Mama Naa
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 453
- 1,104
Akili kubwa sana hapa inatumika, wengi wetu ni walinda ugali na wasaka fursa.Wiki mbili hizi zimekuwa muhimu sana kwetu sote hapa nchini.
View attachment 2509213
Tumesikia ya wanaotaka katiba mpya na ya wasiotaka katiba mpya. Wote kwa umahiri kabisa.
"Ama Kwa hakika mwenye macho haambiwi tazama."
Kwamba asiyetaka katiba mpya ndiye pia mficha mapesa ya dhuluma China?
View attachment 2509211
Kwa hiyo ni kusema angependa kazi hiyo iendelee na wala asiwe anabughudhiwa?
Anatutakia mema huyo?