Katiba Mpya: Mapambano yako katika Hatua za Mwisho

Itifaki yote ilizingatiwa:

"Ni wazi kuwa hayupo mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kuyapinga au hata kutokuwa sehemu ya jitihada hizi.

Wenye maslahi na mfumo uliopo hatuna haja ya kupoteza nao muda kujaribu kuwaelimisha. Hao ndiyo walio kizingiti pekee."

Wewe ni mtanzania hutaki haki, usawa, uhuru wala utawala wa kidemokrasia?

It's has been said, "you are insane!"

The rest is tantamount to poking of your nose into other people's business.

Unahusika vipi wewe kwenye uzi huu?

Apumzike kwa amani brigedia Chefe.

napenda uhuru, demokrasia ndo maaana nipo against chama chenye dikteta, chama ambacho hakina mzunguko wa mawazo mapya! chama kinachotakia mabaya nchi na wananchi wake! tunafurahia kipigo chenu mpaka mtakapojirkebisha
 
Uhuru, haki, usawa na demokrasia uko kwenye katiba mpya.

Mada ulielewa lakini. Brigedia Chefe pozi lake ulilisoma?

Itifaki kuzingatiwa hakukuja kwa ajali.

Apumzike kwa amani brigedia Chefe.
 
Vyama gani? Maana katika nchi yenye watu mil 60 wanaohangaika na hiyo katiba ni Bavicha tu! No support kutoka vyombo vya habari, vyama vingine vya upinzani, taasisi za kidini, serikali na vyombo vyake, wala jumuiya ya kimataifa! And unajipa moyo hapa! Katiba mpya itapatikana siku makundi yote muhimu yataamua kuitafuta hiyo katiba, na hilo halitotokea karibuni! Ila kujipa faraja hapa jf si mbaya, inaondoa stress nyingine za maisha tulizonazo
Mkuu kwenye jamii yeyote Ile lazima awepo/wawepo wa kuwaongoza wengine. Nyerere asingejitolea wakati WA harakati za kudai uhuru nafikiri jibu unalo. Mchonga jeneza ni mmoja wachimba kaburi na wazikaji ni wengi.
 
Mkuu huna haja ya kupoteza muda na chawa wa mfumo uliopo.

Mpige picha mtu ambaye anadhani hana haja ya haki, usawa, uhuru wala demokrasia.

Ni ng'ombe wa namna gani huyo?
 
Uhuru, haki, usawa na demokrasia uko kwenye katiba mpya.

Mada ulielewa lakini. Brigedia Chefe pozi lake ulilisoma?

Itifaki kuzingatiwa hakukuja kwa ajali.

Apumzike kwa amani brigedia Chefe.

kwanini haupo kwenye chama chenu
 
kwanini haupo kwenye chama chenu

Kuzingatiwa kwa itifaki kumewafanya wenzako kutambua kuwa hawahitaki.

Nakazia:

"Ni wazi kuwa hayupo mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kuyapinga au hata kutokuwa sehemu ya jitihada hizi.

Wenye maslahi na mfumo uliopo hatuna haja ya kupoteza nao muda kujaribu kuwaelimisha. Hao ndiyo walio kizingiti pekee."

Hatuhitaji kupoteza muda na ninyi kwenye lolote.

Habari ndiyo hiyo.
 
Mkuu kwenye jamii yeyote Ile lazima awepo/wawepo wa kuwaongoza wengine. Nyerere asingejitolea wakati WA harakati za kudai uhuru nafikiri jibu unalo. Mchonga jeneza ni mmoja wachimba kaburi na wazikaji ni wengi.
Tatizo waongozaji wa hili ni vimeo, ni watu waliokosa ushawishi katika jamii, mipango yao ni ya hovyo!! Inawezekanaje unawatuma watoto kama Bavicha wakadeal na mtu kama Hapi na jeshi lake kule Mara?? Wapo wapi Mnyika, Msigwa, Sugu, Heche, Prof Jay, Lema na huyo Lissu? Wao ndiyo walitakiwa kuwa mstari wa mbele, siyo hawa madogo akina Pambalu
 
Pamoja na yote, hatutatumia nguvu ila wingi wetu na utayari wetu wa kuyajaza magereza yao ikibidi, vinatosha sana.
Ifahamike halipo kosa kisheria katika kudai haki, hii kama ilivyo kwa mujibu wa katiba.
Laiti pangefanyika mpango maalum wa kuhamasisha uelewa huu, na watu kwa wingi wetu tukaitikia wito huu, kazi ya ukombozi wa taifa hili isingekuwa ya machungu makubwa kwa wachache kama ilivyo sasa.
 
Chadema haiwatambui wale wabunge 19 kina mdee au covid 19. Kwamba CDM ina mbunge 1 kati ya 390 waliopo bungen. Ukiangalia upinzan ktk ujumla wake wana wabunge 13 tu ukitoa wale covid 19 kati ya wabunge 467 wa bunge la katiba ambao hujumuisha bunge la jamhuri 390 na baraza la wawakilishi ZANZIBAR lenye wajumbe 77 ambalo ndan yake kuna wapinzan 5 tu,..
Labda tuulizane hapa unaweza kuomba mechi wakati timu yako ina wachezaji 13 ikapambane na mpinzani anayeingiza wachezaji 454.
Jaman tuache utani tukumbuke ni kipi kilifanya UKAWA watie mpira kwapan na kukimbia mechi mwaka kwenye bunge la katiba.
Tusijifanye hatujui sheria ya kutunga KATIBA... hata tukisema itungwe mpya, JEE hatujui nani anatunga hiyo sheria mpya?
 
Mapambano ya kudai katiba mpya ni mapambano kudai haki, uhuru na demokrasia.

Demokrasia ni kuwa na utawala unaowajibika kwa wananchi. Siyo utawala unaowajibika kwa watawala.

Kwenye demokrasia:

1. tozo za miamala ya simu zisingekuwapo,
2. bambikizaji za kesi zisingekuwapo,
3. polisi wasingejikweza kiasi cha kujengeka kwa chuki kubwa iliyopo baina yao na wananchi,
4. Waziri asinge thubutu kuja na habari za watu kuhamia Burundi,
5. madhila ya gonjwa la Corona yangekuwa jukumu ya serikali na si mzigo kwa wananchi
6. Tusingekuwa na rundo la vigogo wasiolipa kodi,
7. nk.

Ni wazi kuwa hayupo mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kuyapinga au hata kutokuwa sehemu ya jitihada hizi.

Wenye maslahi na mfumo uliopo hatuna haja ya kupoteza nao muda kujaribu kuwaelimisha. Hao ndiyo walio kizingiti pekee.

Kwa hakika tunatatizika kwenye organization. Yaani uongozi wa mapambano kumalizia tokea tulipo salama. Chadema wanayo nafasi hii takatifu ya kutoa uongozi unaohitajika kufanikisha hili.

Katika hatua hizi za mwisho ilitosha kuwaunganisha washirika wengine kama ACT, NCCR na wanaoweza kuwa tayari. Tujikite zaidi kwenye kuhamasisha wanachama wetu kutoa uongozi unaohitajika kwenye jitihada hizi.

Ukweli ni lazima uelezwe wazi wazi. Hii vita haiwezi kuwa rahisi. Kutakuwa na machungu. Kuna watakaokamatwa, kuna watakaoteswa, kuna watakao fungwa, kuna watakao kufa, nk. Ni majukumu ya washirika kuona ya kufanya kuhusu haya.

Pamoja na yote, hatutatumia nguvu ila wingi wetu na utayari wetu wa kuyajaza magereza yao ikibidi, vinatosha sana.

View attachment 1923610

Hamasa za machungu (sober) kama hizi zitatufaa sana kama wapambanaji wenye kuhimiza amani kama msingi wa maelewano.

Apumzike kwa amani brigedia Chefe Ali.

Ifahamike halipo kosa kisheria katika kudai haki, hii kama ilivyo kwa mujibu wa katiba.

Shime waungwana hatuko mbali, na ushindi ni dhahiri.
Katika utawala ambao wananchi wanawajibika kwa viongozi kudai haki ni kosa kisheria, serikali ya mkoloni iliwajibika kwa watanganyika ndiyo sababu hazikuwepo kesi zozote za ugaidi wa za kuchoma vituo vya mafuta.
 
Mkuu huna haja ya kupoteza muda na chawa wa mfumo uliopo.

Mpige picha mtu ambaye anadhani hana haja ya haki, usawa, uhuru wala demokrasia.

Ni ng'ombe wa namna gani huyo?
Kweli kabisa Mkuu. Jamii imechoka na mfumo uliopo. Wanahitaji mabadiliko na mabadiliko hayo ni lazima. Tumechoka kuezeka nyumba tunahitaji kujenga nyumba mpya.
 
Tatizo waongozaji wa hili ni vimeo, ni watu waliokosa ushawishi katika jamii, mipango yao ni ya hovyo!! Inawezekanaje unawatuma watoto kama Bavicha wakadeal na mtu kama Hapi na jeshi lake kule Mara?? Wapo wapi Mnyika, Msigwa, Sugu, Heche, Prof Jay, Lema na huyo Lissu? Wao ndiyo walitakiwa kuwa mstari wa mbele, siyo hawa madogo akina Pambalu

Kwa itifaki ya wazi hii:

"Ni wazi kuwa hayupo mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kuyapinga au hata kutokuwa sehemu ya jitihada hizi.

Wenye maslahi na mfumo uliopo hatuna haja ya kupoteza nao muda kujaribu kuwaelimisha. Hao ndiyo walio kizingiti pekee."

Nyie endeleeni na 50 zenu huku ni trespassers tu, kwa maana yake halisi.
 
Katika utawala ambao wananchi wanawajibika kwa viongozi kudai haki ni kosa kisheria, serikali ya mkoloni iliwajibika kwa watanganyika ndiyo sababu hazikuwepo kesi zozote za ugaidi wa za kuchoma vituo vya mafuta.

Kuota ndoto za mchana ni haki ya kila mtu:

Apumzike kwa amani brigedia Chefe Ali.
 
Mapambano ya kudai katiba mpya ni mapambano kudai haki, uhuru na demokrasia.

Demokrasia ni kuwa na utawala unaowajibika kwa wananchi. Siyo utawala unaowajibika kwa watawala.

Kwenye demokrasia:

1. tozo za miamala ya simu zisingekuwapo,
2. bambikizaji za kesi zisingekuwapo,
3. polisi wasingejikweza kiasi cha kujengeka kwa chuki kubwa iliyopo baina yao na wananchi,
4. Waziri asinge thubutu kuja na habari za watu kuhamia Burundi,
5. madhila ya gonjwa la Corona yangekuwa jukumu ya serikali na si mzigo kwa wananchi
6. Tusingekuwa na rundo la vigogo wasiolipa kodi,
7. nk.

Ni wazi kuwa hayupo mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kuyapinga au hata kutokuwa sehemu ya jitihada hizi.

Wenye maslahi na mfumo uliopo hatuna haja ya kupoteza nao muda kujaribu kuwaelimisha. Hao ndiyo walio kizingiti pekee.

Kwa hakika tunatatizika kwenye organization. Yaani uongozi wa mapambano kumalizia tokea tulipo salama. Chadema wanayo nafasi hii takatifu ya kutoa uongozi unaohitajika kufanikisha hili.

Katika hatua hizi za mwisho ilitosha kuwaunganisha washirika wengine kama ACT, NCCR na wanaoweza kuwa tayari. Tujikite zaidi kwenye kuhamasisha wanachama wetu kutoa uongozi unaohitajika kwenye jitihada hizi.

Ukweli ni lazima uelezwe wazi wazi. Hii vita haiwezi kuwa rahisi. Kutakuwa na machungu. Kuna watakaokamatwa, kuna watakaoteswa, kuna watakao fungwa, kuna watakao kufa, nk. Ni majukumu ya washirika kuona ya kufanya kuhusu haya.

Pamoja na yote, hatutatumia nguvu ila wingi wetu na utayari wetu wa kuyajaza magereza yao ikibidi, vinatosha sana.

View attachment 1923610

Hamasa za machungu (sober) kama hizi zitatufaa sana kama wapambanaji wenye kuhimiza amani kama msingi wa maelewano.

Apumzike kwa amani brigedia Chefe Ali.

Ifahamike halipo kosa kisheria katika kudai haki, hii kama ilivyo kwa mujibu wa katiba.

Shime waungwana hatuko mbali, na ushindi ni dhahiri.
Uzi mzuri, na huo wimbo wa Brig Chefe Ali unatia hamasa sana.
Tuchukue hatua, wakati wa ukombozi ni sasa na muda uliokubaliwa ni sasa!
 
Wakipatikana 50 wenye nia na uthubutu wako mtashinda tatizo mkipanga hivyo yule kiongozi wenu akidakwa tuu nyie wengine mnaingiwa na ganzi ghafla ndio maana kila uchwao hao polisi wanafanikiwa kuwadhibiti

Ninakazia:

Tuko mamia kwa maelfu katika kila mikoa, wilaya, tarafa, kata, vijiji na miji:

Tulipo ni kwenye hatua za mwisho kuwaandaa watu wetu kisaikolojia kuijua hali yetu bayana:

Haitakuwa rahisi. Yatakuwapo machungu ya kuyapita. Wapo wakaokamatwa, watakaoteswa na hata watakaouwawa.

Hata hivyo ushindi ni dhahiri.

Wingi wetu na utayari wetu kuyajaza magereza yao kutatuvusha.

Cc: BAK Erythrocyte
 
Uzi mzuri, na huo wimbo wa Brig Chefe Ali unatia hamasa sana.
Tuchukue hatua, wakati wa ukombozi ni sasa na muda uliokubaliwa ni sasa!

Kuna na mwingine hapa:

Tuko kwenye njia sahihi.

Apumzike kwa amani brigedia Chefe.
 
Kuzingatiwa kwa itifaki kumewafanya wenzako kutambua kuwa hawahitaki.

Nakazia:

"Ni wazi kuwa hayupo mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kuyapinga au hata kutokuwa sehemu ya jitihada hizi.

Wenye maslahi na mfumo uliopo hatuna haja ya kupoteza nao muda kujaribu kuwaelimisha. Hao ndiyo walio kizingiti pekee."

Hatuhitaji kupoteza muda na ninyi kwenye lolote.

Habari ndiyo hiyo.

🤣🤣🤣🤣, mngekua mshachukua nchi mapema sana, kiufupi ni kwamba hamna anaewapenda ndo maaana mnabaki kufungua spaces online mkiita maandamano mnabaki wenyewe! nani mwenye akili timamu akaunge maslahi ya mwenyekiti wa milele?
 
Kwa itifaki ya wazi hii:

"Ni wazi kuwa hayupo mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kuyapinga au hata kutokuwa sehemu ya jitihada hizi.

Wenye maslahi na mfumo uliopo hatuna haja ya kupoteza nao muda kujaribu kuwaelimisha. Hao ndiyo walio kizingiti pekee."

Nyie endeleeni na 50 zenu huku ni trespassers tu, kwa maana yake halisi.
Mzee wa mashairi na kurudia rudia maandishi, endelea! But hamna katiba mpya soon na msilete pua zenu kwenye uchaguzi 2024 na 2025, maana mlishasema hamtoshiriki bila katiba mpya.
 
Back
Top Bottom