Hii itaongeza utulivu zaidi wa kitaifa na kuepusha usumbufu wa kikatiba kwa Rais mpya atakaeshika hatamu baada ya Dr.Samia kumaliza kipindi cha mpito kusimamia utekelezaji wa matumizi ya katiba mpya hiyo.
Napendekeza Dr.Samia Suluhu Hassan ang'atuke 2034, baada ya kutupatia katiba mpya na kusimamia utekelezaji wake katika kipindi cha mpito 🐒
Mungu ibariki Tanzania
Kwa nia njema kwa shetani aliyeua wananch zaidi ya 10,000? Lita zaidi 500,000 za damu?hata ikiwa hivyo,
basi ni kwa nia njema ya kulipatia taifa letu katiba mpya na kumaliza kiu ya wanaoidai katiba mpya kwa kelele mingi sana licha ya uchache wao.
So,
ni muhimu sana Dr Samia Suluhu Hassan kuongezewa muda zaidi ili akamilishe kazi hiyo njema kwa amani 🐒
Hiyo katiba muuite SATANIC VERSES PART IIkatiba mpya ni jambo la kitaifa,
au wewe huna haja nayo gentleman?🐒
Gentleman,Ona Aibu Kidogo
huo ni upotoshaji usio na athari zozote kuelekea mchakato wa katiba mpya gentleman,Kwa nia njema kwa shetani aliyeua wananch zaidi ya 10,000? Lita zaidi 500,000 za damu?
Gentleman,Mnaanzaga huu ukenge then anakufa mnaogopa kutanza oooh sijui mzena ooooh mara mashine ya moyo, msijesema kashiba damu akapaliwa tu au chembe ya moyo
Wengi wenu mmemuona Rais Samia kama rais wa JMT, baada ya kutokea kilichotokea, ila mimi nilimuona siku nyingi kabla Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material? Humo kuna kitu nilizungumzia kuhusu ageAsante mwalimu Paskali kwa pendekezo mujarabu kuhusu katiba mpya, na ushauri muhimu sana wa kibinafsi kwa afya ya kiongozi na mkuu wa nchi yetu 🤝
Hili la umri wa Dada Mkubwa, niliwahi kuandika humu kushauri PreGE2025 - Ukimuondoa Rais Samia, kama ni lazima awe mwanamke, then mwanamke huyo ni Dkt. Tulia, ameonesha uwezo, anaweza! Tumchagize au tuache tu bora liende?Wanabodi,
Hebu tuwakumbuke the top ten female politicians in Tanzania, na nafasi wanazoshika! Je, wamefikaje hapo, kwa kupanda wenyewe, au wamebebwa ndipo wakafika hapo? Je, wana sifa za urais?
Paskali.
- Top No.1 ni Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, ameingia Bunge la JMT for 5 years sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Rais. Ndiye alikuwa Makamo Mwenyekiti wa Bunge la Katiba. Huyu ni presidential material, sasa ni kumuandaa kwanza kuwa rais wa Zanzibar kwa kumpumzisha Dr. Shein kipindi chake cha pili, kisha 2020 aje urais wa Muungano, ili hili ifanyike, itabidi, CCM iachane na ule utaratibu wake wa two terms za urais, kwasababu kusubiria 2025, kwa huyu mama itakuwa too little too late, age itakuwa imemtupa mkono.
Gentleman,
imeandikwa,
Mwanadamu aliezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi tena hujaa taabu.
hivyo basi,
wewe, mimi na wanadamu wengine wote tutakufa kila moja kwa wakati wake muafaka sawa sawa na mapenzi ya Muumbaji wetu.
Hakuna haja ya kiherehere wala ramli au ushirikina dhidi ya umauti wa manatamu yeyote yule.
Hata hivyo,
hiyo si muhimu sana kwenye hoja hii, bali pendekezo langu mujarabu ni kwamba Dr.samia aongezewe walau miaka minne 4 zaidi baada ya 2030, ili asimamie katiba mpya kwa kipindi cha mpito hadi 2034 kabla ya Rais mpya kushika hatamu.
Kwani kuna ubay hapo gentleman?🐒
Hivi kuna kiwango kibaya zaidi ya kile cha kuua watu 10,000, kumwaga damu lita 500,000; halafu mtu kutembea kifua mbele na kumsifia? Haoni mwenzie Yuda Escariote alivyofanya baada ya kumwaga damu ya Yesu? Huyo shetani naye angefanya vile vile labda angesamehewa, she doesn't repent, she has no remorse, The Sadisttuliza mihemko bas kidogo gentleman ikiwa umefikia kiwango chako cha mwisho cha mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja mahususi mezani 🐒
2037 itakuwa poa zaidi. Aongezewe miaka 7
Damu inamlilia muda huu. she must pay back.all of us belong to the durst gentleman 🐒
Kabla ya hata kuufikiria uamuzi huo, tathimini ya kina ifanyike ili ipate kuthibitika ya kwamba uongozi wake ni ASSET ama LIABILITY kwa Taifa letu..Hii itaongeza utulivu zaidi wa kitaifa na kuepusha usumbufu wa kikatiba kwa Rais mpya atakaeshika hatamu baada ya Dr.Samia kumaliza kipindi cha mpito kusimamia utekelezaji wa matumizi ya katiba mpya hiyo.
Napendekeza Dr.Samia Suluhu Hassan ang'atuke 2034, baada ya kutupatia katiba mpya na kusimamia utekelezaji wake katika kipindi cha mpito 🐒
Mungu ibariki Tanzania