Katiba mpya imuongezee Dr. Samia Suluhu walau miaka minne 4 ya ziada ili asimamie utekelezaji wake kabla ya Rais mpya kuingia madarakani

Naunga mkono hoja, ila napendekeza tumuongeze miaka 5, na kwa vile yeye amejaaliwa mwili wa shukrani, apart from kumpatia mtu mzuri wa gym, pia apate na mtu mzuri wa diet, a good dietation, afeed more on supplements, than the normal foods, ili ule mwili ufike 75 with good srengths.
P
Eti Na hili kuna watu wanaliita baba !
 
Uvccm mshaanza kale kauseng.e kenu! Ka kuchomeka chomeka viagenda vya ccm mtandao
hii ni hoja binafsi ambayo ina maslahi mapana ya taifa gentleman,
au nawe hutaki katiba mpya?🐒
 
Eti Na hili kuna watu wanaliita baba !
Sio tuu ni baba, wale wa nyumbani ni 9, waajukuu 6!, hivyo mimi sio tuu ni baba ni babu!. Kama umezaliwa baada ya mwaka 1985, mimi naweza kuwa baba yako!, na katika hesabu hiyo ya 9, hao ni wa nyumbani tuu!, kwa hawa wanawake wetu, sio lazima yule uliyeambiwa ni baba yako, ni baba yako kwei!, huwezi jua usikute mimi ni..., kumtukana baba yako, hata bila kujua ndiye baba yako, kunakuletea laana!

Asante mwalimu Paskali kwa darasa mujarabu sana kwetu sote kama familia ya JF,

sina shaka yoyote hata mdau wa wa maana sana JITU BANDIA amepata shule, darasa na elimu smooth mno ya kumsaidia kuheshimu asie wajua kiundani, ili hatimae wakati mwingine kuepuka kumkosea heshima mtu ambao huenda ndie biological father wake.

Maana,
mwalimu Prof.Kabudi aliwahi kusema kwamba wengi wetu tumelelewa na social fathers na sio biological fathers ambao ndio wangestahili zaidi kuitwa baba.

Naamini mdau kaelewa vema sana na kiroho safi atasonga mbele kwa nidhamu ya kiwango tajika
 
Wengi wa wale wa zamani wa umri wangu, wameachana na jf, kwa mambo kama haya, mtu mzima na heshima zako, unatukanwa humu na vitoto vidogo!, wengi wameshindwa kuvumilia na kujiondokea zao, watu kama sisi tupo kwasababu tuna ngozi ngumu, mamba atasubiri!.

nakukubali sana mwalimu Paskali, leo umepiga lecture ya maana sana ukiachilia mbali hii ya kwa huyu muungwana alieteleza kidogo kimaadili.
Kijama amekuelewa vema na sisi kama familia ya JF pia, tumekusoma vema mwalimu

tupo pamoja sana mwalimu 👊
 
Acha kunipamba najua mafisadi wako kwenye system na ndio controller, na hawawezi kushikwa
katiba hua haioni aibu, haimuogopi mtu, wala haijivungi kumchukulia hatua mtu anae ikiuka hata aweje.

don't betray your confidence gentleman 🐒
 
Naunga mkono hoja, ila napendekeza tumuongeze miaka 5, na kwa vile yeye amejaaliwa mwili wa shukrani, apart from kumpatia mtu mzuri wa gym, pia apate na mtu mzuri wa diet, a good dietation, afeed more on supplements, than the normal foods, ili ule mwili ufike 75 with good srengths.
P
Hizi aibu za reja reja aki!
 
Back
Top Bottom