Katiba Mpya: NEC ya CCM yatoa tamko kuwa serikali 2 ndio msimamo wa chama!

Katiba Mpya: NEC ya CCM yatoa tamko kuwa serikali 2 ndio msimamo wa chama!

Naunga mkono hoja ya kuwa na serikali mbili a , moja ya Tanganyika na ya pili ni ya Zanzibar
Kweli mkuu hasa mimi nilikuwa na wazo la serikali moja kwa vile moja imeshindikana basi mbili zinatosha.
 
Watz gani wakati alishatoa maoni yao kwa tume? Na jua huu sio wakati wa kupokea maoni mapya , tume imeshakamilisha kazi ya kupokea maoni sasa haya ya NEC sijui atapelekwa wapi ili yasikilizwe....
Dah! Naona wewe umevurugwa kama kaka yako Lema. Hujui kuwa mchakato wa katiba sasa upo kwenye hatua ya Bunge la Katiba?
 
ya tanganyika na zanzibar sio ? Ama unazungumzia mbili kwa maana gani? By the way wewe ndio yule mwalimu uliyeshindwa kuitetea paper yako finland baada ya plagiarism?
wewe wasema, namaanisha mfumo wa serikali uliopo sasa!!
 
naanza kuona vurugu mapema....

lakini....ni UJUHA kuendelea kung'ang'a na SERIKALI 2 ...sababu ya uwingi ndani ya BUNGE ....

kwa hili mtaona rangi halisi ya CCM zanzibar.. muda rafiki...
 
Serikali mbili ni sawa, lakini ziwe ni ya Zanzibar na ile ya Tanganyika!
Kwa hiyo unataka muungano ufe? Ila taratibu dawa inawaingia maana mmeshaachana na wimbo wa serikali tatu. Mtaipenda tu ccm
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Serikali tatu, mgombea binafsi haviepukiki!
Chama Cha Mwabepande tumieni akili badala ya masabur
Serikali tatu ndiyo mdudu gani unatuletea hatutaki serikali za majaribio ulishawahi kuona wapi duniani muungano wa serikali tatu kama siyo mambo ya kihuni.
 
Kweli mkuu hasa mimi nilikuwa na wazo la serikali moja kwa vile moja imeshindikana basi mbili zinatosha.
Hiyo ya tatu ya Muungano itafufuka miaka ijayo ,ila kwa sasa mbili zinatosha ya Tanganyika na Zanzibar full stop CCM hoye!
 
naanza kuona vurugu mapema....

lakini....ni UJUHA kuendelea kung'ang'a na SERIKALI 2 ...sababu ya uwingi ndani ya BUNGE ....

kwa hili mtaona rangi halisi ya CCM zanzibar.. muda rafiki...
Hahahahahaaaa! Mnajichkesha sana
 
naanza kuona vurugu mapema....

lakini....ni UJUHA kuendelea kung'ang'a na SERIKALI 2 ...sababu ya uwingi ndani ya BUNGE ....

kwa hili mtaona rangi halisi ya CCM zanzibar.. muda rafiki...
Hizo serikali tatu koja wewe utaihudumia wewe,
kwanza leo hakuna NEC ya ccm huyu mburula sijui hiyo nec ya machame au kibosho.
 
Serikali tatu ndiyo mdudu gani unatuletea hatutaki serikali za majaribio ulishawahi kuona wapi duniani muungano wa serikali tatu kama siyo mambo ya kihuni.
Mkuu, machadema menginhayajui hata huo mfumo wa serikali tatu utakavyofanya kazi
 
Kwa hiyo unataka muungano ufe? Ila taratibu dawa inawaingia maana mmeshaachana na wimbo wa serikali tatu. Mtaipenda tu ccm
Haufi kama wananchi bado wanataka kuendelea kuungana. Kwa nini tuwalazimishe?
 
Hizo serikali tatu koja wewe utaihudumia wewe,
kwanza leo hakuna NEC ya ccm huyu mburula sijui hiyo nec ya machame au kibosho.
Tehetehetehe. Mkuu, hawa ni wehu tu. gongo zinawalewesha
 
Serikali mbili ni sawa, lakini ziwe ni ya Zanzibar na ile ya Tanganyika!
Hii kali! Muungano tena basi. Serikali hii ya CCM ndio iliyoshindwa kuilinda na kuitetea Katiba ya sasa ya JMT pale Zanzibar ya Amani Karume ilipoamua kuivuruga.

Jakaya pamoja na viapo vyote akakaa kimya. Bunge la JMT nalo likakaa kimya badala ya kumchukulia hatua Jakaya.

Tundu Lissu aliwaambia wazi kilichofanywa Zanzibar kule Bungeni Dodoma. Hawakumsikiliza.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Haufi kama wananchi bado wanataka kuendelea kuungana. Kwa nini tuwalazimishe?
Wananchi wanataka serikali mbili. Ila vibaraka wa wazungu wakiongozwa na dr slaa ndo wanataka kulazimisha serikali tatu
 
Siku tutakapoingia barabarani ndio utaelewa ni nini namanisha.
Hapa barabarani mkoani simiyu naona watu kibao wako barabarani wengine wauza ndizi,wengine wamachinga na wengine wapo kwenye magari wewe unaongelea barabara zipi?.hujitambui
 
Msimamo wa CCM ndio msimamo wa watanzania wazalendo, waungwana wanaoipenda nchi yao!
 
Back
Top Bottom