PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
Msimamo wa ccm ndo msimamo wa Watanzania
watanzania wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msimamo wa ccm ndo msimamo wa Watanzania
Msimamo wa ccm ndo msimamo wa Watanzania
Kabisa kabisa wanachi wote wanataka serikali mbili vibaraka wa wazungu kwa ulevi wao wa gongo eti serikali tatu sifa au?Wananchi wanataka serikali mbili. Ila vibaraka wa wazungu wakiongozwa na dr slaa ndo wanataka kulazimisha serikali tatu
mkuu, usijali sana. Wote hawa wataanza kuimba wimbo wa ccm
Unazmzungumzia Lisu gani? Huyu huyu aliyegaragazwa na Albert Msando, kijana mdogo kabisa hadi akaomba poo pale alipoomba watumie lugha ya kiswahili badala ya kiingereza?Hii kali! Muungano tena basi. Serikali hii ya CCM ndio iliyoshindwa kuilinda na kuitetea Katiba ya sasa ya JMT pale Zanzibar ya Amani Karume ilipoamua kuivuruga.
Jakaya pamoja na viapo vyote akakaa kimya. Bunge la JMT nalo likakaa kimya badala ya kumchukulia hatua Jakaya.
Tundu Lissu aliwaambia wazi kilichofanywa Zanzibar kule Bungeni Dodoma. Hawakumsikiliza.
Mkuu, wananchi ndo tutaamua na si kelele za akina Lema na mbowetatizo wimbo wa ccm unaboa inatakiwa ubadilishwe sasa
We mburula naona unataka kupasuka unapingana na ukweli ccm ya watanzania hutaki unaacha.SI KWELI , TENA UKOME KABISA KUPOTOSHA , TUWEKEE idadi YA WANACCM NCHI NZIMA , HAO MIL 2 WATAWEZAJE KUTUSEMEA SISI WOTE 45 ML ?
Tena tutapata katiba safi sana.Mkuu, wananchi ndo tutaamua na si kelele za akina Lema na mbowe
Msimamamo wa CCM ndio msimamamo wa wanyonge na wazalendo!
Yaani umeishi miaka yote leo hujui muungano tunaoupenda wananchi?Mpendwa Simiyu yetu, nakiri nimechanganyikiwa kidogo, mnaposema serikali mbili inamaana serikali ya Zanzibar na serikali ya Muungano au na serikali ya Tanganyika?
Kama sio na ya Tanganyika, kwa nini?
Ahsante!
Eti nini wewe mzima kweli.
Mkuu, hawa wanataka kulazimisha misimamo yao ya uchaganiWe mburula naona unataka kupasuka unapingana na ukweli ccm ya watanzania hutaki unaacha.
Kikao cha siku 2 cha NEC ya Chama cha Mapinduzi(CCM) kimemalizika na kutoa taarifa kupitia katibu wa Itikadi na uenezi wa chama hicho,bwana Nape Nnauye kuwa wamekubaliana kuendelea na msimamo wa kuunga mkono serikali 2.
Pia,bwana Nape ameongeza kuwa watafanyia kazi changamoto za muungano zinazolalamikiwa.
Katika hatua nyingine,Nape amesema hawatishiwa na hatua ya vyama vingine kwenda kwa wananchi kwani hata wao(CCM) wanaweza kwenda kwa wananchi na kuwaeleza jambo hilo.
CHANZO:ITV
MY TAKE:
Hatua hii ni sawa na kutangaza mgogoro mapema!
Mkuu nashukuru kwa kujielewa,Mpendwa Simiyu yetu, nakiri nimechanganyikiwa kidogo, mnaposema serikali mbili inamaana serikali ya Zanzibar na serikali ya Muungano au na serikali ya Tanganyika?
Kama sio na ya Tanganyika, kwa nini?
Ahsante!
Sijakusoma mkuuHii nchi hata psipokua na serikali 1/2/3 inawezekana.
Utasubiri sana mkuu,NATABIRI - KIKAO hiki CHA BUNGE HUENDA NDIYO KIKAWA CHA MWISHO KABISA , KWA MSIMAMO HUU WA CCM NI LAZIMA KITANUKA TU , HAKUNA ATAKAYEKUBALIANA NA UJINGA HUO .
Hizo serikali tatu koja wewe utaihudumia wewe,
kwanza leo hakuna NEC ya ccm huyu mburula sijui hiyo nec ya machame au kibosho.
Msimamo wa ccm ndo msimamo wa Watanzania
Mbona waingreza hawana katiba ya kuandikwa lakini wanasonga ni cha ajabu kwa tanzania.Hii nchi hata psipokua na serikali 1/2/3 inawezekana.