Kenya wabakatiba nzuri vip maisha yaoWiki mbili hizi zimekuwa muhimu sana kwetu sote hapa nchini.
View attachment 2509213
Tumesikia ya wanaotaka katiba mpya na ya wasiotaka katiba mpya. Wote kwa umahiri kabisa.
"Ama Kwa hakika mwenye macho haambiwi tazama."
Kwamba asiyetaka katiba mpya ndiye pia mficha mapesa ya dhuluma China?
View attachment 2509211
Kwa hiyo ni kusema angependa kazi hiyo iendelee na wala asiwe anabughudhiwa?
Anatutakia mema huyo?
Kenya wabakatiba nzuri vip maisha yao
USSR
Wanaoitaka hata pesa ya kula Ulaya hawana na wameishi miaka yote wakiwa wabungeNinakazia:
"Kwamba aliyekuwa kinara wa kutotaka katiba mpya ndiye pia huyu huyu mficha mapesa ya dhuluma China?"
Hapana aisee, hamtuambii kitu!
Si katuni hii
Wanaoitaka hata pesa ya kula Ulaya hawana na wameishi miaka yote wakiwa wabunge
USSR
Si katuni hii
Yaani katiba na hiko kipicha wapi na wapi.Hizo mbio wewe unaona ni kwa baridi hapo?
Kenya wabakatiba nzuri vip maisha yao
USSR
Hata mpeleka pesa China alikuwa anasema kama wewe. Au labda ndiyo wewe mwenyewe?Yaani katiba na hiko kipicha wapi na wapi.
Watu wanataka maishaa Bora siokatiba mpyaaWiki mbili hizi zimekuwa muhimu sana kwetu sote hapa nchini.
View attachment 2509213
Tumesikia ya wanaotaka katiba mpya na ya wasiotaka katiba mpya. Wote kwa umahiri kabisa.
"Ama Kwa hakika mwenye macho haambiwi tazama."
Kwamba asiyetaka katiba mpya ndiye pia mficha mapesa ya dhuluma China?
View attachment 2509211
Kwa hiyo ni kusema angependa kazi hiyo iendelee na wala asiwe anabughudhiwa?
Anatutakia mema huyo?
Huko kwenye katiba mpya hakuna wizi sio USA,UK Norway na n.kMkuu tunaoitaka tuko hapa hapa hata ubunge hatujawahi kuota, tunakamuliwa Kodi na tozo lukuki kumbe zingine zinaishia China?
Sasa tunataka uwajibikaji kamili kwa mujibu wa sheria yaani kwa mujibu wa katiba.
Haiwezekani!
Watu wanataka maishaa Bora siokatiba mpyaa
Huko kwenye katiba mpya hakuna wizi sio USA,UK Norway na n.k
USSR
LISSU: Baada ya Kukikataa kikosi KAZI, kikundi hicho Cha mchongo KIMEYEYUKA.Wiki mbili hizi zimekuwa muhimu sana kwetu sote hapa nchini.
View attachment 2509213
Tumesikia ya wanaotaka katiba mpya na ya wasiotaka katiba mpya. Wote kwa umahiri kabisa.
"Ama Kwa hakika mwenye macho haambiwi tazama."
Kwamba asiyetaka katiba mpya ndiye pia mficha mapesa ya dhuluma China?
View attachment 2509211
Kwa hiyo ni kusema angependa kazi hiyo iendelee na wala asiwe anabughudhiwa?
Anatutakia mema huyo?
LISSU: Baada ya Kukikataa kikosi KAZI, kikundi hicho Cha mchongo KIMEYEYUKA.
LISSU: Kama Hadi Tunafika 2024 na 2025 hatujapata Katiba mpya na TUME HURU ya UCHAGUZI,
Wakilazimisha uchaguzi kufanyika, Nchi itakuwa ktk Hali ngumu sana.
LISSU: KATIBA mpya kwake ni muhimu kuliko Kujadili mgombea Urais Kwa tiketi ya CDM 2025.
Mungu wa Mbinguni AKUBARIKI, Tundu Antipas Lissu.
Aaamen
Kikosi KAZI KIMEYEYUKA ghafula😳😳