Katiba mpya imuongezee Dr. Samia Suluhu walau miaka minne 4 ya ziada ili asimamie utekelezaji wake kabla ya Rais mpya kuingia madarakani

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Hii itaongeza utulivu zaidi wa kitaifa na kuepusha usumbufu wa kikatiba kwa Rais mpya atakaeshika hatamu baada ya Dr.Samia kumaliza kipindi cha mpito kusimamia utekelezaji wa matumizi ya katiba mpya hiyo.

Napendekeza Dr.Samia Suluhu Hassan ang'atuke 2034, baada ya kutupatia katiba mpya na kusimamia utekelezaji wake katika kipindi cha mpito 🐒

Mungu ibariki Tanzania
 
Hii itaongeza utulivu zaidi wa kitaifa na kuepusha usumbufu wa kikatiba kwa Rais mpya atakaeshika hatamu baada ya Dr.Samia kumaliza kipindi cha mpito kusimamia utekelezaji wa matumizi ya katiba mpya hiyo.

Napendekeza Dr.Samia Suluhu Hassan ang'atuke 2029, baada ya kutupatia katiba mpya na kusimamia utekelezaji wake katika kipindi cha mpito 🐒

Mungu ibariki Tanzania
Naunga mkono hoja, ila napendekeza tumuongeze miaka 5, na kwa vile yeye amejaaliwa mwili wa shukrani, apart from kumpatia mtu mzuri wa gym, pia apate na mtu mzuri wa diet, a good dietation, afeed more on supplements, than the normal foods, ili ule mwili ufike 75 with good srengths.
P
 
Naunga mkono hoja, ila napendekeza tumuongeze mika 5, na kwa vile amejaaliwa mwili wa shukrani, apart from kumpatia mtu mzuri wa gym, pia apate a good dietation, afeed more on supplements, than the normal foods, ili ule mwili ufike 75 with good srengths.
P
Asante mwalimu Paskali kwa pendekezo mujarabu kuhusu katiba mpya, na ushauri muhimu sana wa kibinafsi kwa afya ya kiongozi na mkuu wa nchi yetu 🤝
 
Hii itaongeza utulivu zaidi wa kitaifa na kuepusha usumbufu wa kikatiba kwa Rais mpya atakaeshika hatamu baada ya Dr.Samia kumaliza kipindi cha mpito kusimamia utekelezaji wa matumizi ya katiba mpya hiyo.

Napendekeza Dr.Samia Suluhu Hassan ang'atuke 2029, baada ya kutupatia katiba mpya na kusimamia utekelezaji wake katika kipindi cha mpito 🐒

Mungu ibariki Tanzania
She will soon be down
 
Mitano tena inakimbia na inaelekea kwisha,chawa wanaona watakosa mahala pa kula.
ni kwa maslahi mapana ya kulinda umoja, amani na utulivu wa taifa letu tunapoelekea kua na katiba mpya na si vinginevyo 🐒
 
Hii itaongeza utulivu zaidi wa kitaifa na kuepusha usumbufu wa kikatiba kwa Rais mpya atakaeshika hatamu baada ya Dr.Samia kumaliza kipindi cha mpito kusimamia utekelezaji wa matumizi ya katiba mpya hiyo.

Napendekeza Dr.Samia Suluhu Hassan ang'atuke 2029, baada ya kutupatia katiba mpya na kusimamia utekelezaji wake katika kipindi cha mpito 🐒

Mungu ibariki Tanzania
Na hiyo ndiyo mnajitahidi kufanya sasa hivi, mmetengeneza wale vibaraka akia jaji Chande (Jaji kata UCHWARA), na kusema katiba ije kwa huo mpangilio wenu, mtaanza kikao kingine mwaka 2028 na kusema mchachato utachukua miaka mitano, S-A-T-A-N-I-C
 
hata ikiwa hivyo,
basi ni kwa nia njema ya kulipatia taifa letu katiba mpya na kumaliza kiu ya wanaoidai katiba mpya kwa kelele mingi sana licha ya uchache wao.

So,
ni muhimu sana Dr Samia Suluhu Hassan kuongezewa muda zaidi ili akamilishe kazi hiyo njema kwa amani 🐒
 
Hii mi5 yenyewe amefosi tu wala wananchi hawakumchagua kwa zile data za kupika za tume ya uchafuzi!.
On records, huyu ni rais pekee asiyetokana na kura za wananchi kupata kutokea Tanganyika!.
acha upotoshaji gentleman,

98% ya wapiga kura walio jiandikisha na kupiga kura walimchagua Dr.Samia Suluhu Hassan.

huenda uchaguzi mkuu ujao wa 2030,0CCM ikapata 100% ya kura za wapiga kura wa nchi hii watakaojiandikisha 🐒
 
Tafuteni shuguli mfanye
Mtakuwa wapiga debe mpaka lini

Ova
huenda wewe ni miongoni mwa wasiohitaji katiba mpya right, gentleman?

ni muhimu kuwapa fursa wenye mawazo mbadala dhidi yako, na hayo hapo juu ni maoni na napendekeza yangu binafsi kuelekea mchakato wa katiba mpya na utekelezaji wake 🐒
 
Hii itaongeza utulivu zaidi wa kitaifa na kuepusha usumbufu wa kikatiba kwa Rais mpya atakaeshika hatamu baada ya Dr.Samia kumaliza kipindi cha mpito kusimamia utekelezaji wa matumizi ya katiba mpya hiyo.

Napendekeza Dr.Samia Suluhu Hassan ang'atuke 2029, baada ya kutupatia katiba mpya na kusimamia utekelezaji wake katika kipindi cha mpito 🐒

Mungu ibariki Tanzania
2029, miaka iliyoongezwa ni ipi Sasa au you mean 2034
 
itapendeza zaidi ikiwa 2034 gentleman, kwasababu kwa sasa Dr.Samia, Rais wa nchi, anatekeleza masuala muhimu sana kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030. nadhani masuala ya katiba mpya yaanze 2029 hadi 2034,,🐒,

well done kurekebisha👊
 
Back
Top Bottom