Akili kubwa sana hapa inatumika, wengi wetu ni walinda ugali na wasaka fursa.Wiki mbili hizi zimekuwa muhimu sana kwetu sote hapa nchini.
View attachment 2509213
Tumesikia ya wanaotaka katiba mpya na ya wasiotaka katiba mpya. Wote kwa umahiri kabisa.
"Ama Kwa hakika mwenye macho haambiwi tazama."
Kwamba asiyetaka katiba mpya ndiye pia mficha mapesa ya dhuluma China?
View attachment 2509211
Kwa hiyo ni kusema angependa kazi hiyo iendelee na wala asiwe anabughudhiwa?
Anatutakia mema huyo?
Kikosi KAZI KIMEYEYUKA ghafula😳😳
kwa hiyo unataka kusemaje?Kenya wabakatiba nzuri vip maisha yao
USSR
Wew hutaki katiba mpya?Wanaoitaka hata pesa ya kula Ulaya hawana na wameishi miaka yote wakiwa wabunge
USSR
Katiba hailimi shambaniiKatiba mpya itatupa maisha bora:
View attachment 2509243
View attachment 2509247
Itatuwezesha kuwadhibiti wezi wetu. Mali zetu zitabaki hapa kwa ajili ya maisha yetu bora!
Katiba inaongeza kodi halali na kuyaondolea kinga majizi. Yote haya yataboresha hali zetu ikiwamo kilimo shambani.Katiba hailimi shambanii
Tafuteni katiba ya chama chenu, yawanchi tutaitaguta wenyewee.Katiba inaongeza kodi halali na kuyaondolea kinga majizi. Yote haya yataboresha hali zetu ikiwamo kilimo shambani.
Tafuteni katiba ya chama chenu, yawanchi tutaitaguta wenyewee.
Kwani ndooo mtakamata wezi au ni vyombo vya dolaKulikoni kutaka kutuondoa njiani kuwabana wezi wetu wakati tumewakaribia?
View attachment 2509487
View attachment 2509488
With impunity wanalindwa na katiba hii wakituletea sisi ugumu wa maisha.
Hatutachoka katiba mpya ni sasa.
Ninakazia:Kwani ndooo mtakamata wezi au ni vyombo vya dola
Unakumbuka kwenye MKUTANO WA kufungua siasa pale uwanja wa mbagala zakem jamaa yenu alitulazimisha wananchi tutoe fedha kwenye zile ndoo nyeupe, lakini Cha ajabu mpaka Leo hajatuambia mapato na matumizi yake, Yuko anadandia dandia katiba huku hajatuma mdadafuo wa mapato na matumizi, ilikua 2020Ninakazia:
"With impunity wanalindwa na katiba hii wakituletea sisi ugumu wa maisha."
Kwa katiba mpya na kwa mujibu wa sheria tutawafurusha majizi wa namna hii bila kujali vyeo vyao kama mapanya!
Una maana huyu hapa?Unakumbuka kwenye MKUTANO WA kufungua siasa pale uwanja wa mbagala zakem jamaa yenu alitulazimisha wananchi tutoe fedha kwenye zile ndoo nyeupe, lakini Cha ajabu mpaka Leo hajatuambia mapato na matumizi yake, Yuko anadandia dandia katiba huku hajatuma mdadafuo wa mapato na matumizi, ilikua 2020
TL alisema hatuwezi kukutana na Rais na vyama vya akina Dovutwa😅😅😅LISSU: Baada ya Kukikataa kikosi KAZI, kikundi hicho Cha mchongo KIMEYEYUKA.
LISSU: Kama Hadi Tunafika 2024 na 2025 hatujapata Katiba mpya na TUME HURU ya UCHAGUZI,
Wakilazimisha uchaguzi kufanyika, Nchi itakuwa ktk Hali ngumu sana.
LISSU: KATIBA mpya kwake ni muhimu kuliko Kujadili mgombea Urais Kwa tiketi ya CDM 2025.
Mungu wa Mbinguni AKUBARIKI, Tundu Antipas Lissu.
Aaamen
Hakuna kitu kibaya kama hicho.TL alisema hatuwezi kukutana na Rais na vyama vya akina Dovutwa😅😅😅
Za yule mwenye rafudhi ya kinyatulu.Una maana huyu hapa?
View attachment 2509517
Hivi mnadhani majizi hatuyajui?
Ngoja tupate katiba mpya. Mbona tutaelewana tu?
Hebu tuwekee takwimu za uchumi wa Kenya vs Tanzania tuone.Kenya wabakatiba nzuri vip maisha yao
USSR