Katiba Mpya joto lazidi kupanda

Bora lipande, tuachane na hii Katiba ya mkoloni, tumekuwa taifa la kijinga sana kuendelea kuishi kwenye kivuli cha mkoloni huku tukijitapa tuko huru, uhuru gani wakati bado tunaendeshwa kwa sheria za mkoloni?
 
Ni wazi kuwa tunasonga mbele na hatuko mbali. Uelekeo uko wazi zaidi Sasa kuliko wakati mwingine wowote.
 
Kama Zitto, Lowassa na wengine....

Hatahivyo, karata hizo za mbichi hizi sizitaki, ni mlolongo mrefu wa mchakato wa kuipa nyuso CCM huko mbeleni. Wapo wanahudhuri humu ambao wameelezea vizuri ni nini kitawatokea CHADEMA. Mfano mzuri ni zile kelele zao za 'Ufisadi'....tunajua nani aliifanyia kazi na Kushinda kwa kishindo cha kuigizwa Afrika. Halipingiki

Kuna watu wana kaza zao, wengine mpo humu, wengine wamo bungeni.

we piga kura kwa uangalifu 2025
minus Tundu Lissu.
 
Mwizi wa kuku anapigwa na kuchomwa na petrol wakati wezi(mafisadi) wa fedha za umma wakipeta mtaani bila kuguswa. Kama nimeielewa vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…