Katiba Mpya impe Nguvu Rais, aendelee Mpaka aseme "BASI" mwenyewe

Duh,Yaani hadi huyo Raisi mwenyewe anakushangaa
 
Hili lijamaa kama punga vile, kichwani una kinyesi ! Unafikiri katiba ya nchi ni note book unayoweza kuchana ama kuandika utakacho muda wowote ? Hilo bao dingi ako alilotoa ni hasara kwa jamii
Sipendi ktk kutoa hoja, ukawa unaingiza sexual orientation ya kundi fulani, japo hujataja rasmi jina, ila hilo ulilotumia sio sawa.

Unaweza ukampinga OP kwa kutoa hoja za kumlenga yeye binafsi kwa utashi wake, na sio kuhusisha kundi jingine, na iwapo ktk hilo kundi wapo wenye maono chanya na fikra yakinishi.

Btw, No Reform, No Election. 📍
 
U
Ulichelewa kuzaliwa, Wewe ni wa Karne ya 6BC!
 
Jinga . Kufa usingizini Leo. Shetani. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Kinachotkiwa kwenye katiba ni term limit kwa mbunge. 5 years u r out wacha tusambaziane hela hizo
 
Takataka hii nayo
 
Wewe jamaa kumbe ni kiazi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…