Katiba Mpya: Kakobe aungana na Wapinzani Jangwani

Kwenye ukombozi wa nchi hata viongozi wa wanakondoo huusika pia maana hawapendi kuona wanakondoo wao wakiendelea kuteseka katika nchi iliyojaaliwa utajiri mkubwa sana. Popote pale wanakondoo wanapokuwepo basi na Viongozi wao hawawezi kukosa.

Waache kazi yakuelekeza watu mambo ya ufalme wa Mungu waamue kufanya tu siasa.
 
Kakobe ni mwana Nccr wa siku nyingi tangu wakati wa Lyatonga Mrema.Sasa kwa sisi waelewa wala hatushangai kwani alihangaika sana kumnadi Mrema kipindi kile akaambulia patupu.Pia ana hasira ya kupitishwa kwa umeme wenye voltage kubwa ingawa aliwadanganya waumini wake eti umeme hautawaka napo kabaki kushangaa tu kwani umeme unapita kama kawa.Atahangaika sana lakini hatafanikiwa.Aingie akagombee jimbo aone nguvu a kura zilivyo.
 
kumbe Maalimu Seif (makamu wa pili rais Zanzibar) ni mwanachama wa CCM.
Nanukuu maneno ya Lipumba:"ccm wamemsaliti ccm mwenzao,Maalim Seif"
kayasema hayo leo Jangwani
 

Pumba...kamwambie hayo nape...ngoja kwanza tuwabane kunako Jangwani tuone kama hamjasalim amri!
 
Hivi kwa akili ya kawaida tu,mtu anayetoa tangazo la kuvunja amani anafaa kuwa Rais wa Tanzania kweli?
 

muulize badra masoud umeme haupiti ila nyaya zimepita
 

Huyo ccm damu Uliza utaambiwa..
 
Naona akili ndogo kuongoza akili kubwa ametoa trh rasmi ya maandamano nchi nzima.
 
Waache kazi yakuelekeza watu mambo ya ufalme wa Mungu waamue kufanya tu siasa.

Mvuvi huwa siku zote anaangalia ni wapi kuna samaki. Hata alivyofanya KAKOBE leo ni kazi ya mungu! Mungu azidi kumpa hekima mtumishi huyu!
 
Ujadiri na nani wakati hujasikia vizuri alichoongea ? nenda jangwani updates kuna kila kitu
Wewe ulikuwepo?? Na je hiki ulichoandika ndicho ulichosikia? Naona una presha tulia ndugu tujadili kwa faida ya watz wote au kuwa mpole dawa inakuingia...
 
Naona akili ndogo kuongoza akili kubwa ametoa trh rasmi ya maandamano nchi nzima.

Umeliskia tamko la Nape kuipa serikali siku saba iwe imefuta kauli kuwa itamwandikia barua balozi wa kichina!?'
 
Katika hali isiyotarajiwa, askofu Kakobe ametia timu kwenye mkutano wa wapinzani juu ya katiba mpya. Akiwa anaingia ilibidi Lipumba asitishe hotuba ghafla akisubiri raia wamalize kushangilia. CCM kwisha

Mwambieni Morinho amsajili !
 

Peleka Pumba huko, Mzee wa upako ni gamba, muulize hata mtoto Mdogo anajua!
 

KUMBUKA Chadema siyo CUF, NCCR au TLP
 
Katika hali isiyotarajiwa, askofu Kakobe ametia timu kwenye mkutano wa wapinzani juu ya katiba mpya. Akiwa anaingia ilibidi Lipumba asitishe hotuba ghafla akisubiri raia wamalize kushangilia. CCM kwisha

Point of correction ! Haukuwa mkutano wa upinzani , ulikuwa mkutano wa wananchi wote wanaoitakia heri nchi hii wa kupinga katiba mpya kuchakachuliwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…