Wiki mbili hizi zimekuwa muhimu sana kwetu sote hapa nchini.
Tumesikia ya wanaotaka katiba mpya na ya wasiotaka katiba mpya. Wote kwa umahiri kabisa.
"Ama Kwa hakika mwenye macho haambiwi tazama."
Kwamba asiyetaka katiba mpya ndiye pia mficha mapesa ya dhuluma China?
Kwa hiyo ni kusema angependa kazi hiyo iendelee na wala asiwe anabughudhiwa?
Anatutakia mema huyo?