesho Samia akisema katiba Ni muhimu ataileta,vyote vitaandamana kumpongeza.
Hivi huwaga Viko pembeni kusikiliza Mwenyekiti atasema nini.
Wewe kijitu kimoja tu unapinga katiba wewe Nani katika ardhi hii?
Eti hivi vijitu ndio vilikua vinataka Yule Marehemu kilaza abadili katiba ili aendelee kutawala bila kikomo.
Marekani kumepita maraisi ma genius kweli,lakini walitawala mwisho miaka minane tu.
Sembuse yule Marehemu mbumbumbu na limbukeni.

Vijitu vingine huwa Ni hasara hata mtaani tu achilia mbali kwa Taifa.
Kuna familia nyingine zimeleta hasara kwa Taifa .
Kama familia ya kijitu hiki na familia ya Marehemu wa legacy
 
Lipo wimbi la waliokosa hoja za maendeleo kutaka kutuyumbisha.
Mama Samia atapimwa kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM tu kwani huo ndio mkataba rasmi na wananchi kati yao na Serikali iliyopo.
Katiba mpya haipo kwenye Ilani ya CCM na mgombea(hayati Magufuli ) na mwenza wake (incumbet president) hawajibiki kuitimiza.
Wananchi watamdai maji safi na Salama,afya bora,barabara na madaraja,na fedha mfukoni.
Kamwe tusitengeneze mahitaji ya viongozi wahuni wala bata wa dubai.
Kwani Wakati Kikwete anauanzisha mchakato wa Katiba kwenye Ilani ya CCM ilikuwemo? Au jambo lolote Ni lazima liwe limeamliwa na CCM ndo lifanyike? Kumbe watanzania Ni CCM na CCM Ndio watanzania? Mbona una hoja ya kitoto sana katika jambo kubwa hivi?
 
Lipo wimbi la waliokosa hoja za maendeleo kutaka kutuyumbisha.
Mama Samia atapimwa kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM tu kwani huo ndio mkataba rasmi na wananchi kati yao na Serikali iliyopo.
Katiba mpya haipo kwenye Ilani ya CCM na mgombea(hayati Magufuli ) na mwenza wake (incumbet president) hawajibiki kuitimiza.
Wananchi watamdai maji safi na Salama,afya bora,barabara na madaraja,na fedha mfukoni.
Kamwe tusitengeneze mahitaji ya viongozi wahuni wala bata wa dubai.
Hatumsumbui mama yako Sisi tunamsumbua rais wa nchi
 
Lipo wimbi la waliokosa hoja za maendeleo kutaka kutuyumbisha.
Mama Samia atapimwa kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM tu kwani huo ndio mkataba rasmi na wananchi kati yao na Serikali iliyopo.
Katiba mpya haipo kwenye Ilani ya CCM na mgombea(hayati Magufuli ) na mwenza wake (incumbet president) hawajibiki kuitimiza.
Wananchi watamdai maji safi na Salama,afya bora,barabara na madaraja,na fedha mfukoni.
Kamwe tusitengeneze mahitaji ya viongozi wahuni wala bata wa dubai.
Wee nawe, hatudai katiba mpya ya rais au CCM, tunadai katiba mpya ya wananchi. Hii ya wananchi ipo kwenye ilani ya mioyo yao toka miaka 30 iliyopita.
 
Lipo wimbi la waliokosa hoja za maendeleo kutaka kutuyumbisha.
Mama Samia atapimwa kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM tu kwani huo ndio mkataba rasmi na wananchi kati yao na Serikali iliyopo.
Katiba mpya haipo kwenye Ilani ya CCM na mgombea(hayati Magufuli ) na mwenza wake (incumbet president) hawajibiki kuitimiza.
Wananchi watamdai maji safi na Salama,afya bora,barabara na madaraja,na fedha mfukoni.
Kamwe tusitengeneze mahitaji ya viongozi wahuni wala bata wa dubai.
Shikamoo jingalao
 
Tunachojua ni kwamba mama ameomba apewe muda atashughurikia jambo la katiba,hayo mengine ni ya chumia tumbo.
 
who is ccm? Kweli ww jinga lao ccm nimeamini
 
Wewe hujui. Ilani haijawahi kuwa mkataba na wananchi popote. Ilani ni ahadi kwa ajili ya kushawishi wapiga kura. Si sera waka sheria ya SERIKALI! Ili ilani iwe sera au sheria, si budi ipitishwe na Bunge! Maana yake ni kwamba si kila mradi unatokana na ilani, ila ukipita bungeni ni halali. Chuo Kikuu cha Dodoma si mradi uliotokana na ilani. Katiba mpya wakati wa Kikwete si mradi uliotokana na ilani. N.k., n.k. Rais na Bunge wakitaka tutashughulika na Katiba, na wala haitazuia mambo mengine
 
Mama akikasirika anaweza kukuzabua na mwiko uliotapakaa ugali wa moto au kukumwagia uji wa moto ngoja aendelee kijazwa sumu siku aki react ... Na vile katiba inampa mamlaka mazito
Na wewe utafurahia, siyo?
 
katiba mpya ni takwa la watanzania siyo takwa la nyie miccm

tumia akili sisi watanzania tunataka katiba mpya hatutaki hizo ilani zenu za kipuuzi zinazo itwa ilani za ccm
 
Tunachojua ni kwamba mama ameomba apewe muda atashughurikia jambo la katiba,hayo mengine ni ya chumia tumbo.

..basi chadema wasibugudhiwe ktk harakati zao.

..Chadema waachwe wahamasishane, ili Rais atakapokuwa tayari ku-deal na katiba mpya, akute na Chadema wameshamrahisishia kazi.
 
Wameteuliwa kina fatma Alimas ukuu wa wilaya , nyie waimba mapambio ya kusifu na kuabudu toka enzi za mwendazake mnasugua makalio tu jf hamjakoma tu .
 
Back
Top Bottom