- Thread starter
- #61
🤣🤣🤣🤣, mngekua mshachukua nchi mapema sana, kiufupi ni kwamba hamna anaewapenda ndo maaana mnabaki kufungua spaces online mkiita maandamano mnabaki wenyewe! nani mwenye akili timamu akaunge maslahi ya mwenyekiti wa milele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣, mngekua mshachukua nchi mapema sana, kiufupi ni kwamba hamna anaewapenda ndo maaana mnabaki kufungua spaces online mkiita maandamano mnabaki wenyewe! nani mwenye akili timamu akaunge maslahi ya mwenyekiti wa milele
Mzee wa mashairi na kurudia rudia maandishi, endelea! But hamna katiba mpya soon na msilete pua zenu kwenye uchaguzi 2024 na 2025, maana mlishasema hamtoshiriki bila katiba mpya.
Hii ni TANZANIA tunasema Kwa uthabiti na wanafanya tutakavyo. Silalamiki tena, SIOGOPI tena, maana kumwogopa mwanadamu ni dhambi mbele za Mungu.Tatizo woga ndio mana nawaambia hamko tayari bila damu nyingi hiyo katiba mtaishia kuiimba tuu
Njia ya vurugu haifai, TUTASEMA Kwa msisitizo, wakiziba masikio, Tunaingia MAGOTINI, Mungu husikia na kutenda. AmenLianzisheni kwanza nikuone pale mbele kabisa na mimi niatapata morali wa kuingia
Katiba mpya Si MALI ya Wabunge wasiotokana na idhini ya wananchi, ni takwa la wananchi HAIKWEPEKI.Chadema haiwatambui wale wabunge 19 kina mdee au covid 19. Kwamba CDM ina mbunge 1 kati ya 390 waliopo bungen. Ukiangalia upinzan ktk ujumla wake wana wabunge 13 tu ukitoa wale covid 19 kati ya wabunge 467 wa bunge la katiba ambao hujumuisha bunge la jamhuri 390 na baraza la wawakilishi ZANZIBAR lenye wajumbe 77 ambalo ndan yake kuna wapinzan 5 tu,..
Labda tuulizane hapa unaweza kuomba mechi wakati timu yako ina wachezaji 13 ikapambane na mpinzani anayeingiza wachezaji 454.
Jaman tuache utani tukumbuke ni kipi kilifanya UKAWA watie mpira kwapan na kukimbia mechi mwaka kwenye bunge la katiba.
Tusijifanye hatujui sheria ya kutunga KATIBA... hata tukisema itungwe mpya, JEE hatujui nani anatunga hiyo sheria mpya?
Niliposoma ....vita hii ni ya amani..Haupo woga, tunasonga mbele tuko vizuri na tunakuwa vizuri zaidi kila siku ipitayo. Hatukuwahi kuwa hapa. Leo:
1. Tunajua vita vyetu ni vya amani
2. Tunajua wingi wetu na utayari wetu wa kuyajaza magereza yao ni silaha na ngao yetu kuu
3. Tunajua kuwa hakuna mtanzania mwenye akili timamu asiyetaka haki, usawa, uhuru na demokrasia
4. Tunajua kuwa hatuna haja ya kushughulika na kuelimisha watu tena kwani walio vizingiti ni kwa sababu ni wanufaika wa mfumo uliopo
5. Tunajua kuwa vyama kama NCCR, ACT na vingine vipo tunaweza kufungamanisha jitihada hizi
6. Tunajua kuwa wigo wa ushiriki ni shuruti upanuliwe kuwahusisha wote wenye maslahi na katiba mpya
7. Nk
Tunaweza kuimba nyimbo za hamasa zenye kumtia kiwewe adui na kutia hamasa ya kutosha.
Apumzike kwa amani brigedia Chefe Ali.